Khaaaaa!!!!!Jamani viacheni vibinti visome!!

Vi binti vidogo navyo vina viranga sana, wao hawajui huyu nni mkubwa wakatae?
Ina maana matangazo ya FATAKI hayajafanya kazi kabisa kwenye jamii za watanzania?
Tamaa ya kuwa na simu za bei mbaya.....
 
Mie naachwa hoi na sisi Watanzania tulivyo.

Mtu ATI anakuja kutetea haki za watoto lakini kwa kutumia maneno ya udhalilishaji kwa hao watoto wenyewe.

Kuita watu wananuka mikojo ndo ustaarabu wa wapi?
Yaani kama ingekua hawanuki mikojo na wanajua kuoga unategemea nini hapo Mwalimu kutoka kwake?
 
Kama si leo ni zamani na ndo maana akataja orodha ya vilivyomkirihisha enzi hizo.........:A S 13:

So kila kinachosemwa na yoyote amekifanya?Assumtion is wrong 99.99%!
 
Aaaaarrggrh!Nimekerwa sana alfajiri ya leo baada ya kumuona jamaa mmoja nikiwa nafanya mazoezi akikatoa kabinti kadogo sana kukasindikiza kwao,inaonekana alilala nako.Hivi wanaume sisi hivi vibinti vya darasa la saba,form one,two,three na 4,vina raha gani tofauti na karaha?Kwanza havijui kuoga,vinanuka mikojo havijui mapenzi,halafu ni kinyume na sheria,nyie mnaodeal na hivi vitoto,viacheni visomeeeee!Aaaaggghhrr!!

Hivi ukimsindikiza mtu ndio umelala nae? Yaani ulijuaje kuwa wana uhusiano wakati umewaona barabarani?
 
Vi binti vidogo navyo vina viranga sana, wao hawajui huyu nni mkubwa wakatae?
Ina maana matangazo ya FATAKI hayajafanya kazi kabisa kwenye jamii za watanzania?
Tamaa ya kuwa na simu za bei mbaya.....

Ukishasema mdogo uwezo wake wa kufikiri ni mdogo,atakua amerubuniwa!
 
Ameshajijibu Mwenyewe hapa chini kwa hiyo haina haja ya kukomaa nae....

Kuna watu ni wagumu sana kuelewa,hebu soma thread upya uelewe kisha uje tena,unaweza ukaja na point ya kueleweka!
 
Kuna watu ni wagumu sana kuelewa,hebu soma thread upya uelewe kisha uje tena,unaweza ukaja na point ya kueleweka!
hahahaha I closed my case..lol
Ngoja nimuachie Mwalimu wangu aendelee kukuelewesha....may be you will get a point some where!!
 
Kuna watu ni wagumu sana kuelewa,hebu soma thread upya uelewe kisha uje tena,unaweza ukaja na point ya kueleweka!

Mie nimeisoma upya ni kaelewa yafuatayo

1. Wewe una experience nzuri ya kulala na vibinti kiasi cha kuwa uliziona tale-tell signs zote kwa jirani na kuhitimisha kuwa ametoka kulala na huyo binti

2. Unawaasa watu waachane na vibinti sio kwa sababu unawahurumia vibinti hivyo lakini kwa sababu ya tajiriba binafsi umeona havina deal or else ungeasa watu kwa kutumia lugha njema isiyowadhalilisha vibinti

3. Sheria ya nchi sio kipaumbele kwenye suala zima la kulala na vibinti
 
Kuna watu ni wagumu sana kuelewa,hebu soma thread upya uelewe kisha uje tena,unaweza ukaja na point ya kueleweka!

Aaaaarrggrh!Nimekerwa sana alfajiri ya leo baada ya kumuona jamaa mmoja nikiwa nafanya mazoezi akikatoa kabinti kadogo sana kukasindikiza kwao(hapa fafanua zaidi ulijuaje anakasindikiza kwao?),inaonekana alilala nako (inaonekana vipi kwa uelewa wako?).Hivi wanaume sisi hivi vibinti vya darasa la saba,form one,two,three na 4,vina raha gani tofauti na karaha?(raha na karaha haviwezi kulingana hata siku moja.Inaonekana karaha zao wazijua vizuri!)Kwanza havijui kuoga,vinanuka mikojo havijui mapenzi(wewe ulijuaje haya kama hukuwahi ku experience),halafu ni kinyume na sheria,nyie mnaodeal na hivi vitoto,viacheni visomeeeee!Aaaaggghhrr!!
 
Ungempiga picha ingekuwa safi sanaa, ahsante sana na endelea na moyo huo ila hebu waumbue kwa kuwapiga picha
 
Wana makosa wazazi wa huyo binti, vipi binti yako analala nje na wewe huna habari.

Na hicho kitoto kwao kiliaga kinaenda wapi mpaka kikaruhusiwa kutoka..?????
Kumbe kweli maadili yanaanzia home ..


Kazi ya uzazi ni ngumu sana jamani.... As parents we try our best hoping kua wanetu wanakua katika maadili bora (atleast most of us do) BUT kitu kimoja I know from experience..... Wazazi ni watu wa mwisho kujua tabia mbovu za mtoto wao.... Kama mzazi mtoto akiingia kulala ana umri wa miaka 13, hivi kweli unaweza ukawa na wazo atatoka usiku? sio rahisi.....
 
hana wazazi huyo unayesema ni mtoto,maadili yameporomoka watoto wa DOTCOM
 
Back
Top Bottom