MAGEUZI KWELI
JF-Expert Member
- Jul 16, 2011
- 1,947
- 253
Ripoti ya Mauaji ya Mangosi, ndiyo inaanza kubisha hodi kwenye masikio ya watanzania,na kweli itaamksha tena hisia za yale tulihisi kuwa tumesahau.
Lakini baada ya Vuta nikuvute kuhusu kifo hiki au vifo hivi vyenye utata? Rais Kikwete kama mkuu wa nchi, Vunja ukimya wako na toa kauli ya kuonyesha hisia zako juu ya mambo haya yanayotokea kwa watanzania wasio na hatia.
Chonde chonde Raisi.. Kauli ya Raisi Dhaifu jaribu kama utaweza ifuta .
Tafakari - Chukua Hatua