Lukwangule
Senior Member
- May 25, 2009
- 157
- 2
HA HA HA natumia herufi kubwa kwani nadhani wengi wetu a e i o u za mambo flani hatuzijui vyema. Naam kweli inatubidi twende mbali sana ; kwani uchungu si lazima uwe wa uzazi unaweza kuwa wa moyo, makali ya kisu nakadhalika na hata kunyimwa nako ni uchungu HA HA HA kwa herufi kubwa.. tuna safari ndefu sana kama hujui kazi na maana zake na kama hujui kitu kinachoitwa changanya changamsha.. jahazi ni kipindi na wanakiendesha vile kwa kuwa kuna wasikilizaji hutaki zima... unataka burudika unaiacha on HA HA HA huwa naburudika sana na maneno ya kejeri ndani ya JF kama ninavyoburudika na ghani za kapten na serahangi wake Kibonde HA HA HA nchi huru hii kila mtu anasema anavyotaka na wale wanaojua kuweka takwimu vyema wanaweza kubisha lakini si vinginevyo HA HA HA