Kibonde mkristu asiyeamini ukristu

carefree

JF-Expert Member
Dec 19, 2010
266
47
Nimesikiliza kwenye kipindi chake cha jahazi anabisha kuwa hakuna miujiza ya uponyaji . Lakini kwa walio wa Kristu wanaamini kila jambo linawezekana endapo utaomba kwa imani . Au kibonde anaabudu kwa shehe yahaya ?
 
Tupe habari kamili alitoa hoja gani kusema hivyo kama alitoa hoja ziweke hapa
 
Anabisha mpk regina mwalekwa amemuambia itabidi waongee baada ya kipindi
 
huyu jamaa bado anasikika humu ndani ya jf ... ntatuma ma6bi kwa invisible atuandalie jf kibonde huko tumdiscuss,tumchambue ,tumtukane ,yani tumfanye kila tunachotaka ,mana ktk majukwaa mengine anakera ,lol!!
 
Nimesikiliza kwenye kipindi chake cha jahazi anabisha kuwa hakuna miujiza ya uponyaji . Lakini kwa walio wa Kristu wanaamini kila jambo linawezekana endapo utaomba kwa imani . Au kibonde anaabudu kwa shehe yahaya ?
Ndugu yangu kwani kuna dini mpya Tz inaitwa Shk Yahya?
 
Tupe habari kamili alitoa hoja gani kusema hivyo kama alitoa hoja ziweke hapa
alisema babu atoe dawa kwa wataalam wa afya ipelekwe maabara kupimwa kama kweli inauwezo wa kutibu wenzake wakamwambia babu ameshasema ni miujiza sasa maabara inahuuu . Yeye akaanza kutoa mfano ndugu yake alikufa baada ya kuambewa huku akitaka waliopona ukimwi waende na vyeti vyao clouds halafu awapeleke kupimwa vinginevyo yeye hakubaliani na wanaodai wamekunywa dawa wamepona
 
Ni yale yale ya Kakobe kutmia TV kuonyesha anaponyesha. Inapokuja kwa Babu anamwandama . Kibonde alikuwa Loliondo na kanywa dawa. Kama imani yake ndio hiyo alienda ku,jaribu Mungu? Nahaponi hizo HIV zake na tuone
 
Mimi naona tunazidi kumpa umaarufu usio na sababu Kibonde Sidhani kama hata yeye anaamini hoja anazotoa labda kama kuna kukatika kwa mawasiliano kati ya aongeacho na tafsiri kwenye ubongo wake.
 
Ni yale yale ya Kakobe kutmia TV kuonyesha anaponyesha. Inapokuja kwa Babu anamwandama . Kibonde alikuwa Loliondo na kanywa dawa. Kama imani yake ndio hiyo alienda ku,jaribu Mungu? Nahaponi hizo HIV zake na tuone

inawezekana alikunywa akapona halafu akachapa mwenye ngoma sasa vijidudu vinakimbia mchakamchaka ndiyo maana anahasira kwani babu anasema dawa ni mara moja tu
 
alisema babu atoe dawa kwa wataalam wa afya ipelekwe maabara kupimwa kama kweli inauwezo wa kutibu wenzake wakamwambia babu ameshasema ni miujiza sasa maabara inahuuu . Yeye akaanza kutoa mfano ndugu yake alikufa baada ya kuambewa huku akitaka waliopona ukimwi waende na vyeti vyao clouds halafu awapeleke kupimwa vinginevyo yeye hakubaliani na wanaodai wamekunywa dawa wamepona

kibonde is bogus,silly na kilaza tuu si tulishawekewaga matokeo yake humu
 
toka hii dawa ijulikane jamaa linaponda kishenzi siku ya nne sasa hii jamaa anang'ang'ania kishenzi eti wataalam wa wizara ya afya waende wakapime haamini km yule mchungaji anaweza ponya kwa NGUVU YA MUNGU. Nadhani jamii ya watu km kibonde ni wale wanataka awe mzungu kavumbua maana kasisitiza mnoo uchunguzi wa maabara. jamaa bogus wa kutupwaa na ubishi kwake ni proffesion kabsaaaaaaa
 
Kibonde sio swala la msingi kumjadili.Huyu jamaa uelewa wake ni mdogo,anapinga hata mambo ya maendeleo huyu ndio alikuwa hapendi na alisema CHADEMA hakiwezi kushinda,alisema SUGU hatachukua ubunge.Kibonde dr.yeye,karani yeye,hakimu yeye.sijui kama umewahi kusikia akiongea points zaidi ya pumba.
 
Binafsi inanikera sana mijadala inamhusu huyo kichwamaji a.k.a watermelon.....kwaniiini?!!!why great thinkers eh? Mtaniwia radhi kama nakosea but nadhani cc ndo bogus(hewa)empty mind.
 
Wanasema siku zote mshika mawili moja humponyoka sasa yeye uandishi ulishamponyoka zamani amebaki mc ambaye kazi yake ni kusema chochote mradi muda uende siku ipite
 
Back
Top Bottom