afrodenzi
Platinum Member
- Nov 1, 2010
- 18,145
- 9,215
Yaani najihisi empty
Duhhhh ..
Sijui nukugawie msongamano wa mawazo niloyo nayo .....
Yaani najihisi empty
Mmh misongo mingine ni hatari bora nikabaki empty
Ujue kuna mawazo ya kuleta magonjwa na mawazo ya kuleta mafanikio sasa linapokuja kwenye mawazo ya kuleta mafanikio najiona niko empty.
Duhhhh kwa hiyo hauko empty completely
Unamawazo lakini ni yale ya kuleta magonjwa
I mean negative thoughts ..
Swali..
Je ni kitu gani unapenda? Kitu chochote tu ..