hivi unajua mtu kama huyu kibonde unaweza mchapa bakola mpaka basi cha msingi ni tumuepuka asije tuletea balaa wengine tuna hamu na nchi yetu iwe kwenye mfumo mzuri kwa sabubu roho zetu zinatuuma sana hasa juu ya mali za watanzania jinc zinavyoliwa
mi naona tunampa umaarufu kama tutaendelea kumjadili huyu jamaa...... hamuoni mwenzie Makamba katulia???
Mkuu punguza hasira!kwenye issue ya katiba lazima kuwe na YES na NEY.Kibonde anayohaki kama wewe ya kupinga au kukubali.
MUHIMU:mjadala wa katiba mpya uwe official na hatimaye tufanye kura ya maoni.
Hoja hupingwa kwa hoja mfano werema anatoa mifano ya marekani na kusahau sisi ni watanzania (8hrs away)
Huyu jamaa ropkaropka yake atakuja jikuta anapnda The Hague kwa kuchangia vurugi na mauaji nchi hiiKibonde live, ana critisize mabadiliko ya katiba kama kaka yake werema_watu wanapata wapi power hii ya kuzungumza upumbavu? Shime watz, watu tumekaa kimya wanatuona mabwege_hivi kwann_tz hiv ni ya nan! Huyo kibonde nae mjua mimi ana nin? Anajidai nin? Ndugu zangu hapa nahasira_achen tu
Mkuu punguza hasira!kwenye issue ya katiba lazima kuwe na YES na NEY.Kibonde anayohaki kama wewe ya kupinga au kukubali.
MUHIMU:mjadala wa katiba mpya uwe official na hatimaye tufanye kura ya maoni.
Hoja hupingwa kwa hoja mfano werema anatoa mifano ya marekani na kusahau sisi ni watanzania (8hrs away)
Dawa ni kutosikiliza tu watangazaji/vipindi/redio wa kipuuzi. You are giving too much importance/prominence kumsikiliza na kuanza kumjadili. Just ignore the insignificant fools...