Kifo hakipangwi na Mungu

Jajojo

Senior Member
Sep 1, 2015
155
95
Nimesikiliza watu wengi mtu akifa wanasema "Mungu amepanga". Uongo huu umepita kizazi hata kizazi ili tufarijike katiba misiba.

Ukweli ni huu, Mungu hapangi kifo cha mtu chini ya miaka 70. Mtu anayekufa akiwa na miaka zaidi ya 70 ni mapenzi ya Mungu.

Mungu hana kitabu ameandika aina ya kifo cha mtu chini ya miaka 70. Watu wanakufa kutokana na aina ya maisha wanayo ishi, mazingira wanayoishi na imani za kishetani.
 
Nimesikiliza watu wengi mtu akifa wanasema "Mungu amepanga". Uongo huu umepita kizazi hata kizazi ili tufarijike katiba misiba. Ukweli ni huu, Mungu hapangi kifo cha mtu chini ya miaka 70. Mtu anayekufa akiwa na miaka zaidi ya 70 ni mapenzi ya Mungu. Mungu hana kitabu ameandika aina ya kifo cha mtu chini ya miaka 70. Watu wanakufa kutokana na aina ya maisha wanayo ishi, mazingira wanayoishi na imani za kishetani.


ianyelwisye@gmail.com
Duh!!
 
Naunga mkono 100%, me naamini MUNGU alisema tu kila chenye uhai lazima kife au kila nafsi itaonja umauti, full stop, vingine ziada ni kama ambavyo kuna utajiri na umasikini, pepo na moto na akatuelekeza jinsi ya kuvipata kisha akatuacha tuchague
 
Gosh umekuwa one of the great thinkers amongs unthinkable thinkers! Who to them Tanzanian ways always is taboo to crticisize or speak the truth! Even if one knows this aint sawa dis way but just cause of taboos one must behave societies brain wise! Mungu alitupenda akatuumba kwa mfano wako Biblical wise sasa iweje atuchukie ghafla atuuwe tena??

Unakunywa pombe una drive kasi unapata ajili unakufa wanasema ni MAPENZI YA MUNGU/MUNGU KAMPENDA ZAIDI! una ndoa una chepuka ama we malaya/kahaba unapata UKIMWI unakufa wanasema hayo niw MAPENZI YA MUNGU majambazi yamevamia unapgwa risasi unauwawa MAPENZI YA MUNGU,Vikongwe wanauwa kwa panga NI MAPENZI YA MUNGU,Albino anakatwa panga anakufa NI MAPENZI YA MUNGU!

Vita imetokea kwa Nchi watu wana uchu wa madaraka raia wanauwawa eg Sudan/burundi/central africa! Ni MAPENZI YA MUNGU! alishabab anajilipua na nyie mnakufa wanasema ni MIPANGO/MAPENZI YA MUNGU excuse me je ANAETOA UHAI WA WANADAMU NA KUUA NI SHETANI/IBILISI? AMA NI YEHOVA/MUNGU????

Wakeup and scrutinize! Just think as a great thinker je ni Sawa kusema Mtu anapokufa kuwa ni Mapenzi ya MUNGU? ama kapendwa zaidi na MUNGU?????
 
Mungu hapangi kifo wala haui mtu lakn anaweza ruhusu upumzike kwasababu atakazoona yeye kwa wakati.

Sababu ni mbili tu zinazoweza pelekea aruhusu upumzike mapema.

1. Mti usiozaa matunda utakatwa na kutupwa mbali - rejea kisa cha mtini

2. Heri wafu wafao sasa katika bwana, Mungu anaweza ruhusu upumzike kwasababu umeitimiza kazi yake. Anasema wapate pumzika baada ya taabu zao. Kuna watu mungu anaruhusu walale kwasababu wanajitahd katika mapito yao.

Dhambi upelekea mtu kufa mapema, hasa mungu anapoona wakatiwingine unatumika kuharibu mission zake au kupoteza wengine.

Ukiishi mpka miaka 70 na kuzidi unaishi bonis time na muda wa rehema
 
mimi naona mara nyingi nature ndio ina determine mtu afe lini na wala sio Mungu
kifo cha mtu mara nyingi kinatokana na lifestyle yake na wala hakipangwi na supernatural power fulani
wengine wanaamini eti tangia umezaliwa Mungu anajua maisha yako yote yatakuaje na utakufa lini na utakufa kifo gani, kitu ambacho hakina logic
 
bleedingsouls umenena vema kingine kinachoweza kusababisha kifo pasi na mapenz ya Mungu ni huduma mbovu za tiba, uzembe uliopitiliza wa wahudumu wa afya na elimu/ competency ndogo ya wahudumu wa afya. Huku nako ni silent killers. Hapa waswahili wanasema eti mahospitalini kuna wachawi ndo mana watu wanakufa sn. Kwa kweli hivi vijiimani tulivovivaa bila kufungua akili zetu vinatupotosha sana.
 
Mungu hapangi kifo wala haui mtu lakn anaweza ruhusu upumzike kwasababu atakazoona yeye kwa wakati.

Sababu ni mbili tu zinazoweza pelekea aruhusu upumzike mapema.

1. Mti usiozaa matunda utakatwa na kutupwa mbali - rejea kisa cha mtini

2. Heri wafu wafao sasa katika bwana, Mungu anaweza ruhusu upumzike kwasababu umeitimiza kazi yake. Anasema wapate pumzika baada ya taabu zao. Kuna watu mungu anaruhusu walale kwasababu wanajitahd katika mapito yao.

Dhambi upelekea mtu kufa mapema, hasa mungu anapoona wakatiwingine unatumika kuharibu mission zake au kupoteza wengine.

Ukiishi mpka miaka 70 na kuzidi unaishi bonis time na muda wa rehema


Mkuu naomba usome vizuri hiyo mistari katika kitabu kitakatifu content yake sio mstari tu, Mungu haruhusu wala kupanga mtu apumzike! hayo ni yale yale maneno tuliyo danganywa kizazi hata kizazi. Maisha baada ya miaka 70 ndio mapenzi ya Mungu.
 
Gosh umekuwa one of the great thinkers amongs unthinkable thinkers! Who to them Tanzanian ways always is taboo to crticisize or speak the truth! Even if one knows this aint sawa dis way but just cause of taboos one must behave societies brain wise! Mungu alitupenda akatuumba kwa mfano wako Biblical wise sasa iweje atuchukie ghafla atuuwe tena??, Unakunywa pombe una drive kasi unapata ajili unakufa wanasema ni MAPENZI YA MUNGU/MUNGU KAMPENDA ZAIDI! una ndoa una chepuka ama we malaya/kahaba unapata UKIMWI unakufa wanasema hayo niw MAPENZI YA MUNGU majambazi yamevamia unapgwa risasi unauwawa MAPENZI YA MUNGU,Vikongwe wanauwa kwa panga NI MAPENZI YA MUNGU,Albino anakatwa panga anakufa NI MAPENZI YA MUNGU! vita imetokea kwa Nchi watu wana uchu wa madaraka raia wanauwawa eg Sudan/burundi/central africa! Ni MAPENZI YA MUNGU! alishabab anajilipua na nyie mnakufa wanasema ni MIPANGO/MAPENZI YA MUNGU excuse me je ANAETOA UHAI WA WANADAMU NA KUUA NI SHETANI/IBILISI? AMA NI YEHOVA/MUNGU???? Wakeup and scrutinize! Just think as a great thinker je ni Sawa kusema Mtu anapokufa kuwa ni Mapenzi ya MUNGU? ama kapendwa zaidi na MUNGU?????

mkuu nakuunga mkono, vifo hivyo sio Mapenzi ya Mungu ni mapenzi ya watu binafsi hata shetani tunamsingizie tu.
 
Sikujua kama Mungu ana kitabu na humo ndimo alikotoa maagizo na kusema jinsi anavyofanya kazi, wewe mtoa mada ndio unaniambia leo!
 
Back
Top Bottom