Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,012
- 95,358
Ahsante mwalimu wangu. Nimeshiba.Katika tamaduni za mazungumzo na maandishi, kinachotajwa mwanzo kwenye orodha ndicho kinachochukuliwa kuwa na uzito. Unaweza kukuta hicho kuwa ndio kimebeba dhima nzima ya mazungumzo au maandishi, hususan unapokiwekea na maneno ya kukuimarisha nguvu kama "Kwanza", "Awali ya yote,"
Mimi hakuna sehemu hata moja niliyosema sina tatizo
Katika jamii inayofuata utawala wa sheria kama yetu ya Tanzania, sheria za nchi ndio mwanzo wa kila kitu. Kwa hiyo uwepo wa katiba katika nchi yetu, tayari kunaipa umuhimu hoja ya uvunjaji wa sheria ukilinganisha na hoja ya "hajui kuoga" au "ananuka mkojo"