Kibuti ambacho hutakaa ukisahau!

Nilipigwa kibuti cha kimya kimya hadi nikadata, nilihisi mwili na ubongo havina ushirikiano, miguu na mikono vilikosa nguvu, hamu ya kula sina, yaani nilitamana hata kuacha shule. Na hapo ndio kwanza shule imeanza na jamaa aliyemchukua tupo darasa moja, just imagine. Bila ya wale rafiki zangu kunipa moyo kwa kweli nilitamani hata kutoroka shule. Ila nikazoea na siku zikasonga. Lakini toka siku hiyo, mimi sina mapenza ya dhati na mwananke, maana huwa nakumbuka yale ya kipindi kile. Hata niliyenaye mpaka huwa anadai sina mapenzi nae, lakini hajui ni nini kilinikuta, kumbe mwenzie nina kahistoria historia.

Ila kuna siku pia niliwahi kulia kwa ajili ya mpenzi wangu, maana tulikubaliana aje gheto akaniambia atakuja anajiandaa halafu baadae kuja kumuuliza umefika wapi akadai amelala na muda ilikua ni jioni tayari na anakaa mbali. Isee nilichukukia, nikamwambia kuanzia leo tusijuane na wala asije kunitafuta. Ila nilikua naadika ile meseji huku machozi yananitoka. Mapenzi ukiyaendekeza utakua kichaa muda si mrefu. Yaani moyo wanu umekufa ganzi kabisa juu ya mapenzi
 
duu! Mi bado nampenda sana dada m1 aliyenipiga kibuti,actually sidhani kama ntaweza kumsahau! Nlim2mia "dedication ya wimbo wa think twice before live" naye akajibu kwa dedication ya "Its my time to live on my own" Ila namshukuru MUNGU amenipa mke anayefanana na mimi. Na yule dada till now,
hajapata m2, ni mzuri ila ana
complex personality. Sometimes huwa namshukuru MUNGU kwakuniepusha naye. Vibuti vinamaana yake frnds. Its just natural selection, DON'T GIVE UP.... Ukipigwa.

Umenena vyema mkuu
 
Nilipigwa kibuti cha kimya kimya hadi nikadata, nilihisi mwili na ubongo havina ushirikiano, miguu na mikono vilikosa nguvu, hamu ya kula sina, yaani nilitamana hata kuacha shule. Na hapo ndio kwanza shule imeanza na jamaa aliyemchukua tupo darasa moja, just imagine. Bila ya wale rafiki zangu kunipa moyo kwa kweli nilitamani hata kutoroka shule. Ila nikazoea na siku zikasonga. Lakini toka siku hiyo, mimi sina mapenza ya dhati na mwananke, maana huwa nakumbuka yale ya kipindi kile. Hata niliyenaye mpaka huwa anadai sina mapenzi nae, lakini hajui ni nini kilinikuta, kumbe mwenzie nina kahistoria historia.

Ila kuna siku pia niliwahi kulia kwa ajili ya mpenzi wangu, maana tulikubaliana aje gheto akaniambia atakuja anajiandaa halafu baadae kuja kumuuliza umefika wapi akadai amelala na muda ilikua ni jioni tayari na anakaa mbali. Isee nilichukukia, nikamwambia kuanzia leo tusijuane na wala asije kunitafuta. Ila nilikua naadika ile meseji huku machozi yananitoka. Mapenzi ukiyaendekeza utakua kichaa muda si mrefu. Yaani moyo wanu umekufa ganzi kabisa juu ya mapenzi

Eeh hujamalizia story kwahyo mkaachana kisa hakuja ghetto au ulikuwa unatikisa kiberiti malizia plzzz...!
 
Hahahaaaaa ebana nilikua namtikisia kesho yake wacha aanze kunisumbua na mameseje ya nisamehe. Duh nikamsamehe bana ila nilikua nampenda huyu mtoto kwa sababu anajua mapenzi hata umuamshe saa nane usiku yeye hana hiyani anakupa papuchi. Mwanaume nikamwaga chozi bana. Teheeeee
 
Hahahaaaaaa!! Hakuna kitu nachukia kama kuamshwa usiku, mnakera hamjui tu!
 
Yaani tena nikiahtuka tu hata saa ngapi na mzigo huu hapa yaani lazima nipige za kutosha. Yaani halafu huwa sipati usingizi eti. Nitashtuka hata mara 5
 
Mweeeeh! Hufai kwa matumizi ya binadamu
 
Back
Top Bottom