Kibonde mkristu asiyeamini ukristu

Hivi si tulishakubaliana tusimjadili huyu tutusa hapa? He isn't worth our fingernails! Nimemuandikia mkurugenzi wake waraka kuwa wamuwekee karantini kisha wam-fumigate kichwa chake
 
Wanasema siku zote mshika mawili moja humponyoka sasa yeye uandishi ulishamponyoka zamani amebaki mc ambaye kazi yake ni kusema chochote mradi muda uende siku ipite
Kwani kasomea uandishi?? Yule ni MC tu.
 
Kibonde ni dini ya Jehova witness,hawa ndugu hawaamini mambo ya uponyaji. na aliyesema amewona kule kwa baba ni muongo.imani yake haimruhusu hata kuongezewa damu ya mtu mwingine

kibonde usijali sana maneno ya watu,hata kama unaumwa ugonwa ule wanakutakia nini?
 
Nimesikiliza kwenye kipindi chake cha jahazi anabisha kuwa hakuna miujiza ya uponyaji . Lakini kwa walio wa Kristu wanaamini kila jambo linawezekana endapo utaomba kwa imani . Au kibonde anaabudu kwa shehe yahaya ?

Hivi ni MKRISTU au MKRISTO ??
 
kuna mambo mengi tu ya kujadili na sio kumzungumzia huyu jamaa ambae kula yake yategemea kubwabwaja kwenye radio
 
Who is kibonde in this world by the way yeye hat kama asipoamin ni kimpango wake na familia yake.Iman yak wew usiilinganishe nayamtu yoyot yule.Amen
 
sioni sababu kibonde aikubali dawa kwa sababu ni mkristu. not like that. mi naona kama ni dawa ya miti shamba haiusiani na dini kwani kuna watu hawana dini na wanatibu kwa kutumia miti shamba.
na kama ni maombezi basi kuna wakiristo wanamkubali kakobe wakisema lwakatare ni bobeshi, na wengine wanamkubali mzee wa upako wakisema kakobe longolongo. na wengine wakisema lwakatare,kakobe,wa upako,ndiege wote ni longolongo but kuna watu wanashuhudia kwamba wanapona.
halafu kama mungu ndio kamuelekeza hiyo dawa vipi iwe na masharti. kama mti ule unatowa dawa basi iwe dawa kwa yeyote.
Hakuna cha dawa wala nini hilo ni dili la watu fulani wanatengeneza pesa sasa, kuanzia usafiri,vyakula,vinywaji,na fee.
 
Thinkers,huyu nikibonde kama jina lake linavyosound,shule enyewe cna uhakika kama anayo! Hana ktu hata kmoja alichowahi kuongea cha maana! Rabish tupu,miujiza aliyekuwa anafanya Jesus,mitume wake hajaisoma o even kuickia cus c msomaji wa biblia ze way anavyoonesha! Au nimfuasi wa shk yahaya(nyota,bao nakama hzo zmenyimwa kwenye biblia 2jiepushe nae na 2simkilize)! Kibonde hana jipya wala lamaana,mtupu kabisa!
 
sioni sababu kibonde aikubali dawa kwa sababu ni mkristu. not like that. mi naona kama ni dawa ya miti shamba haiusiani na dini kwani kuna watu hawana dini na wanatibu kwa kutumia miti shamba.
na kama ni maombezi basi kuna wakiristo wanamkubali kakobe wakisema lwakatare ni bobeshi, na wengine wanamkubali mzee wa upako wakisema kakobe longolongo. na wengine wakisema lwakatare,kakobe,wa upako,ndiege wote ni longolongo but kuna watu wanashuhudia kwamba wanapona.
halafu kama mungu ndio kamuelekeza hiyo dawa vipi iwe na masharti. kama mti ule unatowa dawa basi iwe dawa kwa yeyote.
Hakuna cha dawa wala nini hilo ni dili la watu fulani wanatengeneza pesa sasa, kuanzia usafiri,vyakula,vinywaji,na fee.

Ungekua unafatilia wanaJF vizur ucngemalizia na pumba namna hyo! Kuna mwanaJF alisema 'Jesus alichukua udongo akatema mate akaufanya tope akampaka kpofu akaona,pia Naman aliambiwa akaoge mara saba kweny bahar ya sham atapona' wee kilaza jiulize ''kila mtu aoge mara saba kweny bahar yeyote ili apone,au finyanga tope kampake kipofu ili apone'' kilaza eeh? Jiulize mambo hayo then utajua ulichoandika ukushrikisha huo m-bichwa wako.
 
siyo mchangiaji mzuri sababu siwezi kupangilia maada lakini kutokana na huyu bwana kibonde(mjinga namba moja tz) kuwekwa mezani basi na mm nafunguka kama ifuatavyo.. uyu jamaa ni ***** tahira ningekuwa na zipu ningemfunga mdomon asiongee milele. anapotosha umma na ni kibaraka wa watawala mtumwa anaendeshwa kwa hisia za watu ama pesa anazoongwa.. hakika yawezekana wanaosema ana ukimwi hawakosei
 
si kosa lake ni kosa la waliomwajiri. utamwajiri vipi mtu mgonjwa?
 
Nimesikiliza kwenye kipindi chake cha jahazi anabisha kuwa hakuna miujiza ya uponyaji . Lakini kwa walio wa Kristu wanaamini kila jambo linawezekana endapo utaomba kwa imani . Au kibonde anaabudu kwa shehe yahaya ?

ngoja nikwambie hili jamaa n linafiki pita maelezo lilichokuwa likisubiri taarifa ya kufungiwa kwa huyu babu..unajua kuna watu wanatufanya tuhoji elimu zao na uelewa wao ..huyu jamaa nahsi kama ana degree wenzake wa pemben walipata shida sana enzi za DESARING
 
Huyu toilet paper ya nanihii, mzushi, huyu ndie expert wala kitu na tafsiri ya mtu ambaye ni expert in everything is expert in nothing! so Kibonde ndio hivyo. Mzushi, muongo, mhuni, eti haamini kuwa Babu wa LOLIONDO anaponya! anaifahamu Bible eti!!!!! haya bana
 
Nimesikiliza kwenye kipindi chake cha jahazi anabisha kuwa hakuna miujiza ya uponyaji . Lakini kwa walio wa Kristu wanaamini kila jambo linawezekana endapo utaomba kwa imani . Au kibonde anaabudu kwa shehe yahaya ?

Kibonde Who?????????
 
Back
Top Bottom