Kifo cha Mwangosi: CHADEMA wamtaka Kikwete kuchukua hatua

Lua

JF-Expert Member
May 19, 2011
704
305
Mkurugenzi wa habari na uenezi (CHADEMA) John Mnyika leo akiongea na waandishi wahabari katika ofisi ya chama, amemtaka Kikwete kuchukua hatua za haraka kwa wahusika kwa kumpiga na bomu la machozi mwandishi wa habari Mwangosi hadi kumpelekea kupoteza maisha.

Pili amemtaka kumsimamisha kazi Paul Chagonja na RPC (Iringa) Kamuhanda kusimamishwa kazi wakati uchunguzi unaendelea.

Tatu alitaka uchunguzi ufanyike wa kujua kifo cha Mwangosi ni shinikizo kutoka kwa nani?

Kuhusu wahusika wa mauaji anasema kuwa tayari wanajulikana huku akionesha picha gazeti la jana la mwananchi wakati polisi nane wakimsulubu Mwangosi. hao ambao wameonekana kwenye picha ndio wa kwanza wanapaswa kukamatwa, sababu hata wao polisi wakati raia ameuawa huwa wanaanza na wale watu walikua karibu na tukio.

Kwa maana hiyo polisi nane wanapaswa kuwa wa kwanza kukamatwa.

source ITV- habari za saa.
 
Tangu lini kibogoyo akapewa kazi ya kutafuna mfupa. teethless government is what we have.
 
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni sikivu na inaögozwa kwa kufuata sheria na utawala bora na iko mstari wa mbele kujali haki za binadamu kwa hali yoyote lazima itachukua hatua kwa wote waliohusika na mauaji ya Daud Mwangosi kuanzia Chagonja RPC na askari wote waliokuwepo katika tukio
 
Amiri jeshi Mkuu achukue hatua??? na hayo majeshi mali yake??? Na kuna maelekezo kutoka juu?? Nani anaweza kutoa maelekezo bila idhini ya Amiri jeshi Mkuu??
 
mkurugenzi wa habari na uenezi john mnyika leo akiongea na waandishi wahabari katika ofisi ya chama, amemtaka kikwete kuchukua hatua za haraka kwa wahusika kwa kumpiga na bomu la machozi mwandishi wa habari mwangosi hadi kumpelekea kupoteza maisha. pili amemtaka kumsimamisha kazi paul chagonja na rpc mkoa wa iringa kamuhanda kusimamishwa kazi wakati uchunguzi unaendelea. tatu alitaka uchunguzi ufanyike wa kujua kifo cha mwangosi ni shinikizo kutoka kwa nani? na kuhusu wahusika wa mauaji anasema kuwa tayari wanajulikana huku akionesha picha gazeti la jana la mwananchi wakati polisi nane wakimsulubu mwangosi. hao ambao wameonekana kwy picha ndio wa kwanza wanapaswa kukamatwa, sababu hata wao polisi wakati raia ameuawa huwa wanaanza na wale watu walikua karibu na tukio. so kwa maana hiyo polisi nane wanapaswa kuwa wa kwanza kukamatwa.
source itv- habari za saa.
Wahusika wapo wapi walibandike hilo tamko humu?
 
tamko hili ni kama limetolewa na zomba, mnyika umeanza kupokea rushwa? list ya watu wa kuwajibika ndio imeishia kwa dagaa tu?
 
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni sikivu na inaögozwa kwa kufuata sheria na utawala bora na iko mstari wa mbele kujali haki za binadamu kwa hali yoyote lazima itachukua hatua kwa wote waliohusika na mauaji ya Daud Mwangosi kuanzia Chagonja RPC na askari wote waliokuwepo katika tukio

Huu msemo wa SIKIVU siupendi kabisa. Tangu mauaji ya AAARUSHA hawajasikia tu??? Kiufupi hatuna SERIKALI.
 
Mkuu wa kaya kama haya matukio huwa anakaa chini na kuyatafakari basi ni moja wa marais walio kwenye stress kubwa mno, maana ishu zimejipanga ikitoka hii inakuja ile...soon katakuja tena katukio kengine
 
kweli,wanaotakiwa kuwajibika ni waziri nchimbi,igp na uchunguzi uhusu ni nani aliyetoa order ya kulipua bomu kwa mtu aliyeshikiliwa na genge la janjaweedpoliccm,wameua kwa makusudi kabisa,shuhuda mmoja alimwendea rpc kuzuia lakini aligoma japo alifahamishwa kuwa ni mwandishi wa habari!kabla ya kifo alipigwa na kuburuzwa hadi kuishiwa nguvu na askari wa janjaweedpoliccm!mi binafsi sihitaji tume kujua kilichotokea,nani aliyewatuma,na mpango uliopo wa kuwafanya wananchi waogope mabadiliko ya cdm (m4c);magamba kwa sasa hawana uwezo wa kujibishana kwa hoja na ccm,hivyo umma unaamini mabadiliko kuliko uhafidhina,kuogofya ndo njia moja tu yakuwafanya watu waone cdm ni chinja chinja kumbe ni mpango wa kuiokoa ccmeeeeeeeeeeeee!;MUNGU NA SISI TUTASHINDA!!,,,,,,,,,,AMEN
 
Lets wait and see! Labda atachukua hatua!
Amesema, endapo watabainika kuhusika na kifo hicho watachukua hatua. Kwenye 'endapo' ndiyo patakapofanyiwa mazingaombwe na hiyo tume.
Ila uzuri safari hii ushahidi wote upo na hata wakifanya mazingaombwe ukweli wote unaonekana.
 
nakipongeza chama cha CDM kwa maendeleo makubwa na sera nzuri ya kuwakomboa watanzania hakika wanaitaji kupongezwa lakini pia wanapaswa kukosolewa kutokana na ukweli kwamba hakuna kitu kilicho kamilika kwa asilimia 100 zaidi ya mungu.kwa muda sasa CDM imekuwa ikidai swala la kupunguza matumizi kupitia mishahara ya wabunge wamekuwa na sera ya kudai kwamba inapaswa mishahara ipunguzwe sera ambayo ni nzuri sana lakini hadi sasa aliyeweza kuthubutu ni zitto kabwe tu mbinu anayoitumia siamini kama wabunge wengine hawawezi hii inauma kwasasababu hawaishi kulingana kile wanachokiubili lakini nachanganyikiwa zaidi pale ambapo viongozi wa CDM wanaposema hawako tayari kuingia ikulu wakati damu ya watu imemwagika ninaipeda CDM lakiniinanisikitisha pale ambapo inaenda kinyume na kile inachokiubili
 
Mh!unanuka mavi hemu ondoka hapa jamvini unatuchafulia hewa...................!!unatumika na ccm wakimaliza watakupa kama kondomu ngoja wapige bao.........
 
Mnyika alisema baba riz ni dhaifu mkasema anamtukana sasa ngoja mcheki udhaifu wake kwa hili.
 
Back
Top Bottom