Kiboko cha waisrael?

Hivi toka lini wewe umekuwa ExTreMiSt?

Tangia pale nilipoanza ku'holds extreme views! more than 20 years ago.

Na haswa nilipoanza kuchangia JF... yaani nahisi nipo more than ExTreMiSt. Kungekuwa na neno lingine zaidi ya hilo ningelitumia.
 
Huyo Ahmadinejad mwenyewe wanadai ana asili ya kiyahudi lol.
Nasikia hata Hitler alikuwa myahudi. So wanakulana wenyewe kwa wenyewe... lol! Lakini jamaa hapingi wayahudi... yeye anapinga serikali ya kidhalimu ya kiyahudi tena walio wachache walio amua kuiba ardhi za watu.
 
mie nina hakika hayo maneno yako ukamuuze issa bin mariam au kama vile unayojua wewe yesu.

sijui kama utaijua maana ya kuamini?
wanaoamini ambao wanajulikana kwa jina la wa.... ambalo wengi makafiri wanalolichukia.
kuna mambo mengi tu ambayo ni sawa na walioamini. tunachukua yale ya haki na kuyawacha ya shetani.
mie nilikuwa nakuuliza wewe uliotoa hii hadithi?
hivi aliyetumwa na shetani ni nani?
a. shetani?
au
b. mtu wa mungu?

unajua maana ya jiwe?
unajua maana ya shetani?
unajua maana ya mwamba?
yohana 1.42 yesu akamtizama akamtizama akampa jina jiwe.
mataya 4.6 usije ukajikwaa na jiwe (shetani)
luka 22.31,32,33,34shetani amewataka kwa hiyo muongoke
matayo16.23 akamwambia petro shetani wee toka.
na kama hujui maana ya mwamba nambie nitakusaidia?

ufunduo 2.9 sinagodi la shetani
matendo21.39paulo muyahudi
matendo 22.25 ``mrumi
matayo12.23mpaka 27
matendo 23.9apigiwa debe paulo
`` 19.15 shetani amjua paulo
`` 16.16,17shetani asema afatwe
`` 16,25 huyu ndie aliazisha kuimba
paulo (sasa jibu unalo mwenyewe)
yohana 8.44 nyie mama yenu shetani
sikia yesu alikuwa muislam
matayo 13.57nabii hakosi heshima
yohana 9.17 kipofu asema nabii
luka 7.16 mungu ametuletea nabii mkuu
ufunuo22.9 wanaosikia msujudie mungu.
(nyie munapiga goti)
ufunuo 9.1 mpaka 9 alama za kusujudu.
sasa nakuuliza wewe yesu alipiga goti au alisujudu? (ukishindwa nitakwambia)

waraka wa yuda 1.4 hata kitabu chako kinakubali kuwa nyie makafiri

mie nafikiria haina haja kushindana na mwanawazimu.

munaiba maneno alafu munafanya uzushi
iulize biblia mungu ana mfano? (ukikosa jubu nitakupa. mumeiba maneno ya mungu na mukajifanyi klabu ya mwimbo na kupaukapauka)
yatakuja makiristo ya uongo na manabii ya uongo.

mienaondoka nanyi mutanitafuta nanyi mtakufa katika mizambi yenu?

ndugu yangu bibilia inakubali kuwa upo katika moto wa milele.
wewe kafutwe zambi na mungu mtu na umpigie goti

lakini usijaribu kuongelea kitu usiokijua. kwanza kazome biblia yako ujue alafu ndio uje ufahamishwe maana ya kuamini au kwa maana inayojulikana uilsam hii ndio kuamini mwenyezi mungu

hata yesu anaamrisha aaminiwe mungu

samahani muhusika wa web hii nimeamua nimueleze kweli huyu kijana usije ukafuka web hii kwa ajili yangu

Disco kaingia mmasai..lol
 
wewe akili huna na biblia pia imekiri kama akili hamuna nkupa ushahidi ndani ya maneno mulioyaiba kwenye biblia

warumi 1.25 waliibadili kweli
wakorinto 15.12 mpka18 yesu hakufufuka
yohana 11.50,51,52 kuhani atabiri yesu atakufa
ukienda kwenye tito mumemwita yesu mungu mkuu.

sasana nakwambia kuwa yesu ni muislam sio mpiga gopi wala mkiristo ushahidi huu

waraka wa waibrania 5.7 yesu alimuomba mungu amtoe kwenye mauti na mungu akamsikiliza

marko 14.35 mpka 36 uesu alisujubu akaomba(kama hujui maana ya kifudifudi) uniepushe na kikombe

matayo 12.38mpaka40 yesu atajificha siku 3 duniani kama yoda alivyokuwa katika tumbo la samaki

yohana 12.36 yesu akajificha

matayo 13.57 nabii hakosi heshima( yesu ni nabii)

yohana 8.47 aliye wa mungu huyasikia ya mungu

`` 14.1 munamuamini niminini na mie(kma munamuamini mungu basi muaminini na nabii)

`` 6.45 na manabii wote wamefundishwa na mungu.(yesu kafundishwa na mungu)

ufunduo 22.9 wayasikiayo maneno ya nabii wamsujudie mungu ( yesu katumwa na mungu alimsujidia mungu, ibrahim , mussa , muhmade swa pia na wengine na sote tunaowafata tunamsujudia mungu)

yohana 11.41,42 watepate kusadiki yesu katumwa na mungu

luka 7.16 mungu ameletuletea nabii mkuu

yohana20.17 maneno ya yesu baba yangu baba yenu mungu wangu mungu wenu( ezi hizo watu mungu walikuwa wakimwita baba mpumbafu mkubwa we?)


ayoubu 41.33 mungu hakuna aliyefanana naye

sasa sikiliza nyie
yohana 8.44 baba yenu shetani

matendo 16.16,17 wafateni akina paulo watumishi wa mungu na huyu shetani anawatuma nyie (anayemfata shetani naye ni shetani kila mtu anafahamu hivyo)

LUKA10.17,18 ETI PEPO WANATUTII KWA JINA LAKO KUMBE MUMEDANGANYIKA

matayo 4.9,10yesu alipojaribiwa na shetani ili yesu amsujudue yesu akamjibu wa kusujidiwa ni mungu na wa kuomba yeye tu hakuna mwengie

luka 22.31mpaka34 muongoke shetani amewataka ( na hamkuongoka mpka leo watumwa wa shetani)

ufunuo 2.9 wasema uongo sinagodi la shetani

matendo 21.39paulo myahudi
`` 22.3paulo mrumi

tito1.13 yesu mungu mkuu ( nashangaa wakati yeye mwenyewe anamsujudia mungu hata quruani inaamini hivyo hapo mapofu vipi?)

matayo 12.23 mpka27 shetani ndio atawahukumu (maana yake maakaazi yenu ni pamoj na shetani)

matayo 16.23 akamwambia petro toka shetani wee (kwa maaana hiyo anayemfata petro na paulo wote ni watumwa wa shetani)

unajua maana ya mwamba? ( kama hujui unambie nikwambie)

nafikiria umeumeona kuwa quruani ni kitabu cha haki watu walioamini au maana yake ni uislam kila mtu anamsujudia mungu pamoja na yesu na manabii wengine

sasa nionyeshe wewe wapi yesu akapiga goti?
hapo utawaona akina paulo na petro pamoja na nyie?

chukua basi hiyo maneno ya yesu

maneno ya yesu

mie naondoka nanyi mtanitafuta nanyi mtakufa katika mizambi yenu.

ndio nyie makiristo ya uongo na mananii wenu wa uongo wachungaji na kuwadanganya na kuwafuta zambi kila wiki

hebu siku moja kamuulize mchungaji wewe una zambi ngapi? hajui ujue huyo ni muongo?

utawezaje kuondoa kitu usiokiona? akili potofu hizo

yesu alimfata mussa nyie mukasema taurati ina laana

wagalatia 3.5 kirto alitugomboa katika laana ya taurati.
hapa ni sawa na kumtukana mungu na kutukana maneno ya mungu ambayo hata yesu alisema anayafata wala hayataondoka

kitabu cha ayubu 1.22 wala ayubu hakumuwazia mungu kwa upumbafu

wakoristo 1.25 upumbafu wa mungu una hekima( mumemfananisha mungu na mpumbafu si ukafiri huo hata heshima hakuna)

ushawahi kulisikia adiko mungu atakuja kufanya ukahaba na watu wote wa ulimwengu? ndio waumini wenu wakafunga vibikira eti akifikia amalizie hapo kweny walio amini hakuna hayo ni matusi juu ya mola wa walioamini na walioamini miongoni mwao ni pia yesu naona nikalele.

alafu itafute historia ya israil uijue?
na baadaye historia ya ukiristo ulipotokea na kuanzi uijue ?
hata historia mapinduzi ya zanzibar huyajua?
hata hujui kwanini chama cha wakatoliki kikaitwa ccm?

hujui na hutajua na shetani atakuweka hivyo2 pofu mungu akakutie kwenye moto na wenzako.

Tafuta mtu aliyetoroka Mirembe kama wewe mjadiliane..labda mtaelewana.
 
Tangia pale nilipoanza ku'holds extreme views! more than 20 years ago.

Na haswa nilipoanza kuchangia JF... yaani nahisi nipo more than ExTreMiSt. Kungekuwa na neno lingine zaidi ya hilo ningelitumia.

Woow, kwahiyo wewe umekuwa mnyenyekevu kwa miaka 20?
 
Nasikia hata Hitler alikuwa myahudi. So wanakulana wenyewe kwa wenyewe... lol! Lakini jamaa hapingi wayahudi... yeye anapinga serikali ya kidhalimu ya kiyahudi tena walio wachache walio amua kuiba ardhi za watu.

Acha pumba wewe. Hitler alikuwa M-austria.
 
Acha pumba wewe. Hitler alikuwa M-austria.

The rumor is that Hitler's paternal grandfather may have been Jewish. According to a Gestapo report, Hitler's father was conceived while Hitler's unmarried grandmother was working for a rich Jewish family.
It is also said that after the annexation of Austria, Hitler ordered an Austrian village to be evacuated of all occupants and used for "target practice."
The artillery turned the village to rubble, including the cemetery containing the graves of Hitler's father and grandmother.
The source for this is Norman Davies' "Europe: A History".
 
The rumor is that Hitler's paternal grandfather may have been Jewish. According to a Gestapo report, Hitler's father was conceived while Hitler's unmarried grandmother was working for a rich Jewish family.
It is also said that after the annexation of Austria, Hitler ordered an Austrian village to be evacuated of all occupants and used for "target practice."
The artillery turned the village to rubble, including the cemetery containing the graves of Hitler's father and grandmother.
The source for this is Norman Davies' "Europe: A History".

Adolf Hitler (German pronunciation: [adɔlf hɪtlɐ], 20 April 1889 – 30 April 1945) was an Austrian-born German politician and the leader of the National Socialist German Workers Party (German: Nationalsozialistische Deutsche Arbeiterpartei, abbreviated NSDAP), popularly known as the Nazi Party. He was the ruler of Germany from 1933 to 1945, serving as chancellor from 1933 to 1945 and as head of state (Führer und Reichskanzler) from 1934 to 1945.

Kutokana na Wairan, wao wanadai eti mama yake Hitler alikuwa na ujews ndani yake. lol.
 
Back
Top Bottom