Asingekuwa lowassa wasingeifikia Ile peak...wamshukuru tu mzee wa watu
Nadhani afya ilikua changamoto...Lowassa alizingua.
..alikuwa hawezi kukampeni.
..kura na hamasa kwa kampeni yake zilipungua kadiri muda ulivyokuwa unakwenda.
Lowassa angekuwa na nguvu zake kama wakati anajiuzulu uwaziri mkuu, uchaguzi wa 2015 pangechimbika!..Lowassa alizingua.
..Cdm hawakufanya utafiti wa kutosha kuhusu afya ya Lowassa, na kama anaweza kuhimili mikikimikiki ya kampeni.
..Lowassa alikuwa hawezi kukampeni.
..kura na hamasa kwa kampeni yake zilipungua kadiri muda ulivyokuwa unakwenda.
Hivi Lowassa alinza hasa kuugua lini? Nakumbuka wakati anajiuzu 2008 alikuwa mzima kabisa...Lowassa alizingua.
..Cdm hawakufanya utafiti wa kutosha kuhusu afya ya Lowassa, na kama anaweza kuhimili mikikimikiki ya kampeni.
..Lowassa alikuwa hawezi kukampeni.
..kura na hamasa kwa kampeni yake zilipungua kadiri muda ulivyokuwa unakwenda.
Hatuna mfumo wa kuwezesha chama kingine zaidi ya CCM kutangazwa mshindi ...Lowassa angekuwa na nguvu zake kama wakati anajiuzulu uwaziri mkuu, uchaguzi wa 2015 pangechimbika!
Lowassa alizingua vipi halafu akaondoka na kura zaidi ya milioni 4!, huko kuzingua kwake umekupima kwa kipimo kipi? au cha Lowassa mwenyewe!..Lowassa alizingua.
..Cdm hawakufanya utafiti wa kutosha kuhusu afya ya Lowassa, na kama anaweza kuhimili mikikimikiki ya kampeni.
..Lowassa alikuwa hawezi kukampeni.
..kura na hamasa kwa kampeni yake zilipungua kadiri muda ulivyokuwa unakwenda.
Huku Erythrocyte huwezi kumuonaKatibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika amesema hakuunga mkono Hayati Edward Lowassa kuwa mgombea wa urais kwenye chama hicho, bali alitaka akijiunga CHADEMA awe mwanachama wa kawaida.
View attachment 2903024
Lowassa alizingua vipi halafu akaondoka na kura zaidi ya milioni 4!, huko kuzingua kwake umekupima kwa kipimo kipi? au cha Lowassa mwenyewe!
Kama ndivyo hapo nitakuelewa.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Kwanini nisionekane ? iko hivi , kwenye jambo la wengi huamui tu utakavyo wewe , bali wengi wakisema ndio huwezi kukataa , utachagua kuwaunga mkono au kunyamaza , mimi nilimpinga mno Lowassa , lakini wengi walipomkubali ndani ya chama chetu , nikaamua kuwaunga mkono kwa Maslahi ya chama , huo ndio ukomavuHuku Erythrocyte huwezi kumuona