Kichwani sina kitu

Haya bana ..
Swali moja tu ..
Unaaishi Vipi bila mawazo?

Ujue kuna mawazo ya kuleta magonjwa na mawazo ya kuleta mafanikio sasa linapokuja kwenye mawazo ya kuleta mafanikio najiona niko empty.
 
Ujue kuna mawazo ya kuleta magonjwa na mawazo ya kuleta mafanikio sasa linapokuja kwenye mawazo ya kuleta mafanikio najiona niko empty.

Duhhhh kwa hiyo hauko empty completely
Unamawazo lakini ni yale ya kuleta magonjwa
I mean negative thoughts ..

Swali..
Je ni kitu gani unapenda? Kitu chochote tu ..
 
Duhhhh kwa hiyo hauko empty completely
Unamawazo lakini ni yale ya kuleta magonjwa
I mean negative thoughts ..

Swali..
Je ni kitu gani unapenda? Kitu chochote tu ..

Kwakuwa anamawazo ya kuleta magonjwa, atakwambia anapenda
1. Maralia tena sugu
2. Typhod
3. Syphilis...
4. ...
5. ...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom