Kibonde_clouds live, hataki mabadiliko

tunalazimika

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
1,098
256
Kibonde live, ana critisize mabadiliko ya katiba kama kaka yake werema_watu wanapata wapi power hii ya kuzungumza upumbavu? Shime watz, watu tumekaa kimya wanatuona mabwege_hivi kwann_tz hiv ni ya nan! Huyo kibonde nae mjua mimi ana nin? Anajidai nin? Ndugu zangu hapa nahasira_achen tu
 
Kweli una hasira:frusty::smash::boxing:
 
Kibonde live, ana critisize mabadiliko ya katiba kama kaka yake werema_watu wanapata wapi power hii ya kuzungumza upumbavu? Shime watz, watu tumekaa kimya wanatuona mabwege_hivi kwann_tz hiv ni ya nan! Huyo kibonde nae mjua mimi ana nin? Anajidai nin? Ndugu zangu hapa nahasira_achen tu

mkuu usiwe na hasira kibonde ni pandikizi la JK anajulikana na kila mtu wala asikutia shaka
 
Tumemzoea, kila siku yeye anatetea ujinga tu.
Mwache hivyo hivyo aendelee kupiga kelele mbele ya mike na kutapeli maharusi kwa kukimbia tenda za umsii anazopata
kibonde live, ana critisize mabadiliko ya katiba kama kaka yake werema_watu wanapata wapi power hii ya kuzungumza upumbavu? Shime watz, watu tumekaa kimya wanatuona mabwege_hivi kwann_tz hiv ni ya nan! Huyo kibonde nae mjua mimi ana nin? Anajidai nin? Ndugu zangu hapa nahasira_achen tu
 
Dont Know this Kibonde Guy, lakini problem ya media zetu Tanzania some reporters badala ya kureport habari au kuongea issue in their own personal opinion Everyone is an Expert on Everything.... (Politics, Sports, Business, Entertainment e.t.c).... and instead of communicating with the audience they are preaching their own opinions.
 
Kibonde live, ana critisize mabadiliko ya katiba kama kaka yake werema_watu wanapata wapi power hii ya kuzungumza upumbavu? Shime watz, watu tumekaa kimya wanatuona mabwege_hivi kwann_tz hiv ni ya nan! Huyo kibonde nae mjua mimi ana nin? Anajidai nin? Ndugu zangu hapa nahasira_achen tu

tatizo kibonde anajifanya public speaker
 
ni KILAZA na mtu mwenye mawazo dhalili kabisa, inashangaza sana,, yeye daima kuwa upande wa watu wa hovyo.
 
Mkuu punguza hasira!kwenye issue ya katiba lazima kuwe na YES na NEY.Kibonde anayohaki kama wewe ya kupinga au kukubali.
MUHIMU:mjadala wa katiba mpya uwe official na hatimaye tufanye kura ya maoni.
Hoja hupingwa kwa hoja mfano werema anatoa mifano ya marekani na kusahau sisi ni watanzania (8hrs away)
 
Kibonde live, ana critisize mabadiliko ya katiba kama kaka yake werema_watu wanapata wapi power hii ya kuzungumza upumbavu? Shime watz, watu tumekaa kimya wanatuona mabwege_hivi kwann_tz hiv ni ya nan! Huyo kibonde nae mjua mimi ana nin? Anajidai nin? Ndugu zangu hapa nahasira_achen tu

Huyu jamaa alinisikitisha kwenye Mdahalo wa kuchonga ule wa JK na waandishi pale Anatogulo! Kama uliangalia lile tukio basi hutashangaa lolote kutoka kwake Mkuu, huyo ndivyo alivyo!
 
Dont Know this Kibonde Guy, lakini problem ya media zetu Tanzania some reporters badala ya kureport habari au kuongea issue in their own personal opinion Everyone is an Expert on Everything.... (Politics, Sports, Business, Entertainment e.t.c).... and instead of communicating with the audience they are preaching their own opinions.

nashukuru kwa courage yenu ndugu zangu_kwa kwel alipoanzisha hiyo topic ya mabadiliko ya katiba na kusema ni move ya watu 13 na kwamba watz hawana neno na katiba na kwamba ipo okey kwa kwel nilijisikia kupasuka
 
Ukimuuloiza katiba ni nini hawezi kukjibu huyo so just chill na mpotezee sana sana unamuongezea umaarufu tu hapa
 
Kibonde live, ana critisize mabadiliko ya katiba kama kaka yake werema_watu wanapata wapi power hii ya kuzungumza upumbavu? Shime watz, watu tumekaa kimya wanatuona mabwege_hivi kwann_tz hiv ni ya nan! Huyo kibonde nae mjua mimi ana nin? Anajidai nin? Ndugu zangu hapa nahasira_achen tu

Punguza hasira mkuu.
Siku hizi wanapeleka watu wao kila sehemu ili wababwaje.
Wamejaribu kanisani wameshindwa.
Njaa mbaya.
 
Dawa ni kutosikiliza tu watangazaji/vipindi/redio wa kipuuzi. You are giving too much importance/prominence kumsikiliza na kuanza kumjadili. Just ignore the insignificant fools...
 
hiyo katiba yenyewe tunaijua??????? au ndo bendera kufuata upepo....? oke tujadili vipengele vinavyohitaji mabadiliko kwa kuvionyesha dhahiri shairi
 
Kibonde live, ana critisize mabadiliko ya katiba kama kaka yake werema_watu wanapata wapi power hii ya kuzungumza upumbavu? Shime watz, watu tumekaa kimya wanatuona mabwege_hivi kwann_tz hiv ni ya nan! Huyo kibonde nae mjua mimi ana nin? Anajidai nin? Ndugu zangu hapa nahasira_achen tu
Unapomkasirikia mwehu.......watu watashindwa kuwatofautisha................. na wapo watakaoona wewe mzima ndiye mwehu zaidi..........
 
Mkuu punguza hasira!kwenye issue ya katiba lazima kuwe na YES na NEY.Kibonde anayohaki kama wewe ya kupinga au kukubali.
MUHIMU:mjadala wa katiba mpya uwe official na hatimaye tufanye kura ya maoni.
Hoja hupingwa kwa hoja mfano werema anatoa mifano ya marekani na kusahau sisi ni watanzania (8hrs away)

tatizo la Kibonde ni anawakandia na kuwakashifu wale wanaosema no dhidi ya katiba ile, huyu ni mtu ambae mimi namuona ni kilaza wa mambo
 
mwana ccm huyo hana jipya,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,alistahili kusema vile ana mpango wa kuwa diwani kisha mea,alishawahi kutamka hilo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom