Kifo hakipangwi na Mungu

mtu anajinyonga kisa wivu wa mapenz eti n mapenz ya MUNGU . ukweli n kwamba hatuzingati kanuni za maisha ya kiasil
 
Naunga mkono 100%, me naamini MUNGU alisema tu kila chenye uhai lazima kife au kila nafsi itaonja umauti, full stop, vingine ziada ni kama ambavyo kuna utajiri na umasikini, pepo na moto na akatuelekeza jinsi ya kuvipata kisha akatuacha tuchague
Wacha Uongo Alisemea Ukumbi Gani? Msipende Kushuhudia Uongo.... There is No Such thing called God watu wanakufa kwa umri wowote tu ule... juzi juzi kuna mzee kawathibitishia kuwa maybe hakuonwa na huyo Mungu unayemuamini ana umri zaidi ya 130 watoto wake mke wake wazazi wake kashuhudia wakifa yeye yupo Hakuna utakachoweza kuthibitisha kwenye vitabu vinavyokufanya uamini uwepo wa Mungu Ni Story tu hao wanaokuambia Mungu Alisema hawajawahi kumuona... pili walikuja na Story zao tu za Ndotoni na Njozi wakaaminisha watu na hadi leo hii wanaendelea kuamini... na pia kuna wengine hadi miaka hii wanadai wametumwa na Mungu... Wanaongoza watu kibao...kuaminisha ila ukijafuatilia kwa undani huyo Mungu wao wanayemfananisha na Mungu wa Waisrael hakutaka ibada zake ziendeshwe kinamna hiyo... so Story za Vitabu vya dini vimekuwa uptodated na bado watu wanaamini hizi upgraded.... dah... Uchina watu hawaelewi maaana ya Mungu na Maovu hawafanyi pia... na Wanakubalika Dunia nzima... sasa wenye Imani za Dini sana Ndio hawakubaliki... Jiulize why why why... na ndio wafanya maovu lukuki...

Enjoy your life probably there is no God... Ukikwama Uliza...

Long live our Nation
 
Tatizo lenu munaosema Mungu yupo, (Muslim & Cristian) nyi nyi wenyewe munapinganga juu ya Mungu huyo huyo.

Kwanza mukubaliane kwamba Mungu gani wa kweli (najua munaamini myungu tofauti) kisha wote mumfuate huyo huyo.
 
Wacha Uongo Alisemea Ukumbi Gani? Msipende Kushuhudia Uongo.... There is No Such thing called God watu wanakufa kwa umri wowote tu ule... juzi juzi kuna mzee kawathibitishia kuwa maybe hakuonwa na huyo Mungu unayemuamini ana umri zaidi ya 130 watoto wake mke wake wazazi wake kashuhudia wakifa yeye yupo Hakuna utakachoweza kuthibitisha kwenye vitabu vinavyokufanya uamini uwepo wa Mungu Ni Story tu hao wanaokuambia Mungu Alisema hawajawahi kumuona... pili walikuja na Story zao tu za Ndotoni na Njozi wakaaminisha watu na hadi leo hii wanaendelea kuamini... na pia kuna wengine hadi miaka hii wanadai wametumwa na Mungu... Wanaongoza watu kibao...kuaminisha ila ukijafuatilia kwa undani huyo Mungu wao wanayemfananisha na Mungu wa Waisrael hakutaka ibada zake ziendeshwe kinamna hiyo... so Story za Vitabu vya dini vimekuwa uptodated na bado watu wanaamini hizi upgraded.... dah... Uchina watu hawaelewi maaana ya Mungu na Maovu hawafanyi pia... na Wanakubalika Dunia nzima... sasa wenye Imani za Dini sana Ndio hawakubaliki... Jiulize why why why... na ndio wafanya maovu lukuki...

Enjoy your life probably there is no God... Ukikwama Uliza...

Long live our Nation
Mi sijaelewa kwani wewe wa dini gani au wa imani gani?
 
Mfano umekunywa mipombe mpaka ukalewa chakari alafu unaingia kwenye chombo cha moto
Huko mbeleni unapata ajali na unafariki!
Hiyo nayo utasema ni kazi ya mungu au ni uzembe wa mwanadamu tu???
 
Haya thibitisha uwepo wa mungu utakutana na maswali ya ajabu ajabu toka kwa kiranga halafu ndo utajua yeye ni dini gani.
Mi binafsi uwepo wa Mungu ni imani, sijawahi kumuona wala sijui alipo ila ninaamini tu Mungu yupo, uwepo wangu hapa duniani ni uthibitisho tosha Mungu yupo
Afu pia imani swala la imani kila mtu analo kwa namna yake anaeamini Mungu hayupo ni sawa hiyo ni imani yake, mie nnaeamini Mungu yupo ni sawa, wengine wanaamini mawe,miti, wanyama ndio Mungu ni sawa make hiyo ndio imani yao
 
Nimesikiliza watu wengi mtu akifa wanasema "Mungu amepanga". Uongo huu umepita kizazi hata kizazi ili tufarijike katiba misiba.

Ukweli ni huu, Mungu hapangi kifo cha mtu chini ya miaka 70. Mtu anayekufa akiwa na miaka zaidi ya 70 ni mapenzi ya Mungu.

Mungu hana kitabu ameandika aina ya kifo cha mtu chini ya miaka 70. Watu wanakufa kutokana na aina ya maisha wanayo ishi, mazingira wanayoishi na imani za kishetani.
Mtumishi. Mimi Niungane na Wewe Hasa Mistari Ya Mwisho, Niukweli Kabisa, Asili Ya Vifo ni Ukiukwaji wa Amri za Mungu.

Maana Mungu Anasema Ukizitenda Amri Zake Utaishi, Na Siku Zako Zitaongezwa Yaani Kuishi Maisha Marefu.

Vifo Vimekuwa Vingi Kutokana Na Mabadiliko Ya Tabia, Hasa Kumwasi Mungu, na Kutokwenda Kwenye Sheria Yake.

Magonjwa Yameongezeka. Vifo Vimekuwa Vingi, Vijana Wadogo Wanakufa. Na Mungu Ameweka Kikomo Cha Umri wa Mwanadamu Kuwa ni Miaka 120 Japo Daudi Kutokana na Majaribu Akakata Tamaa Na Kusema Mwiso Wake Ni Miaka 70 lakini Miaka Ya Mungu Ipo Pale Pale 120.
 
Mi binafsi uwepo wa Mungu ni imani, sijawahi kumuona wala sijui alipo ila ninaamini tu Mungu yupo, uwepo wangu hapa duniani ni uthibitisho tosha Mungu yupo
Afu pia imani swala la imani kila mtu analo kwa namna yake anaeamini Mungu hayupo ni sawa hiyo ni imani yake, mie nnaeamini Mungu yupo ni sawa, wengine wanaamini mawe,miti, wanyama ndio Mungu ni sawa make hiyo ndio imani yao
Bora uamini mungu yupo alafu usimkute kuliko kuamni hakuna mungu alafu ukamkute hapo ndipo utakapoishiwa pozi
 
Mi binafsi uwepo wa Mungu ni imani, sijawahi kumuona wala sijui alipo ila ninaamini tu Mungu yupo, uwepo wangu hapa duniani ni uthibitisho tosha Mungu yupo
Afu pia imani swala la imani kila mtu analo kwa namna yake anaeamini Mungu hayupo ni sawa hiyo ni imani yake, mie nnaeamini Mungu yupo ni sawa, wengine wanaamini mawe,miti, wanyama ndio Mungu ni sawa make hiyo ndio imani yao
sasa hayo majibu mwite kilanga maana mi mwenyewe muumini wa uwepo wa Mungu. daah kweli ww ni mgeni wenyewe wanakwambia atheism siyo imani maana ya imani ni kufuata kitu pasipo na uthibitisho kwa kuwa ndugu swala la lenyewe la imani kubishana na mtu anaetoa tafsiri ya hivyo ya kuhusu imani ni kama kupoteza muda maana hakuna atakayekubali kushindwa mi ndo maana naishiaga kusoma tu.
 
Back
Top Bottom