Kigogo UVCCM ahamia CHADEMA

viongozi karibu wote wa Chadema walihama toka CCM na wanaimarisha upinzani nchini na Ndg Edward ni miongoni mwao

Hongera sana kwa uamuzi wa busara
 
jamani huyu mahanya sindo kamaliza chuo cha saut mwaka jana?na vipi post ya ualimu kaitema?na je huo ukigogo kaupata lini?Jamani kuweni makini na huyu mtu chuoni alikuwa hakitumiwa na mapadri kama puppet wao leo yasije kuwa katumwa na ccm kuvuruga chama yangu macho.
 
Kunakuwa na furaha kubwa mbinguni pale mwenye dhambi mmoja anapotubu
 
Mjumbe wa mkutano mkuu wa umoja wa vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Mahanya Edward (35 yrs) amekihama chama hicho na kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).

Edward alikabidhi kadi yake ya CCM kwa Katibu wa CHADEMA jimbo la Kigoma Kusini Shaban Madele. Edward ametaja sababu ya kujiunga na CHADEMA kuwa ni kutokana na chama hicho kuwa na msimamo thabiti wa kuwapelekea wananchi maendeleo na ndicho chama ambacho kwa sasa wananchi wanakitaka.

Pia alitaja sababu nyingine kuwa ni CCM kupoteza mwelekeo na kukumbatia vitendo vya rushwa.

Source: Nipashe uk. 8

Hivyo ndio kwanza ajuwe!!!!!
 
viona mbali wanajua nani atachukua nchi 2015.....

TUSIJIDANGANYE. Kwa tume hii ya Uchaguzi, kwa katiba hii tuliyonayo sasa na kwa sheria zetu za sasa za Uchaguzi..unless mambo yabadilike, CCM hawatoki madarakani.

Kila mtu anajua kwamba JK alishindwa uchaguzi 2010, lakini what happened? mwaka 2015 watashindwa tena na hawatatoka.
 
ccm wanafanya hiyo character assessment?

Siku zote anayekupenda anakuambia ukweli, sasa sisi chadema tunataka tu tupate sifa tusikosolewe wala kupewa ushauri hata kama kwa maufaa yetu!hii sio sahihi mjomba. alosema huyu jamaa ni la maana sana, je kama jamaa ni mamluki mwisho wa siku nani ataumia? au kwa vile ccm hawafanyi assessment na chadema wasifanye? think big broda
 
Karibu jifunze kwa bidii katiba, sera na itikadi za chama na uzieneze ile wale walio bado ktk bonde la upofu nuru iwaangaze wakufuate
 
CDM ni kawaida yenu kumpokea kila mwana CCM anayekuja kwenu! swali langu ni je huwa mnawafanyia character assessiment? kumbukeni hata Shibuda alihamia hivyohivyo!

huyo tapeli, anajipanga kwa ajili ya jimbo la kafulila. ndio maana kaibukia Kigoma kusini. Mtashangaa iwapo atanyimwa kugombea nafasi hiyo mda ukifika, atarudi CCM, na kuanza kuponda CDM kuwa hawana democrasia, na ni wabaguzi. kazi tunayo tanzania
 
Siku zote anayekupenda anakuambia ukweli, sasa sisi chadema tunataka tu tupate sifa tusikosolewe wala kupewa ushauri hata kama kwa maufaa yetu!hii sio sahihi mjomba. alosema huyu jamaa ni la maana sana, je kama jamaa ni mamluki mwisho wa siku nani ataumia? au kwa vile ccm hawafanyi assessment na chadema wasifanye? think big broda

Wewe ungefanyiwa assessment ungekuwa CDM??? Umeambiwa ni kiongozi wa CCM na CDM ni mwanachama tu, tangu lini mwanachama akaassessimentiwa, acheni kufikiria kusikotumia kichwa jamani
 
Back
Top Bottom