Kifo cha Mwangosi: CHADEMA wamtaka Kikwete kuchukua hatua

Ripoti ya Mauaji ya Mangosi, ndiyo inaanza kubisha hodi kwenye masikio ya watanzania,na kweli itaamksha tena hisia za yale tulihisi kuwa tumesahau.
Lakini baada ya Vuta nikuvute kuhusu kifo hiki au vifo hivi vyenye utata? Rais Kikwete kama mkuu wa nchi, Vunja ukimya wako na toa kauli ya kuonyesha hisia zako juu ya mambo haya yanayotokea kwa watanzania wasio na hatia.

Chonde chonde Raisi.. Kauli ya Raisi Dhaifu jaribu kama utaweza ifuta .

Tafakari - Chukua Hatua
 
Hata mimi nashangaa! Dhaifu anaongoza kutoa pole na rambi rambi za misiba duniani! lakini kifo cha Mwangosi yupo kimya kama mjusi aliyebanwa na mlango!!
 
Niko safarini canada sirudi mpaka huu upepo wa report hii nao upite.
 
Mnataka rais atoe kauli gani yupo waziri uhusika pamoja na vyombo vya usalama vitafanya kazi yake rais hayupo kwa ajili ya kuwafurahisha nyie, urais ni taasisi sio mtu mmoja serikali ina utaratibu wake ikiitajika rais kusema atasema.
 
Hivi huko kwa wazungu Canada alipo hajaulizwa kuhusu mauaji haya halafu ajibu suala liko mahakamani halizungumziki- jk mzee wa majibu mepesi kwa maswali magumu utakoma mwenyewe kumuuliza
 
Mnataka rais atoe kauli gani yupo waziri uhusika pamoja na vyombo vya usalama vitafanya kazi yake rais hayupo kwa ajili ya kuwafurahisha nyie, urais ni taasisi sio mtu mmoja serikali ina utaratibu wake ikiitajika rais kusema atasema.

rais anahusika tu kusema serikali haihusiki na utekaji kisha utesaji wa dr ulimboka, jk anapwaya sana kwenye kiti cha urais, usanii na ujanjaujanja tu, wizi mtupu
 
Ripoti ya Mauaji ya
Mangosi, ndiyo inaanza kubisha hodi kwenye masikio ya watanzania,na
kweli itaamksha tena hisia za yale tulihisi kuwa tumesahau.
Lakini baada ya Vuta nikuvute kuhusu kifo hiki au vifo hivi vyenye
utata? Rais Kikwete kama mkuu wa nchi, Vunja ukimya wako na toa kauli ya
kuonyesha hisia zako juu ya mambo haya yanayotokea kwa watanzania wasio
na hatia.

Chonde chonde Raisi.. Kauli ya Raisi Dhaifu jaribu kama utaweza ifuta .

Tafakari - Chukua Hatua

Atoe kauli gani kwani yeye ndio mahakama? Kesi ipo mahakamani acha hizo!
 
Mnataka rais atoe kauli gani yupo waziri uhusika pamoja na vyombo vya usalama vitafanya kazi yake rais hayupo kwa ajili ya kuwafurahisha nyie, urais ni taasisi sio mtu mmoja serikali ina utaratibu wake ikiitajika rais kusema atasema.

Mtetee tu na udhaifu wako
 
Mnataka rais atoe kauli gani yupo waziri uhusika pamoja na vyombo vya usalama vitafanya kazi yake rais hayupo kwa ajili ya kuwafurahisha nyie, urais ni taasisi sio mtu mmoja serikali ina utaratibu wake ikiitajika rais kusema atasema.
kwani siku zote hao mawaziri kupeleka mkono wa pole kwenye misiba huwa hawapo mpaka anafanya yeye mwenyewe,hili inakuwa vipi ashindwe kusema neno????
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom