Kifo hakipangwi na Mungu

Bora uamini mungu yupo alafu usimkute kuliko kuamni hakuna mungu alafu ukamkute hapo ndipo utakapoishiwa pozi
lazima uwe na sababu ya kuamini Mungu na ndio maana kunakuwa na mafundisho. kama umeshikilia mungu yupo shikilia msimamo wako huku ukiwa na sababu kwa nini unaamini uwepo wa mungu kuliko kutoa satement kama hiyo ambayo umeitoa hapo.
 
Nimesikiliza watu wengi mtu akifa wanasema "Mungu amepanga". Uongo huu umepita kizazi hata kizazi ili tufarijike katiba misiba.

Ukweli ni huu, Mungu hapangi kifo cha mtu chini ya miaka 70. Mtu anayekufa akiwa na miaka zaidi ya 70 ni mapenzi ya Mungu.

Mungu hana kitabu ameandika aina ya kifo cha mtu chini ya miaka 70. Watu wanakufa kutokana na aina ya maisha wanayo ishi, mazingira wanayoishi na imani za kishetani.
Na vitoto- vichanga from 0 to less than 1 year nini ninawaua mkuu!?
 
Gosh umekuwa one of the great thinkers amongs unthinkable thinkers! Who to them Tanzanian ways always is taboo to crticisize or speak the truth! Even if one knows this aint sawa dis way but just cause of taboos one must behave societies brain wise! Mungu alitupenda akatuumba kwa mfano wako Biblical wise sasa iweje atuchukie ghafla atuuwe tena??, Unakunywa pombe una drive kasi unapata ajili unakufa wanasema ni MAPENZI YA MUNGU/MUNGU KAMPENDA ZAIDI! una ndoa una chepuka ama we malaya/kahaba unapata UKIMWI unakufa wanasema hayo niw MAPENZI YA MUNGU majambazi yamevamia unapgwa risasi unauwawa MAPENZI YA MUNGU,Vikongwe wanauwa kwa panga NI MAPENZI YA MUNGU,Albino anakatwa panga anakufa NI MAPENZI YA MUNGU! vita imetokea kwa Nchi watu wana uchu wa madaraka raia wanauwawa eg Sudan/burundi/central africa! Ni MAPENZI YA MUNGU! alishabab anajilipua na nyie mnakufa wanasema ni MIPANGO/MAPENZI YA MUNGU excuse me je ANAETOA UHAI WA WANADAMU NA KUUA NI SHETANI/IBILISI? AMA NI YEHOVA/MUNGU???? Wakeup and scrutinize! Just think as a great thinker je ni Sawa kusema Mtu anapokufa kuwa ni Mapenzi ya MUNGU? ama kapendwa zaidi na MUNGU?????

duu!! kweli kabisa
 
jingojames said:
Na vitoto-vichanga from 0 to less than 1 year nini ninawauwa mkuu?

Hakuna mungu mwenye mamlaka juu ya kifo

Life expectancy ya jamii yoyote,inategemea public health,medical care,na diet.Period

Angalia tu life span ya mtu anayeishi America na ya kwetu hapa

Ni tofauti sana.
 
thesym said:
lazima uwe na sababu ya kuamini Mungu na ndio maana kunakuwa na mafundisho

Mkuu,ni sababu zipi[ipi] zilizokufanya uamini uwepo wa Mungu?

kama umeshikilia mungu yupo shikilia msimamo wako huku ukiwa na sababu kwa nini unaamini uwepo wa mungu

Sio ukiwa na sababu tu,unatakiwa uwe na ushaidi pia

Unaweza kuwa na sababu ya kumshitaki jirani Lakini ukakosa ushaidi wa kumtia hatiani.

kuliko kutoa satement kama hiyo ambayo umeitoa hapo.

Umeshawahi kuiona Duara yenye pembe tatu?

Kama hujawahi je unaamini ipo?

Kama huamini,kwanini huamini wakati hujawahi kuiona?
 
Na vitoto- vichanga from 0 to less than 1 year nini ninawaua mkuu!?

Hali harisi ni ile ile. Mungu hausiki/hapangi vifo vyao, ni mazingila wanayozaliwa nayo, mzazi na life style yake na imani za kishetani husababiza hivyo vifo.
 
Mkuu,ni sababu zipi[ipi] zilizokufanya uamini uwepo wa Mungu?

Sio ukiwa na sababu tu,unatakiwa uwe na ushaidi pia

Unaweza kuwa na sababu ya kumshitaki jirani Lakini ukakosa ushaidi wa kumtia hatiani.

Umeshawahi kuiona Duara yenye pembe tatu?

Kama hujawahi je unaamini ipo?

Kama huamini,kwanini huamini wakati hujawahi kuiona?

Mungu wangu atakutumbelea na utathibitisha tu uwepo wake na neema yake kwako kuwa bado unaishi.
 
Mtumishi. Mimi Niungane na Wewe Hasa Mistari Ya Mwisho, Niukweli Kabisa, Asili Ya Vifo ni Ukiukwaji wa Amri za Mungu.

Maana Mungu Anasema Ukizitenda Amri Zake Utaishi, Na Siku Zako Zitaongezwa Yaani Kuishi Maisha Marefu.

Vifo Vimekuwa Vingi Kutokana Na Mabadiliko Ya Tabia, Hasa Kumwasi Mungu, na Kutokwenda Kwenye Sheria Yake.

Magonjwa Yameongezeka. Vifo Vimekuwa Vingi, Vijana Wadogo Wanakufa. Na Mungu Ameweka Kikomo Cha Umri wa Mwanadamu Kuwa ni Miaka 120 Japo Daudi Kutokana na Majaribu Akakata Tamaa Na Kusema Mwiso Wake Ni Miaka 70 lakini Miaka Ya Mungu Ipo Pale Pale 120.

Tupo pamoja 100%
 
Ukiamini kifo hupangwa na Mungu, utashindwa kuchukua hatua stahiki pale inapohitajika...kiufupi utakuwa careless.
 
Mi binafsi uwepo wa Mungu ni imani, sijawahi kumuona wala sijui alipo ila ninaamini tu Mungu yupo, uwepo wangu hapa duniani ni uthibitisho tosha Mungu yupo
Afu pia imani swala la imani kila mtu analo kwa namna yake anaeamini Mungu hayupo ni sawa hiyo ni imani yake, mie nnaeamini Mungu yupo ni sawa, wengine wanaamini mawe,miti, wanyama ndio Mungu ni sawa make hiyo ndio imani yao
Uwepo wake unaamini anaishi wapi? na nina uhakika huna chochote cha kumuelezea umdicribe alivyo au aliyekufanya umuamini uwepo wake naye ni braiwashed tu so na wewe upo upo kama Shabiki tu maana kusema uwepo wa Mungu ndio maana na wewe upo! what about your Mother and your Father? and Unaposema wengine wanaamini Miti n.k its means wewe Mungu wako wamfahamu kwa kuaminishwa ila Jina halisi la Mungu wako hulifahamu na siku ukiwekwa wazi utaduwaa...! hakika... Wakristo wana Mungu wao na wanampigania wanamuita Yesu kwa Kiswahili in Jina na Muslim wao Wanajiaminisha ni Allah Japo Maandiko yao yanaelezea Allah akikataa kuwa yeye si Mungu... and Jews wanaamini Mungu wao na Wamekatazwa Kumuita kwa Jina lake... na Hizi Dini Tatu hazielewani so kila mmoja anafuata ya kwake kibabe babe... issue inakuja Dini ya kale kati ya hizi Tatu ya Wayahudi ndio ya Kale so It Means baada ya Wayahudi kuwakataa Watu wa Jamii nyingine na hizo Jamii zikaja kivyake... Maana Wayahudi hujiita ndio The Choosen one yaani Waliochaguliwa... na Inaaminika ndio watakao enda Mbinguni according to Makabila Yao 12,000 kwa kila kabila na hao ni wale Watakatifu tu.... Imeandika sio wale wababaishaji wa Dini ya Kiyahudi na hiyo idadi wanajumlishwa na wale waliokwisha tangulia tokea enzi hizo na hizo Dauzi Solomon n.k hadi Kizazi cha Yesu au Yah-Shua... Yesu pia Dini Yake ni ya Uyahudi not Christian or Muslim... so Watu wakikaa Sawa ndio wataelewa kuwa Wanaposhwa na Team Vatican ndipo kilio cha kusaga Meno kitafika.... Nenda kamuulize Swali Mwalimu wako wa Dini kuwa wanaamini nini katika Mungu yupi na huyo Mungu anataka nini kifuatwe as per Law zake na kwa ajili ya kina Nani... na sio wale Manabii waliokuwa wakilala na kuota Ndoto kisha kuziandika na mwisho kuyaita maandiko Matakatifu...
 
Hiyo ni imani yangu it has nothing to do with you
 
So kwani wewe uliona Sawali laendana na Majibu niliyokuwa namjibu aliyeuliza?
swali linaendana kwa sababu kuna dini ambazo nontheist mfano wa wabudha na imani zingine za far east ndo maana nimekuuliza wewe ni dini gani au unaamini nini?
 
Hiyo ni imani yangu it has nothing to do with you
It has something to do with me and others Sababu unapoendelea kuamini kwako utawafanya na wengine wakuamini kwa njia yeyote ile either uzao wako au Majirani au wanaokuhusudu n.k so affect zake ni kuu kama yaliyokukuta wewe... kwani most of the people si imani zao bali wamekuwa kama wamerithishwa either na wazazi au walezi au kufuata tu kutokana na jamii ilivyo..... Kama hutaki kuspread your belief you better shut up your mouth for good... ila ukitaka kumake arguement na society you can speak for free kuwekana Sawa maana for self nikiona mtu muongo anaongopa for kisa kahadithiwa story... either ni ya uongo au ukweli whatever inaweza ikawa ya ukweli but imepotoshwa tafsiri yake siwezi nyamaza... so bibie you can accept my apology but tuwekane sawa.. hakuna imani ya kipekee maana hizi imani ni watu wamerithisha jamii zao.. hakika kama ungezaliwa India kule kwa wahindu hizi dini za Middle east ungeziona Takataka tu...
 
Hujataka kuweka sawa ila naona mipasho, ndio ni imani yangu nimerithishwa hiyo hiyo ya uongo na kizazi changu kitarithi huo huo uongo KUNA TATIZO?
 
swali linaendana kwa sababu kuna dini ambazo nontheist mfano wa wabudha na imani zingine za far east ndo maana nimekuuliza wewe ni dini gani au unaamini nini?
Mimi sisimami popote zaidi naona ni lovery story tu about religion so hadi siku nitakapochambua na kuona zipo sawa sawia. for sure sijaona wa kuweka hizi story za Dini sawa maybe walioanzisha huko middle east... issue why they fighting everyday kama wao ndio wenye dini? au niendelee kusema dini ni Biashara
 
Hujataka kuweka sawa ila naona mipasho, ndio ni imani yangu nimerithishwa hiyo hiyo ya uongo na kizazi changu kitarithi huo huo uongo KUNA TATIZO?
Tatizo kama human being waeza sababisha maafa mbeleni like people kwenye hizo Story za dini.. so you have to stand for yourself not kizazi chako kijacho au kilichopo... i hope your christian so beba mzigo wako mwenyewe... as your bible said... when unapopotosha mwingine just like Jesus alivyowaambieni Kipofu kumuongoza kipofu mwenzie wote hutumbukia Shimoni....
 
Back
Top Bottom