Kigogo UVCCM ahamia CHADEMA

CDM wana mvuto gani mpaka vijana wengi wanakipenda hiki chama? hongera kijana kama umefanya maamuzi sahii
 
yaani Magamba yanazidi kupukutika tu, lakini namshauri huyo jamaa asitegemee Cheo wala posho za kizembe ndani ya CDM
 
CDM ni kawaida yenu kumpokea kila mwana CCM anayekuja kwenu! swali langu ni je huwa mnawafanyia character assessiment? kumbukeni hata Shibuda alihamia hivyohivyo!

Hakika umeongea jambo la msingi sana.
 
Huyo si kigogo. Ananjaa ya nafasi ya Kafulila. Mjumbe wa mkutano mkuu hana dili aende. CDM wawe waangalifu anaweza kuwa kama Kafulila
 
Ujana unaishia miaka mingapi? Nilisoma habari moja hivi kumhusu Nyalandu ilisema mbunge huyo kijana nikawa sina mbavu.
 
Leo najikumbisha msemo wa KUVUJA KWA PAKACHA nafuu ya_ _ _ _ _ Nenda ukavae magwanda

Twampotezea mie nilifikiri Benno Malisa kumbe ni kidagaa tu, nenda zako usirudi

Nenda ukapiganie demokrasia ndani ya CDM, muulize ZITO kawa Naibu Katibu Mkuu hewa maamuzi yote ni kanda ya Kaskazini. Hata ikatokea Kafulila amepoteza ubunge, watamleta mhindi agombee ili kulipa fadhila kwa Sabodo

Umejitahidi lakini waaapi!! karoho kanakuuma kama nini!! Karibu Mkuu MAFILILI tuungane tuupinge huu ukoloni wa mtu mweusi.
 
Safi sana Chadema kuchukuwa kigogo wa CCM...mpaka kieleweke.
 
There is no oposition in TZ politics. Sababu katiba itawafanya wawe mafisadi. As for now CHADEMA wamefanikiwa kufanya vurugu tu lakini hawajaweza na hawataweza kubadilisha mwelekeo wa maendeleo hadi ipatikane katiba toka ughaibuni.
 
There is no oposition in TZ politics. Sababu katiba itawafanya wawe mafisadi. As for now CHADEMA wamefanikiwa kufanya vurugu tu lakini hawajaweza na hawataweza kubadilisha mwelekeo wa maendeleo hadi ipatikane katiba toka ughaibuni.

Magamba mna tabu kweli!
 
Back
Top Bottom