Kibonde_clouds live, hataki mabadiliko

yaani kama watu wanamtuhumu mwanasheria mkuu, yeye ndo anaejibu, ananikera huyu ~!!!!!!
 
Leo nimemsikia huyu jamaa aitwaye Ephraem Kibonde katika kipindi cha Jahazi kinachorushwa na Radio Clouds, akiongelea juu ya suala la katiba. Kwa kweli alinikera saana jinsi anavyowaona wale wote wanaozungumzia juu ya katiba mpyaa kama vile hawajui lolote. Amemsaga saana mama mmoja alohojiwa na waandishi wa gazeti la Dar Leo alotaka serikali iigawe katiba kwa wananchi kama ambavyo inavyogawa kondomu.
Jamani watangazaji wa CLOUDS na wengine wote msitumie radio zenu kutaka kuwafunga midomo wasiongee wanachohitaji kwa mustakbali wa katiba mpyaa kwa kisingizio cha kuwa hata hiyo katiba ya zamani hawaijui. Wewe KIBONDE na wenzio mnajua fika kuwa leo hii kila mtu akiihitaji hiyo katiba nakala zilizopo madukani hazitoshi. Na pia kutoisoma au kutokuwa nayo hiyo katiba ya zamani bado si kigezo cha kunifanya nisidai katiba.
:angry::angry::angry::angry::angry::angry:
 
Dont Know this Kibonde Guy, lakini problem ya media zetu Tanzania some reporters badala ya kureport habari au kuongea issue in their own personal opinion Everyone is an Expert on Everything.... (Politics, Sports, Business, Entertainment e.t.c).... and instead of communicating with the audience they are preaching their own opinions.

Brother you may not know the guy but you have just mentioned who he is. He tends to have a word on everything.
And if you didnt know, non-critical reporters have a chance to travel on overseas Presidential visits. So am not surprised of what he did
 
yaani kama watu wanamtuhumu mwanasheria mkuu, yeye ndo anaejibu, ananikera huyu ~!!!!!!

Nilichogundua mimi mwanasheria mkuu wa serikali anadharau sana, kwa jinsi alivyojibu alionyesha wale wote wanaodai katiba mpya ni viwango duni wa fikira (VIDU)
 
If he is not with us he is against, so yeye ni crap tuu anayetetea maslah yake anayeona leo hajui kesho itakuwaje, hana focus ya kulipeleka taifa hili mbele, sisi tutapigania katiba mpya ndo itayotutoa hapa tulipo na kubadilisha maisha ya wengi, watabana wataachia.
 
hiyo katiba yenyewe tunaijua??????? au ndo bendera kufuata upepo....? oke tujadili vipengele vinavyohitaji mabadiliko kwa kuvionyesha dhahiri shairi

hatuijui kwa sababu mwananchi hakuhusishwa moja kwa moja kwenye mchakato wa kuipata.
 
Mkuu nipo hapa namsikiliza kwa kweli natamani nimrukie nimtafune. Maana anajifanya yeye ndio anajua saana. Na huyu mdada alokimbia Radio one naye anashadadia kama nini vile. JAMANI KIBONDE katiba ndio msingi wa hayo yote unayoyasema wananchi hawayadai. Hata kama wakiiyajua as long as katiba hii ilivyo hutaweza kuyapinga yote yanayoborongwa na viongozi wa CCM. KIBONDE UNAKERA SAANA
 
Leo nimemsikia huyu jamaa aitwaye Ephraem Kibonde katika kipindi cha Jahazi kinachorushwa na Radio Clouds, akiongelea juu ya suala la katiba. Kwa kweli alinikera saana jinsi anavyowaona wale wote wanaozungumzia juu ya katiba mpyaa kama vile hawajui lolote. Amemsaga saana mama mmoja alohojiwa na waandishi wa gazeti la Dar Leo alotaka serikali iigawe katiba kwa wananchi kama ambavyo inavyogawa kondomu.
Jamani watangazaji wa CLOUDS na wengine wote msitumie radio zenu kutaka kuwafunga midomo wasiongee wanachohitaji kwa mustakbali wa katiba mpyaa kwa kisingizio cha kuwa hata hiyo katiba ya zamani hawaijui. Wewe KIBONDE na wenzio mnajua fika kuwa leo hii kila mtu akiihitaji hiyo katiba nakala zilizopo madukani hazitoshi. Na pia kutoisoma au kutokuwa nayo hiyo katiba ya zamani bado si kigezo cha kunifanya nisidai katiba.
:angry::angry::angry::angry::angry::angry:

Pole kwa kuaribiwa siku na huyo Kilima. Anathani anajua saaaaana kuliko watanzania wengine.

jamaa ni kibaraka mkubwa sana wa CCM haina ubishi na ukimsikiliza kwenye magazeti yakiponda serikali hasomi ila wawe wapinzani atasoma mwanzo mwisho. siku yake inakuja
 
Clouds fm ni moja ya radio ambayo baada ya ukombozi itapelekwa international court of hague kwa uchochezi
 
wapi mr 2, Mh.Mbilinyi aje atunge Kibao kingine kuhusu huyu kibaraka manyoya.
 
huyu kibonde ni chizi. Eti kipimo chake cha mtu kuijua katiba ni kujua rangi ya cover. Sasa je mimi niliyeisoma katika internet!!
 
Wale tusimsingizie JK, anatumia chombo cha habari vibaya. Tume ya mawasiliano wawakague hawa jamaa mara kwa mara. Jambo hili ni nyeti lakini Clouds wanalifanyia mzaha. Clouds inasikilizwa na vijana wengi badala ya kuwa elekeza kuaelewa wanawachanganya.

Imeanza kuwa redio isiyo makini.
 
Hivi jamani mnataka muijue katiba kivipi??? Labda kwa vijana wengi mlosoma hivi karibuni ndio mtakuwa hamuifahamu hiyo katiba. Wengi wetu tulosoma sekondari kati ya miaka ya 80 hadi 88 tulisoma katiba na kuifanyia mitihani katika somo lililoitwa siasa. Kwa upande wa chuo kikuu enzi hizo tulisoma katiba katika somo liitwalo IDS. So tunaijua katiba na mabaya yake yote!!!
 
asikusumbue kichwa huyo limbukeni hajui hata katiba ni nini?

mwache apige kelele tu
 
Kibonde anajipendekeza sana kwa kikwete, **** tue yule dogo. anafikiri kujuana na kikwete atapata isuue
 
Kibonde ana haki kutetea katiba isibadilike kama mtanzania tusimlaumu sana.Kwa upeo wake wa akili haitajiki lawama kwa watu wenye upeo kama kibonde utahitaji kuwafundisha kwa visoda
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom