Kibuti ambacho hutakaa ukisahau!

Dah mi nlipigwa njiani kabisa na watu wanapita, ilikua jioni huko milimani kwetu mwanza, demu alikua anaelekea kukubali kabisa sku moja akachange akanchana live watu wakasimama kunshangaa. Nlihuzunika wiki3 nzima. Machizi wakasema achana nae kwanza demu ana pua kubwa. Baada ya kumchunguza nkakuta kweli ana pua kubwa mwanzo skuiona
 
hahahaaaaa eti pua kubwa
 
duh.... nimechekaje, mwanzo hukuiona pua kubwa. Ila mwanamke anayekuponda mbele za watu sioo mstaarabu, kwani we ulimtokea mbele ya kadamnasi? bora tu uachana nae, atakuja kukuaibisha kwa kukosa ustaarabu
 
Kitu pua, sa mzee hukuona hilo li pua, il vibuti vikikolea had sababu unatafuta, si mchezo
 
Huhuhuu.mi kibuti nlchopata katika maisha yang yote ni kimoja tuu.tena bonge la mchezo wa kuigiza.
Jamaa alinkosea nkataka kutoka mwenyewe kune uhusiano kirohosafi sema nkabembelezwa mwee mpaka nkaingia line,afu baada ya siku kadhaa ye ndo akanpiga kibuti.bonge la baruaaa.dah!
Such is life.
 
Maisha ya mapenzi ni fumbo zito kulifumbua,sijao na cjuwi nitaowa lini but what i knw hata alie owa ajuwi. Mapenz yanaumiza sana lakini mtu imara na mwenye msimamo ktk maisha ataendelea kuish wanyonge kujifia ama kujiuwa. Nilazima vijana tuwe imara ktk kumuombo Mungu maana either wewe mkiristo,muhslamu ama mpagani umeandikiwa mke1 tu mtakae pendana kujaliana ktk shida na raha. Hvyo mim kwangu kupigwa kibuti nifuraha kubwa na uchungu kidogo kwa vile mm nimwanadamu. Lakini ktk yote mke wangu yupo na anakuja! So mashaka huzuni kamwe haziniwezi. Kuna msemo unasema Mungu humleta mtu ktk maisha ya mwanadamu kwa sababu maalumu na Mungu hututenga na mpendwa ama rafiki fulan kutuokoa na jambo fulani tusilo lijuwa!

Very touching .. Ilinikuta hii and I'm so glad it happened because the way I was before not the same as I am today .. I thank God for his season then and the season I have right now ....Thanks...
 
Sijawahi pigwa kibuti. Sijawahi kuwa na mahusiano ya muda mfupi mi ni miaka miwili kwenda mbele. Ngoja 2017 nioe kabisa.
Mtu akinisumbua namleta karibu anipende zaidi afu kitachomkuta anajua
 
Sitosahau mwanaume niliyempenda na kumuamin kwa kila kitu lakin walikuja marafiki zake wakanieleza juu ya tabia yake nilikaataa kuamin koz na yy alikir ameacha lakin ciku zinavoenda kila nikirnda kwake nakutana na vitu vya ajabu ukimuuliza Mara vya ndugu zake mwisho nikaamua kukaa kimya mpaka Leo nampenda Huyo kaka ila nikifikiria kurud nakumbuka tabia yake then dunia ilivyo moyo unasita sitaki kurud na kilo mbili homee
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom