Kwani kasomea uandishi?? Yule ni MC tu.Wanasema siku zote mshika mawili moja humponyoka sasa yeye uandishi ulishamponyoka zamani amebaki mc ambaye kazi yake ni kusema chochote mradi muda uende siku ipite
Nimesikiliza kwenye kipindi chake cha jahazi anabisha kuwa hakuna miujiza ya uponyaji . Lakini kwa walio wa Kristu wanaamini kila jambo linawezekana endapo utaomba kwa imani . Au kibonde anaabudu kwa shehe yahaya ?
Hivi ni MKRISTU au MKRISTO ??
Wht's the difference!??
sioni sababu kibonde aikubali dawa kwa sababu ni mkristu. not like that. mi naona kama ni dawa ya miti shamba haiusiani na dini kwani kuna watu hawana dini na wanatibu kwa kutumia miti shamba.
na kama ni maombezi basi kuna wakiristo wanamkubali kakobe wakisema lwakatare ni bobeshi, na wengine wanamkubali mzee wa upako wakisema kakobe longolongo. na wengine wakisema lwakatare,kakobe,wa upako,ndiege wote ni longolongo but kuna watu wanashuhudia kwamba wanapona.
halafu kama mungu ndio kamuelekeza hiyo dawa vipi iwe na masharti. kama mti ule unatowa dawa basi iwe dawa kwa yeyote.
Hakuna cha dawa wala nini hilo ni dili la watu fulani wanatengeneza pesa sasa, kuanzia usafiri,vyakula,vinywaji,na fee.