KIGOGO WA CCM: Muungano utavunjwa punde...

Umechangia vyema sio kama wengi wanaotoa vitisho au chuki.
Inaonekana wachangiaji wengi wana siasa za kiCCM...."nikudhulumu au unahatarisha amani"

La msingi ni hilo ulilosema sheria za kiuhamiaji zichukue mkondo wake.Kutakuwa na kipindi cha mpito ambacho shughuli za muungano zitapiga reverse gear kurudi Tanganyika.

Lakini ukivunjika muungano hakuna Tanzania, kwa hiyo hao wataomba uraia wa Tanganyika.

Tunapochangia kuhusu kuvunjika kwa muungano wengine huona kama vile ndio mwisho wa dunia, hofu, chuki,hasira kwa wale wenye woga hutawala fikra zao na wale wanaoona kuvunjika kwa muungano ni mwisho wa usanii/mazingaombwe basi ndio hao watakaokula pizza na pilau na kujawa na furaha.

Tusisahau kuwa leo watanzania wapo kila kipembe cha dunia na wanamiliki majumba, biashara nk. na wala Tanzania haina muungano na nchi hizo walimo hawa watanzania. Wanaofuata sheria za uhamiaji hawakumbani na mkono mrefu wa sheria.

link Raia Mwema - Familia ya Lowassa yapelelezwa London

link diaspora

link Tanzania Event

link Tanzania's Diaspora - Investment-Citizenship and Relationship

Singapore na Malaysia walikuwa na muungano na ulivunjika.Singapore alifukuzwa kutoka muungano. Leo Malaysia na Singapore ni nchi mbili jirani zenye neema na ujirani mwema.

Ni vyema kuuvunja Muungano kwa amani kulikoni kwa vita.

Chakushangaza hakuna kiongozi mkuu kutoka Tanganyika tokea Nyerere mwenyewe mpaka kufikia Kikwete anaetaka kuvunjika kwa muungano huu kila anaekuja hujigamba ataulinda kwa nguvu zote hata ikibidi kutumia nguvu .

siku na wakati hazigandi zamani ukigusia muungano tu kama hujakolimbwa basi watakusokoine sasa kwa nini watu walinde kitu kisicho faida ? hapa ndo utagunduwa watanganyika vifuu tundu wanashindwa kujiuuliza . wazanzibari washaonyesha kila dalili kuchokwa na muungano huu kwanini viongozi wakuu hasa watanganyika wanaziba masikio ?

watanganyika vifuu tundu wao akili zao zipo katika kuiba na kudhulumu . hivi hakuna watanzania ama watanganyika wanoishi nchi za watu bila kuwa na muungano ? kuishi nchi nyengine na muungano ni vitu tofauti acheni kujidhalilisha kwa kudhihirisha wizi na njaa zenu wale wenye ndoto za mali za watu .

kama muungano hauna faida kwa znz waacheni waende ibaki tanganyika yenye faida hayo ya umeme ,vitunguu,nyanya ni biashara tu hivi bara hakuna watu wasioishi bila umeme ? ama nyumba zote zina umeme ?

WACHENI KUWATISHA WA ZANZIBARI ATI MTAWAIBIA MALI ZAO KUWAFUKUZA BARA HUU NI ZAIDI YA UDHAIFU.
 
siku muungano ukivunjika mimi na ndugu zangu wote tutakula pizza na pilau mwezi mzima.watu gani wanapenda kubembelezwa kama mademu!!!

umee usiwe ndio kigezo cha MUUNGANO huko MILLDE EAST hawana mito wala bwawa je awana UMEME?? kama wao wana RAIS BENDELA WIMBO WA TAIFA.. ???basi ni INCHI KAMILI HIYO. swala ni kulekebisha kasoro zilizopo au wapewe inchi yao kutokana na mbadiliko makubwa ya DUNIA NA MAZINGILA kwa jumla kunahaja ya kukaa chini upya na kulekebisha kasolo
 
Chakushangaza hakuna kiongozi mkuu kutoka Tanganyika tokea Nyerere mwenyewe mpaka kufikia Kikwete anaetaka kuvunjika kwa muungano huu kila anaekuja hujigamba ataulinda kwa nguvu zote hata ikibidi kutumia nguvu .

siku na wakati hazigandi zamani ukigusia muungano tu kama hujakolimbwa basi watakusokoine sasa kwa nini watu walinde kitu kisicho faida ? hapa ndo utagunduwa watanganyika vifuu tundu wanashindwa kujiuuliza . wazanzibari washaonyesha kila dalili kuchokwa na muungano huu kwanini viongozi wakuu hasa watanganyika wanaziba masikio ?

watanganyika vifuu tundu wao akili zao zipo katika kuiba na kudhulumu . hivi hakuna watanzania ama watanganyika wanoishi nchi za watu bila kuwa na muungano ? kuishi nchi nyengine na muungano ni vitu tofauti acheni kujidhalilisha kwa kudhihirisha wizi na njaa zenu wale wenye ndoto za mali za watu .

kama muungano hauna faida kwa znz waacheni waende ibaki tanganyika yenye faida hayo ya umeme ,vitunguu,nyanya ni biashara tu hivi bara hakuna watu wasioishi bila umeme ? ama nyumba zote zina umeme ?

WACHENI KUWATISHA WA ZANZIBARI ATI MTAWAIBIA MALI ZAO KUWAFUKUZA BARA HUU NI ZAIDI YA UDHAIFU.
hivi zanzibar kuna kitu cha kuiba?? kulima hawawezi madini hawana,karafuu ndio hiyo wana mti 200 tu,mafuta hawana labda wanawake.lakini na wao ndio kula kulala.muungano ukivunjika halafu tukawapiga stop kuja bara na wote walioko huku tukawarudisha kwao si watakufa njaa hawa jamaa?
 
ZIMBABWE NA ZAMBIA ILIKUA NI INCHI 1 je sasa nani anaepata yaabu hapo.??acheni kuwatsha wa ZNZ kama nyinyi ndio mumeshika ufunguo wa pepo huko BARA wakati nyie wizi mtupu hapo BARA...
 
JERUSALEMU wacha kudhihirisha udhaifu wako wa kutofikiri . usikurupuke kuna watu wa namna kama wewe wengine watakula pilau na pizza inaonekana pilau na pizza ni big deal ! wengine watachukuwa viwanja vya jirani zao .

Wazanzibar hawawezi kufa kwa njaa kwa matakwa yako hayo madini unayoyasema kamauliwahi kuyaona ni dukani na hivyo walikuogopa kuyakaribia dhahabu na almasi nipo 95% hujawahi kumiliki .

Na sio wewe tu 97% ya watanganyika hawajawahi miliki hayo madini. Hayo ya kufa njaa ni ndoto zako tu.

Sasa mkuu Jerusalemu hutaki uvunjike muungano kwa sababu ya huruma zako kuna watu watakufa njaa.
 
MIMI sina kawaida ya kumuombea binadamu yeyote mambo mabaya,kwanza sina sababu.lakini ninachoshangaa mimi ni kuona wazanzibar wenyewe hawaoni namna wanavyo faidika na huu muungano kuliko watu wa bara. nitajaribu kukuonesha mifano michache tu
1.wanasiasa walioko ccm wote wanalipwa na fedha za walipa kodi wa tanzania bara ukitoa wawakilishi.sasa wahesabu uone ni wangapi na muungano ukivunjika tu ulaji umekwisha.
2.wazanzibar wanao fanya biashara huku bara ni wengi kwelikweli.wanajivunia soko la watu mil 40 wa tanzania bara.muungano ukivunjika watarudi zanzibar wakawauzie wazanzibari wasiofika hata mil 2.si watafilisika?
3.wazanzibari wanao fanya kazi serikalini huku bara ni wengi sana. muungano ukifa si ndio itakuwa basi?
ni vizuri wazanzibar wakapima kuliko kufuata wanasiasa kama SEIF.
 
ZIMBABWE NA ZAMBIA ILIKUA NI INCHI 1 je sasa nani anaepata yaabu hapo.??acheni kuwatsha wa ZNZ kama nyinyi ndio mumeshika ufunguo wa pepo huko BARA wakati nyie wizi mtupu hapo BARA...

KWANINI mpate taabu? mwambieni seif awatangazie wazanzibar wote walioko bara warudi zanzibar ndio muone itakayo wakuta.sasa hivi tu nanga inapaa ajira hakuna wabwia madawa wanaongezeka kila kukicha,je wakirudi na hawa walioku wakila kuku kwa mrija si mtakufa bila kuugua?
 
...Tamwa watamsaidia vipi wakati kabadilisha maneno baada ya kusikia mumewe amesheheni utajiri wa kutisha!? Hujasikia kauli yao ya kutaka ndoa ya mkataba!? Wanasaini ndoa ya miaka mitatu mitatu kila ikiisha wanatathmini kuangalia kama mumewe bado amesheheni utajiri. Kila tathmini itakaporudi na jibu kwambe mume bado yuko loaded kama Kassim wa Mlimani Park basi watadai mkataba mwingine na mara watakapogundua mume amechalala basi ndoa ya mkataba hawataitaka tena.

TAMWA mpooooo? Huyu mama kila siku analalama apewe talaka yake, but hamumsaidii!!!
 
MIMI sina kawaida ya kumuombea binadamu yeyote mambo mabaya,kwanza sina sababu.lakini ninachoshangaa mimi ni kuona wazanzibar wenyewe hawaoni namna wanavyo faidika na huu muungano kuliko watu wa bara. nitajaribu kukuonesha mifano michache tu
1.wanasiasa walioko ccm wote wanalipwa na fedha za walipa kodi wa tanzania bara ukitoa wawakilishi.sasa wahesabu uone ni wangapi na muungano ukivunjika tu ulaji umekwisha.
2.wazanzibar wanao fanya biashara huku bara ni wengi kwelikweli.wanajivunia soko la watu mil 40 wa tanzania bara.muungano ukivunjika watarudi zanzibar wakawauzie wazanzibari wasiofika hata mil 2.si watafilisika?
3.wazanzibari wanao fanya kazi serikalini huku bara ni wengi sana. muungano ukifa si ndio itakuwa basi?
ni vizuri wazanzibar wakapima kuliko kufuata wanasiasa kama SEIF.

mkuu pole sana kwamifano yako 1,2,3 kwa mifano hiyo CHADEMA wasingechachamaa kuchukua nchi ila wameshaona mbali.nikusaidie

1 wanasiasa iwe CCM,CHADEMA, CUF na vyama vyengine hawastahiki kulipwa fedha za walipa kodi hapa huoni udhaiifu ?
2Wazanzibar wafanyao biashara ndo walipa kodi wenyewe hizi biashara .

3 hapo ndo kwenye mgogoro hapapo wazi mkuu unasahau huu ni muungano wa nchi 2 . lakini kuna wahindi, wazungu wachina na wengine wengi wanafanya kazi bara hata katika huu muungano hawamo ama hulielewi hili.

mwisho jiunge na chadema ndo chama chenye muelekeo kikukombowe .
 
Tutawarudisha bara tuwakabidhi mahoteli yao pale kariakoo, zenji ni sehemu ya kwenda kustarehe ka vile kwenda serengeti au ngorongoro sio mahali pa kwenda kufanya biashara utengeneze pesa ndo mana wapemba wote wako huku
Angalia tu usije ukaihama wewe WAKUJA Dar na kuwaacha Wapemba Dar...ni hayo tu Mkuu!
 
Mi ningependa huu muungano uvunjike hata sasa lakini siungi mkono wazo la kuwafukuza Wapemba popote walipo, why? hakuna nchi ambazo hakuna wahamiaji, kitu muhimu kwao nadhani ni hiki, aidha wakubali kuukana uraia wa Zanzibar and then waishi hapa kama Watanzania wenye haki zote au waishi kama ambavyo Wachina, Makaburu n.k wanavyo ishi, i mean wawe wanalipia ukaaji wao hapa, hii ikiwa ni pamoja na akina Bakheresa na wengineo!
Wao ndio wameanza kufukuza watu wa bara na wao ndio wanataka kuvunja muungano wajue muungano ndio unawafanya waitwe Watanzania na pia ndio umewafanya waishi bara kama hawataki muungano tutawafukuza waende kuishi Kenya,Comoro au somalia ndio watajua maana halisi ya muungano au waende China au Afrika Kusini wajue tofauti ya Tanzania na kwenda kuishi nchi nyingine
 
Back
Top Bottom