Kibuti ambacho hutakaa ukisahau!

Yeah right ... not even a single wish.. He is the one now suffer and begging looh. Not for a second ..I'm totally not available. Thanks..

Welome.
Good to hear that, Keep on moving forward. The old relationship was a learning platform for you.
 
dah mm nlipgwa kbuti ksa nlimdanganya kuwa mm npo mwaka wa kwanza nachukua BAF mzumbe kumbe nlikuwa a level mzumbe sec mana alinikuta nimepanga mstari dining shulen kuchukua ngama a.k.a ugali akani2mia mesej et "ckutak kama unidanganya kwa mambo madogo itakuwaje kwa makubwa'' hata ckujali mana kpnd hcho shule imechanganya nkaona her to
 
Dah mi nlipigwa njiani kabisa na watu wanapita, ilikua jioni huko milimani kwetu mwanza, demu alikua anaelekea kukubali kabisa sku moja akachange akanchana live watu wakasimama kunshangaa. Nlihuzunika wiki3 nzima. Machizi wakasema achana nae kwanza demu ana pua kubwa. Baada ya kumchunguza nkakuta kweli ana pua kubwa mwanzo skuiona

Ha ha ha ha ha
Mkuu umenikumbusha ile hadithi ya sungura "sizitaki mbichi hizi"
 
* Ili kibuti kisiwe na madhara usimtongoze mwanamke wakati upo single, jaribu kuwa na dem ndio umtongoze mwingine...kuna invisible attraction force inafanya kazi

* Ukiwa na dem halafu ukatongoza mwingine ni rahisi kukubaliwa kuliko ukienda ukiwa hauna na kwamba huyo unaemtongoza ndio unamtegemea awe wako...hiyo ni 'nature'

* Wanawake hawajui kukataa in 'real sense'....ndio maana anakataa na kukubali mda wowote....wanawake wengi wanasema wangekuwa wameumbwa wanaume ,wangekuwa wanabadilisha sana totoz...
 
Back
Top Bottom