Kwani anakuwa amembaka huyo binti?Kwanza hongera mkuu kwa kuanza siku na mazoezi. Wengi wetu tunaanza na supu na chapati kadhaa wakati tulilalia bia za kufa mtu.
Wanaume saa nyingine tuna matatizo kweli...hatuangalii vizuri usoni? Mtu mzee kabisa lakini binti anayetoka naye, mhh!
Aaaaarrggrh!Nimekerwa sana alfajiri ya leo baada ya kumuona jamaa mmoja nikiwa nafanya mazoezi akikatoa kabinti kadogo sana kukasindikiza kwao,inaonekana alilala nako.Hivi wanaume sisi hivi vibinti vya darasa la saba,form one,two,three na 4,vina raha gani tofauti na karaha?Kwanza havijui kuoga,vinanuka mikojo havijui mapenzi,halafu ni kinyume na sheria,nyie mnaodeal na hivi vitoto,viacheni visomeeeee!Aaaaggghhrr!!
Naishi nchi iliyo kati ya kenya na tz!
km wazazi wenyewe wamekosa maadili ,watawarithisha vipi hayo maadili watoto wao?basi jitahidi uje ndani ya Tz eneo linaitwa buguruni kimboka hapo wapo wanaoitwa vitunguu ni wadogo hata kifuan akuna wakulaumiwa ni wazaz mkuu wameshdwa kuwapa maadili watoto wao wakiume na wakike.
Ni signs za mmomonyoko wa maadili! Watoto wanawadanganya wazazi wameenda kujisomea usiku, kumbe wanatoka kwa manjemba kufanya ma,bo ya aibu. Mungu tunaomba utuokolee kizazi chetu ...
E bwana acha Eiyer ..kwanza nawaza katoto kangu miaka kumi na tatu kanaaga mama natoka leo sitarudi
aaaaaaaaaaaaaagh...nitakaning'iniza .
So Gee,unataka kusema nini hapa?
Naishi nchi iliyo kati ya kenya na tz!
Gaijin,sikupanga sababu kulingana na ubora wake,hayo ni mawazo yako.
Mimi hakuna sehemu hata moja niliyosema sina tatizoPili wewe unaweza kuwa na tatizo,sababu ziko nyingi sana na za muhimu kuliko sheria mbona hujazitaja?
Pia nani alikuambia kuvunja sheria ndo sababu ya muhimu kuliko zingine nilizotaja?Na kama ni ya muhimu ni kwa kipimo gani?