NGULI
JF-Expert Member
- Mar 31, 2008
- 4,803
- 637
kama ambavyo JF itakavyopelekwa
Wewe utakuwa nyumba ndogo ya hilo dubwasha
kama ambavyo JF itakavyopelekwa
Wapo wana CCM wengi tu wanapenda katiba mpya... tusimhukumu kwa kuwa ni mwanaCCM bali tumhukumu kwa upumbavu wakemwana ccm huyo hana jipya,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,alistahili kusema vile ana mpango wa kuwa diwani kisha mea,alishawahi kutamka hilo
usinitafutie ban bure,kwani wewe nnyumba ndogo ya nani mwenzetuWewe utakuwa nyumba ndogo ya hilo dubwasha
Kibonde ana haki kutetea katiba isibadilike kama mtanzania tusimlaumu sana.Kwa upeo wake wa akili haitajiki lawama kwa watu wenye upeo kama kibonde utahitaji kuwafundisha kwa visoda
Hahahaaaaaaaaa.. hebu tupe dalili za ugonjwa wa kibonde tuutambue na kuuepuka mkuuKibonde ni ugonjwa shime wa Tanzania msiusikilize,Jamaa anamatatizo ya kimawazo tokea yupo skul.
Dawa ya Clolouds inachemka, Kunaissue kubwa ya UFISADI italipuka 2011. Hao wote watakua wananuka kama Mazi ya Fisi.
Leo nimemsikia huyu jamaa aitwaye Ephraem Kibonde katika kipindi cha Jahazi kinachorushwa na Radio Clouds, akiongelea juu ya suala la katiba. Kwa kweli alinikera saana jinsi anavyowaona wale wote wanaozungumzia juu ya katiba mpyaa kama vile hawajui lolote. Amemsaga saana mama mmoja alohojiwa na waandishi wa gazeti la Dar Leo alotaka serikali iigawe katiba kwa wananchi kama ambavyo inavyogawa kondomu.
Jamani watangazaji wa CLOUDS na wengine wote msitumie radio zenu kutaka kuwafunga midomo wasiongee wanachohitaji kwa mustakbali wa katiba mpyaa kwa kisingizio cha kuwa hata hiyo katiba ya zamani hawaijui. Wewe KIBONDE na wenzio mnajua fika kuwa leo hii kila mtu akiihitaji hiyo katiba nakala zilizopo madukani hazitoshi. Na pia kutoisoma au kutokuwa nayo hiyo katiba ya zamani bado si kigezo cha kunifanya nisidai katiba. :angry::angry::angry::angry::angry::angry:
this thread is redundant!!
anayejua elimu ya kibonde anijuzeLeo nimemsikia huyu jamaa aitwaye Ephraem Kibonde katika kipindi cha Jahazi kinachorushwa na Radio Clouds, akiongelea juu ya suala la katiba. Kwa kweli alinikera saana jinsi anavyowaona wale wote wanaozungumzia juu ya katiba mpyaa kama vile hawajui lolote. Amemsaga saana mama mmoja alohojiwa na waandishi wa gazeti la Dar Leo alotaka serikali iigawe katiba kwa wananchi kama ambavyo inavyogawa kondomu.