KIGOGO WA CCM: Muungano utavunjwa punde...

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Ni mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi-CCM. Nimesoma naye Sekondari ya Upili. Tulikuwa tukizungumzia siasa za Tanzania kujua tulipo na tunakoelekea. Mjumbe huyu wa CC anasema kuwa kauli za Wazanzibari za kutaka kujitenga na kuvunja Muungano zinakera na kutia kinyaa.

'Kila siku tunapeana taarifa juu ya kauli hizi. Mwenyekiti anajua vyema.Hata yeye anajiandaa kuwaacha waende. Ni wasumbufu sana' alisema mjumbe huyo ambaye anatokea Kanda ya Ziwa. ' Ni heri tuuvunje Muungano ili tuepushe mengine' aliongeza Mnazi huyo wa CCM.
 
Eeeh wa waandikie Talaka kwanza ya kunja ndoa yao,kisha wavunje tu muungano kuepusha maneno,watfute wanavyovitaka maana wanalalamika sana.Wanasema bendera yao mwisho Chumbe na wao wanataka ulimwengu mzima wajulikane
 
Shukrani kwa majungu, Almost kila mtu wenye mapenzi na Tanganyika anajua hilo. "Kila chenye kuzaliwa, basi kina kifo"
 
Mimi ningefurahi kusikia umesha vunjika. Bado tu wanalalama mpaka mm
 
hapana chimurungu kwani umeme si biashara tu?
cha msingi tunawatimua wapemba wote walioko bara,vwaliojitwalia viwanja wote wataviacha
kila kitu wanatoa bara nyama na nafaka zingine,
makamu wa rais, dr mwinyi na mwaziri wengineo watarudi kwao nasi tutakuwa na amani. let them gooooooooooooooo
kwanza tunang'oa waya wa umeme, wakae giza mpaka washangae
 
wapeni nchi yao dhulma haipendezi, haya yote kayaleta nyerere kalazimisha muungano halafu akamuua karume kuficha maovu yake.
 
Ukivunjika poa tuu! tunawakatia umeme! tunataifisha hisa za zao Benki kuu! tunawafukuza wapemba wote huku bara na tunachukua mali zao.
 
Wadau anzeni kugawana mali za wapemba. Mimi nina jirani yangu hapa kiwanja kitakuwa cha kwangu! Tumb..f kabisa. Watakuwa wanashindia tende za uarabuni!
 
Ni mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi-CCM. Nimesoma naye Sekondari ya Upili. Tulikuwa tukizungumzia siasa za Tanzania kujua tulipo na tunakoelekea. Mjumbe huyu wa CC anasema kuwa kauli za Wazanzibari za kutaka kujitenga na kuvunja Muungano zinakera na kutia kinyaa.

'Kila siku tunapeana taarifa juu ya kauli hizi. Mwenyekiti anajua vyema.Hata yeye anajiandaa kuwaacha waende. Ni wasumbufu sana' alisema mjumbe huyo ambaye anatokea Kanda ya Ziwa. ' Ni heri tuuvunje Muungano ili tuepushe mengine' aliongeza Mnazi huyo wa CCM.
siku muungano ukivunjika mimi na ndugu zangu wote tutakula pizza na pilau mwezi mzima.watu gani wanapenda kubembelezwa kama mademu!!!
 
Kwenye hili la kuuvunja muungano nawaunga mkono wazenji kwa asilimia 100!
 
wako wengine ni directors kwenye public services. tuwaache hata leo wazanzibari waende tena haraka kabla ya jioni
 
Mi ningependa huu muungano uvunjike hata sasa lakini siungi mkono wazo la kuwafukuza Wapemba popote walipo, why? hakuna nchi ambazo hakuna wahamiaji, kitu muhimu kwao nadhani ni hiki, aidha wakubali kuukana uraia wa Zanzibar and then waishi hapa kama Watanzania wenye haki zote au waishi kama ambavyo Wachina, Makaburu n.k wanavyo ishi, i mean wawe wanalipia ukaaji wao hapa, hii ikiwa ni pamoja na akina Bakheresa na wengineo!
 
Back
Top Bottom