Kibonde, Jahazi, Clouds FM na maneno mbofumbofu

yote haya ni hawa jamaa kujipa uhuru kupita mipaka yani wanaona wakiwaredioni wanaweza kuongea chchote na wasifanywe lolote ukiuliza utaambiwa uhuru wa vyombo vya habari

Kwanza hiyo radio leseni yao ni ipi. Maana naskia wanatakiwa wapige tu muziki .
 
hakuna radio yenye pumba kama hii clouds
kibonde na yule habash wake feki kweli hawana lolote pale.

alinikera sana hata mimi na alionekana wazi katumwa na luge maana luge amemwambia sugu amtake radhi, kampa masaa 72. sugu amekataa

wale vijana wa clouds ujanja mwingi shule kidogo ndo tatizo.
halafu hata kusma vizuri hawajui
 
nipo nasikiliza jahazi kutoka clouds fm....

kitu sijakipenda ni namna Kibonde ametumia kipindi cha leo kusema maneno mbofumbofu dhidi ya Sugu....asili ya ugomvi ukiwa ni mradi wa zinduka...

mi ufahamu wangu ni kuwa zinduka haikuwa na ukweli wowote kutoka katika nafsi za waandaaji zaidi ya kuwa ni mradi wa kutengeneza pesa kama vile tunavyofahamu kuwa waingiaji pale walitoa kiingilio....tofauti na miradi mingine mfano ya ukimwi n.k.

naamini kuna mengi katika hili suala ambayo siyajui....naomba wajuvi wanipe info zaidi..
Jamani mtu kama Kibonde mlitegemea aseme nini? kibonde ni amplifire tu ya Ruge na Kusaga,kwanza Kibonde hana lolote yeye anaambiwa kaseme hivi,I wish Kibonde angekuwa na ujasiri wa kuzungumzia yale yalioyoandikwa Ufisadi wa Kusaga na mwana JF Afro,kote huko ni kuzunguka mbuyu,Kibonde na CO wakumbuke yote hayo kuwa ni maisha nao kuna siku yatawakuta kama ambayo wamemfanyia Mr Sugu na wengineo mengi,kwani mabaya hata ukifanya kwa siri dhamira yako itakusuta mpaka unafukiwa na udongo
 
hakuna radio yenye pumba kama hii clouds
kibonde na yule habash wake feki kweli hawana lolote pale.

alinikera sana hata mimi na alionekana wazi katumwa na luge maana luge amemwambia sugu amtake radhi, kampa masaa 72. sugu amekataa

wale vijana wa clouds ujanja mwingi shule kidogo ndo tatizo.
halafu hata kusma vizuri hawajui
Nasikia wengine walikuwa walinzi pale Tanzania Breweries Ltd Mwanza wakati kiwanda kinajengwa
 
nipo nasikiliza jahazi kutoka clouds fm....

kitu sijakipenda ni namna Kibonde ametumia kipindi cha leo kusema maneno mbofumbofu dhidi ya Sugu....asili ya ugomvi ukiwa ni mradi wa zinduka...

mi ufahamu wangu ni kuwa zinduka haikuwa na ukweli wowote kutoka katika nafsi za waandaaji zaidi ya kuwa ni mradi wa kutengeneza pesa kama vile tunavyofahamu kuwa waingiaji pale walitoa kiingilio....tofauti na miradi mingine mfano ya ukimwi n.k.

naamini kuna mengi katika hili suala ambayo siyajui....naomba wajuvi wanipe info zaidi..
Mnamwonea Kibonde, ni kweli alimponda Sugu to the maximum lakini upondaji wake uli base katika UKWELI kuwa Malaria, kwa jinsi ulivyo na uadui na watanzania wote (wakiwamo Sugu, Kibonde na hata JK ambaye ndiye aliyekuwa source ya huo upondaji wa Kibonde)haukupaswa uonekane ni MRADI, badala yakedhana halisi ya Malaria Haikubaliki ibaki palepale na Sugu hakupaswa kukimbilia kwenye media kulilia kupigwa Changa la macho.

Sasa wewe ulitegemea nini, Huna media, unaomba airtime kwenye media za wenzako kumponda mtu mwenye vyombo vya habari....tegemea tu na wewe utasakamwa. Wamiliki wa Clouds wangeweza kumtumia yoyote, (asubuhi kina Babra walimsema Sugu (ingawa sio kwa namna aliyoisema Kibonde) Kina Gea nao walirudia, na Kibonde akamalizia. Ndio njia pekee ambayo mmiliki wa Clouds ambaye ameshutumiwa na Sugu angeweza kuitumia kuretain integrity yake akipata support kutoka Ikulu.

Amefanya hivyo Mengi against Rostam, Mengi against Manji, Ze Komedi Orijino against IPP media..... ndivyo ilivyo.

Lakini, milango ipo wazi kwa Sugu kwenda mahakamani kama anadhani Kibonde amemdeferm.
Tusimlaumu Kibonde, ametumia RIGHT platform, RIGHT time and right words kumaccuse Sugu
 
Kwa hiyo wewe unaona hi mismatch sawa, hii ganging up on Sugu sawa?

Nina mashaka ukiona kijana wa miaka 18 anamtwanga mtoto wa miaka miwili eti kwa sababu tu mtoto kamzaba kibao utaingilia.

Na hiyo malaria ndiyo license ya ku violate watu, kwamba kwa sababu ni adui wa taifa ndiyo wapokonyane mikataba? Granted Sugu kuna kitu amekosea in that hajakuwa na mikataba na wanasheria madhubuti, lakini mimi nina mu admire kwa ku stand out. Mark my words, this is far from the worst of Clouds, ila this time wammpata kichaa anayeweza kusimama nao tu.

Kwa watu wanaoelewa standards za journalism, katika story ambayo wao ni part, kama kweli wanajali objectivity, wasingeweza kuizungumzia, kwa sababu kuna conflict of interest. Sasa huko Clouds inaelekea Sugu amekuwa kama pinnata lao, kila anayekuja lazima amseme kwanza kama salam.

Lakini hii yote ni kwa sababu Clouds na wasikilizaji wao hawajui journalism, objectivity wala conflict of interest. Ndiyo maana huwezi kukuta mshua liyepiga shule anayejiheshimu anasikiliza Clouds. Ni redio y wahuni huni wa mitaani tu wasiojua chochote, wanaoganga njaa tu, walio radhi kusema chochote ili mradi kumtumikia kafiri ili kupata mradi.

Ndiyo maana watu ameimba "To be poor is a crime" utamtukana mwenzako hivi hivi ili kibarua kisiote nyasi tu.
 
Kutumia Chombo cha Habari kumuita Mwenzako Mwehu si Ustaarabu hata kidogo
Yaaah, nakumbuka aliisema hiyo statement, laqkini sioni tatizo....Aliuliza..wewe mwehu nini? Maana yake hana uhakika kama maneno ya Sugu yanatoka katika kinywa cha mtu timamu...Bado sio tatizo. Mbona Makamba alimwita Slim Ahmed Salim, Warioba, Sumaye wehu?
Msikuze mambo jamani, sisi JF mara ngapi tumetumika kumtukana Rais, mawaziri na wengineo. Sugu akipewa Ukweli inauma ila sisi KUMTUKANA RAIS POA...
Na bado, type ya kina Sugu inabidi ikomeshwe mara moja.
Ndo hao waanzishao NGO's za ukimwi kuongeza size ya Matumbo yao.
 
Pleeease,

Wewe ******* nini?
 
I have nothing to do with mikataba yao. Na kama hawakuwa na wanasheria madhubuti hilo ni tatizo la Sugu, yeye anatakiwa ajifunze kuanzia sasa kuwa anapaswa awe makini kwenye issue sensitive. Akiwa blinded tena yatamkuta kama haya. Mimi namsemea Kibonde, hana makosa, wether katumwa na Ruge or not, hana Makosa, ameajiriwa na Ruge anatekeleza yaliyo kwenye job desctription yake kama mwajiriwa. Uzembe wa Sugu ndo umemfikisha hapo alipo sasa.
Mbona Ikulu imemtuma salva akanushe uongo wa Sugu?
Msimsakame Kibonde
 
tutake tusitake, kibonde is one of the best in his business na ile mada aliitoa kama ilivyo na kumbukeni kuna mtayarishaji wa kipindi na walioguswa ni bosi zake

for once LETS think outside the box
kwahiyo inawezekana Kibonde alifanya pasipo kutaka sio.................sometimes kazi za kuajiriwa utumwa eeh!!! unaikosea nafsi yako kwa kuamrishwa.................is it?
 
maneno yako sawia na avatar yako

what a combination.......!!!
 
I have nothing to do with mikataba yao. Na kama hawakuwa na wanasheria madhubuti hilo ni tatizo la Sugu, yeye anatakiwa ajifunze kuanzia sasa kuwa anapaswa awe makini kwenye issue sensitive. Akiwa blinded tena yatamkuta kama haya. Mimi namsemea Kibonde, hana makosa, wether katumwa na Ruge or not, hana Makosa, ameajiriwa na Ruge anatekeleza yaliyo kwenye job desctription yake kama mwajiriwa. Uzembe wa Sugu ndo umemfikisha hapo alipo sasa.
Mbona Ikulu imemtuma salva akanushe uongo wa Sugu?
Msimsakame Kibonde

Wewe unataka kumfanya Kibonde robot, kwamba atakachosema Ruge, go.

Mtu anayeelewa "journalistic integrity" anajua anaweza kukataa kutoa habari za uongo, hata kama itam cost kazi yake.

Kwa hiyo si kweli kwamba ukiambiwa na mkuu wako wa kazi ni lazima ufanye. Ndiyo maana hata jeshini ambako kuna discipline ya "shoot first, ask questions later" ukifuata kila amri ya mkuu wa kikosi, akakuambia kuua watu wasio hatia wala defense, vita ikiisha unaweza kuitwa katika military tribunal Nuremberg style ukakutwa na hatia.

Sugu ni tip of the iceberg tu, hawa mabwege wa Clouds washawakalia kooni watu for ages, it is about time somebody stood up now.
 
tutake tusitake, kibonde is one of the best in his business na ile mada aliitoa kama ilivyo na kumbukeni kuna mtayarishaji wa kipindi na walioguswa ni bosi zake

for once LETS think outside the box

Hivi Kibonde ana kitu gani cha ajabu? Huyu jamaa si ana front utangazaji wa michezo? Utangazaji wa michezo bongo ni sawa na kuambiwa "the lowest bulb" in the house, sasa the best in the business anafanya nini kwenye the lowest ebb of the business in the lowest station in the business?

Watu tunamjua huyu mjingamjinga tangu anaimbisha mchakamchaka, tangu kamasi zinamtoka anafuta kwa shati la shule, halafu analichomekea, achilia mbali kuwa redioni.

Sheesh,

Tunaijua Four Flats tangu alivyokuwa anakaa Mugabe na kuendesha Ki-beetle kwa kutegemea stipends za Nyerere mpaka the rise and fall of Chyna White.

Watoto wa mjini hata hawawezi kumshangaa mtoto wa Upanga kwa baba Taibali Four Flats huyu, wanamjua utapeli tapeli wake long time.

Ni waliokuja tu ndio wanaweza kushangaa shangaa na kusema "the best in the business".
 
Tunajua kibonde ni msema chochote (mc). Huwa napenda anavyochonga ila ikishaingiza maslahi ya pande fulani inakuwa haipendezi
 
kwahiyo inawezekana Kibonde alifanya pasipo kutaka sio.................sometimes kazi za kuajiriwa utumwa eeh!!! unaikosea nafsi yako kwa kuamrishwa.................is it?
nakubaliana na wewe, lakini kumbuka maisha yetu ya sasa ni ubazazi mtupu.... kumbuka hata parasite mzuri ni yule asiyeua host wake kwani na yeye atakufa!!
 
Sugu ni tip of the iceberg tu, hawa mabwege wa Clouds washawakalia kooni watu for ages, it is about time somebody stood up now.
hiyo ndiyo proper fact, nature, nice, sele, 20% etc wameshakuwa victims wa ubazazi na utapeli wa clouds... hata hiyo THT studio wameimeza kama ile ya wasanii iliyomezwa ka kitime na njenje!!!

i dont condemn kibonde kwani yeye katumwa na mabosi but na-condemn sana ruge na kusaga kwani wamelawiti fani ya sanaa kwa manufaa yao binafsi
 
I am glad that you do understand the exploitation that plays here, that is huge.

What I cannot understand is how can you excuse Kibonde. After all, by your own accord, he is supposed to be "the best in the biz", he was at CTN previously, our version of CNN, it's not like he is gonna starve if he is gonna say no to Ruge.

And he didn't even have to say no to Ruge categorically, angeweza kutoa any excuse for this particular broadcast. Hakufanya hivyo, ametaka kuji associate na exploitation ya Clouds, ambayo ironically ina mu exploit hata na yeye pia.

To be poor is a crime, but to be of poor mind is a tragedy.

Ephraim is definitely not poor in the Tanzanian sense of poor, bu he certainly is of poor mind.

And this is a tragedy, kwa sababu watu kama Ephraim wangeweza kuwa so effective katika ku propagandize ( in so far as the positive aspects of the spices of propaganda can go) katika kuwamulika washenzi kama kina Clouds FM. Ephraim angewez hata kuwa another Kusaga kama angetaka (What did Kusaga start with anyway, apart from his dad's support?) lakini Ephraim kaamua ku stick to his comfort zone, not rocking the boat.

Guess what do you get for doing that?

Mediocrity.

On the other hand, Sugu anaweza kuweka legacy kwa kuwa take Clouds head on. A legacy far and beyond any of his musical albums.

And the way Ikulu wanavyo ji mix, who knows, tunaweza hata kupata mvutaji mwenzetu bungeni.
 
mazee,
its good that tupo
wengi tunaojua na kuchoshwa na uhuni
wa clouds.its a matter of time,
their end is coming.
 
Sikutegemea kusikia maneno ya kishenzi shenzi toka kwa mtu kama huyu ambaye nilikuwa na muheshimu sana kutokana na kazi yake ambayo kwa upande wangu naikubali, ila kwa maneno yake ya leo juu ya Sugu amejishusha hazi yake na anaonekana kama kibaraka flani hivi.

Nashangaa unaposema hukutegemea maneno hayo toka kwa Kibonde, huyu mlevi wa kutupa , mpambe na kuadi aliye kubuhu , likua unamuona wa maana? cheki data zake utajua zaidi , Hana lolote huyu ni mpambe na kigeugeu , huyu clouds waki mtosa utashangaa atakavyo waua , hafai kabisa ni ana fuata zaidi maslahi . Simkubali kabisa Ruge, ila ajue imekula kwake kua na wapambe kama huyu Kibonde .
 
Back
Top Bottom