Kifo cha Mwangosi: CHADEMA wamtaka Kikwete kuchukua hatua

polisi wanapata maagizo toka ikulu kupitia kwa mwema, hakuna jipya hapa
 
Mkurugenzi wa habari na uenezi (CHADEMA) John Mnyika leo akiongea na waandishi wahabari katika ofisi ya chama, amemtaka Kikwete kuchukua hatua za haraka kwa wahusika kwa kumpiga na bomu la machozi mwandishi wa habari Mwangosi hadi kumpelekea kupoteza maisha.

Pili amemtaka kumsimamisha kazi Paul Chagonja na RPC (Iringa) Kamuhanda kusimamishwa kazi wakati uchunguzi unaendelea.

Tatu alitaka uchunguzi ufanyike wa kujua kifo cha Mwangosi ni shinikizo kutoka kwa nani?

Kuhusu wahusika wa mauaji anasema kuwa tayari wanajulikana huku akionesha picha gazeti la jana la mwananchi wakati polisi nane wakimsulubu Mwangosi. hao ambao wameonekana kwenye picha ndio wa kwanza wanapaswa kukamatwa, sababu hata wao polisi wakati raia ameuawa huwa wanaanza na wale watu walikua karibu na tukio.

Kwa maana hiyo polisi nane wanapaswa kuwa wa kwanza kukamatwa.

source ITV- habari za saa.

Kifo cha Mwangosi kimesababishwa na hao cdm wenyewe kwa kukaidi amri halali ya polisi yakutofanya mikutano wakati wa sensa. Mie nilidhani mnyika angeanza kukiri kuwa wao ndio wauaji na wawajibike kwa hilo kwa ubishi wao usio na maana. Hapo ndipo tungejua kuwa hiki ni chama makini, JK hapa anahusikaje? CDM hili mnalo halifutiki kwa jua hata ka mvua juu ya kifo hiki mlicho kifanya
 
Jamani mnyika,kikwete hawezi kuchukulia hatua maamuzi yake mwenyewe.ila umetimiza wajibu kumwambia.

Si hivyo. Mie sidhani kama JK anajali, ukizingatia tetesi kwamba kwa upande wa Arusha alisema ikibidi watu kupoteza maisha na iwe, kauli ambayo inaonekana kuendana na ile ya Pinda ya liwalo liwe.
 
Kifo cha Mwangosi kimesababishwa na hao cdm wenyewe kwa kukaidi amri halali ya polisi yakutofanya mikutano wakati wa sensa. Mie nilidhani mnyika angeanza kukiri kuwa wao ndio wauaji na wawajibike kwa hilo kwa ubishi wao usio na maana. Hapo ndipo tungejua kuwa hiki ni chama makini, JK hapa anahusikaje? CDM hili mnalo halifutiki kwa jua hata ka mvua juu ya kifo hiki mlicho kifanya
Umepitapita mtaani ukasikia wanachokisema wananchi au umetumwa kuja kuwafariji watawala?
 
Ni muhali kumtaka JK achukue hatua, ni sawa kumtaka ng'ombe dume atoe maziwa. Jamani JK ni dhaifu mno kuchukua maamuzi mazito.Kamanda Mnyika na kuaminia lakini naomba umtendee haki Rais wako, hawezi.
 
Kifo cha Mwangosi kimesababishwa na hao cdm wenyewe kwa kukaidi amri halali ya polisi yakutofanya mikutano wakati wa sensa. Mie nilidhani mnyika angeanza kukiri kuwa wao ndio wauaji na wawajibike kwa hilo kwa ubishi wao usio na maana. Hapo ndipo tungejua kuwa hiki ni chama makini, JK hapa anahusikaje? CDM hili mnalo halifutiki kwa jua hata ka mvua juu ya kifo hiki mlicho kifanya

Kichwa kikubwa akili ya mende.
 
nakipongeza chama cha CDM kwa maendeleo makubwa na sera nzuri ya kuwakomboa watanzania hakika wanaitaji kupongezwa lakini pia wanapaswa kukosolewa kutokana na ukweli kwamba hakuna kitu kilicho kamilika kwa asilimia 100 zaidi ya mungu.kwa muda sasa CDM imekuwa ikidai swala la kupunguza matumizi kupitia mishahara ya wabunge wamekuwa na sera ya kudai kwamba inapaswa mishahara ipunguzwe sera ambayo ni nzuri sana lakini hadi sasa aliyeweza kuthubutu ni zitto kabwe tu mbinu anayoitumia siamini kama wabunge wengine hawawezi hii inauma kwasasababu hawaishi kulingana kile wanachokiubili lakini nachanganyikiwa zaidi pale ambapo viongozi wa CDM wanaposema hawako tayari kuingia ikulu wakati damu ya watu imemwagika ninaipeda CDM lakiniinanisikitisha pale ambapo inaenda kinyume na kile inachokiubili

Mods, tuwekeeni na kitufe cha dislike bwana tusiwe tunapoteza muda kujibu message kama hii
 
Kifo cha Mwangosi kimesababishwa na hao cdm wenyewe kwa kukaidi amri halali ya polisi yakutofanya mikutano wakati wa sensa. Mie nilidhani mnyika angeanza kukiri kuwa wao ndio wauaji na wawajibike kwa hilo kwa ubishi wao usio na maana. Hapo ndipo tungejua kuwa hiki ni chama makini, JK hapa anahusikaje? CDM hili mnalo halifutiki kwa jua hata ka mvua juu ya kifo hiki mlicho kifanya

Mods tuwekeeni kitufe chenye matusi mengi pre-set au tuwe tunawatumia mnayaongezea ili tuwe tunachagua tusi la kujibia message kama hii maana tunapata shida sana kusoma na kujibu message kama hii.
 
wee mnyka ww' rais we2 kbogoyo, anapenda v2 lain, swala kama hl hawez fanya chochote' RAIS DHAIFU, SYSTEM LEGELEGE, sitegemei chochote
 
... Why give him a probability .. LABDA?? Nadhani kweli he has to do something kwa hii case!!

Nimesema labda kwa sababu ni kawaida yake kutokuchukua hatua sasa najipa tumaini dogo kuwa huenda this time akafanya ambacho wengi wangependa afanye.
 
Serikali iko kaburini!!! Siku nyingi haipo!! Kweli mauaji mengi kiasi hiki na mateso kwa raia wema ambao wao na ndugu zao ndiyo wapiga kura uliwadanganya kwa wali wa maharagwe, kofia na khanga halafu husemi lolote?

Rais kweli huyu? Hebu shughulikia kwanza maovu ya ndani, Tanzania inaharibikia mikononi mwako JK.

Tulikupenda sana ila utaondoka ukiwa unachukiwa mnoo. Of course hutajali maana jina umeshalijenga na utajiri na maisha unayo, but hawa waliokuchagua umewaachaje?
 
Back
Top Bottom