Kevin Twisa, mfano wa kuigwa

Bluray

No matter what is being discussed here jaribu kuepuka kuonyesha mambo yasiyoendana na unavyoji-portray humu jamvini... an intellect, bright blah blah blah... UMELIFANYIA NINI TAIFA NA WEWE?

Kwanza you are wrong to think that I am trying to portray myself as an "intellect" (how can I be "an intellect" beats me)

Pili, mimi siamini katika mataifa haya artificial ambayo mostly yamekuwa defined under the Peace of Westphalia enzi za Holy Roman Empire hapo 1648. I am a citizen of the world at heart, the world is my playground, sasa kwa nini unitake niifanyie kitu Tanzania tu, my sights are set higher, how about we talk about humanity?

Scratch that, by nature I'm private and would never want to expose myself by highlighting whatever achievements I have.

SOme comments are uncalled for

That depends on who is doing the calling.

Tusikashifiane bali tuonyeshane opportunities and threats za mazingira yote mawili

Nani ni wa kusema nini ni kashfa na nini ni necessary noize?

Niko bongo huko kwenu kulinishinda lakini sijuti na siwalaumu mlio huko

ninacholaumu ni negativity

Walioanzisha negativity nani, sasa wanapata karma ndiyo mnataka peace treaty? Mimi mtu akija kajiheshimu nakuwa bonge la decent, complete with the graceful eminence and eloquent humility of a true enlightened being.

Ukija kimtaani taani nakumbuka "The Street Fighting Years" vile vile. Kwa hiyo don't blame me, blame the ones who tried to bully people just because other people are exercising their freedom of movement and human right of earning a living the way they choose.
 
Nirudishie viatu vyangu mkuu! Umekaa navyo muda mrefu sana. Heshima mbele.
 
Thanks Jonny English!

but sikumbuki sehemu yoyote kukulaumu... au kusema urudi nyumbani katika post yangu, nimesema popote kwangu poa ingawa nilishindwa and i respect whoever made it there!!

Natumaini kwamba kwenye vita unawajua walioanzisha na lengo bahati mbaya sana umeingia hukohuko mtegoni... I am not representing anyone so hiyo peace treaty siijui kwani sikumbuki kuitaka it was just a brotherly advice mazee

Endeleaa na dibaji baba...
 
Wewe mwenyewe una mcheche, sasa kama hukunilaumu au kusema nirudi nyumbani na unajua mimi nilikuwa naongea na watu wangu kwa nini ulijileta kimbelembele kwenye battlefield wakati jenerali anakung'uta risasi? Hujui Jenerali akiwa anakung'uta risasi ukijipendekeza hata mwanajeshi wake anakupa tu kama Pat Tillman unapata friendly fire? Au unataka kuleta za joka la mdimu hapa?

Natumaini kwamba kwenye vita unawajua walioanzisha na lengo bahati mbaya sana umeingia hukohuko mtegoni... I am not representing anyone so hiyo peace treaty siijui kwani sikumbuki kuitaka it was just a brotherly advice mazee

Endeleaa na dibaji baba...

Mimi siingii mtegoni, wao ndio wameingia anga mbaya, kwa maana mi nacheza kote kama nilivyosema, ukitaka cultured disposition nitakupa, ukitaka street militancy nitakupa.

Wewe unayelipigia debe taifa na kuniuliza nimelifanyia nini taifa tena unagwaya na kusema "I am not representing anyone" tena? Where is your former patriotism? Comeon man, the electronic ink on your earlier post is not even dry yet!

Dibaji inaendelea, hata ukitaka a "War and Peace" treatise that is two phonebooks thick utaipata tu.
 
Wewe mwenyewe una mcheche, sasa kama hukunilaumu au kusema nirudi nyumbani na unajua mimi nilikuwa naongea na watu wangu kwa nini ulijileta kimbelembele kwenye battlefield wakati jenerali anakung'uta risasi? Hujui Jenerali akiwa anakung'uta risasi ukijipendekeza hata mwanajeshi wake anakupa tu kama Pat Tillman unapata friendly fire? Au unataka kuleta za joka la mdimu hapa

Wewe unayelipigia debe taifa na kuniuliza nimelifanyia nini taifa tena unagwaya na kusema "I am not representing anyone" tena? Where is your former patriotism? Comeon man, the electronic ink on your earlier post is not even dry yet!

Dibaji inaendelea, hata ukitaka a "War and Peace" treatise that is two phonebooks thick utaipata tu.

Thanks Jonny English... once again!! Representation hapo meant ndani ya forum and not to my country;

siwezi kugwaya mazee... ila naona unatafuta ****** humu wakati unaogelea humo tayari. Kuna makamanda unaopiagana nao, endelea mie labda ni joka la mdimu, sikujua kama niko vitani ingawa vita naiweza haswa tangu naokota korosho maeneo ya AVI hadi kwa mchonga kutokea keko!!

Tuendelee na mada, ukishamaliza ukachangie JF sio kuleta english humu wakati kuchangia huwezi

Ukishalipia uje tukufanyie pati ya madafu na kosrosho!! upeleke picha kwa wenzako!!:rolleyes::eek::D:p
 
Thanks Jonny English... once again!! Representation hapo meant ndani ya forum and not to my country;

siwezi kugwaya mazee... ila naona unatafuta ****** humu wakati unaogelea humo tayari. Kuna makamanda unaopiagana nao, endelea mie labda ni joka la mdimu, sikujua kama niko vitani ingawa vita naiweza haswa tangu naokota korosho maeneo ya AVI hadi kwa mchonga kutokea keko!!

Tuendelee na mada, ukishamaliza ukachangie JF sio kuleta english humu wakati kuchangia huwezi

Uishalipia uje tukufanyie pati ya madafu na kosrosho!! upeleke picha kwa wenzako!!:rolleyes::eek::D:p

Hadi Kiswahili kimekuwa English sasa, unataka niongee kimakonde au nini? Sikujua nimeku overdoze hivyo, mpaka dyslexia !
 
mbeba box vs mla vumbi wote tu watanzania tusisahau kujenga nchi na kuishia kulumbana tu...
 
Hadi Kiswahili kimekuwa English sasa, unataka niongee kimakonde au nini? Sikujua nimeku overdoze hivyo, mpaka dyslexia !

Hahahaaa...Jonny English, mzee wa thesaurus

sikujua niko under any medication mpaka nikapata overdose!! anyway you need Carbamazepine, its getting late na nadhani unajua vyema dawa hiyo na unapoikosa unakuwaje!!! By the way there are a few characters of bipolar disorder that you may need to check, i can provide a nice self evaluating form ujue kama uko poa au ndio hizo hizo

Kuna story ya mmasai na chupi, itafute uisome mazee

Now back to Kevin Twisa etc... It doesnt matter where you are, the most important thing ni kusaidia nyumbani

I salute whoever give back to the community aliyotokea, big up to all who do that regardless where they are, kama ambavyo nawapa big up wanaochangia JF
 
Bluray

No matter what is being discussed here jaribu kuepuka kuonyesha mambo yasiyoendana na unavyoji-portray humu jamvini... an intellect, bright blah blah blah... UMELIFANYIA NINI TAIFA NA WEWE?

SOme comments are uncalled for

Tusikashifiane bali tuonyeshane opportunities and threats za mazingira yote mawili

Niko bongo huko kwenu kulinishinda lakini sijuti na siwalaumu mlio huko

ninacholaumu ni negativity

big up
 
aliyosema nguli ni kweli. Vijana wengi walioko huko wanataabika kweli kweli na utasikitika ukiwakuta huko. Nilifikaga usa wakati fulani kila nikiwatafuta ndugu na jamaa ujue wanakaa wapi wanapiga chenga. Nipata ranmani ya baadhi yao na kuvamia.yaani kwao huku wanalala kuzuri kuliko huko kwenye gheto. Ka room kamoja kama kumi hivi wanalala kwa zamu.

ukweli ni kwamba wengi wao wanaona aibu kurudi na labda wanajiuliza wataanzia wapi. Wengi walienda kusoma na hawajasoma wanabangaiza tu na kufanya kazi za kijinga ambapo wengine wana elimu ambayo wangerudi wanapata kazi nzuri za maana.

nawapa moyo tu warudi na watafanikiwa huku huku.

waige mfano wa ruge, k. Twissa, agrey mareale, n,k
 
Nguli,
Labda tusikie response ya TWISA kwanza, labda ndio tujue cha kuongea.
 
Wakati tukimsubiri Twissa, nawashauri wooote wala vumbi na wabeba maboksi tuaidiane kuichangia JF kwa hali na mali

Mkono mtupu haulambwi no matter where you are!!!
 
aliyosema nguli ni kweli. Vijana wengi walioko huko wanataabika kweli kweli na utasikitika ukiwakuta huko. Nilifikaga usa wakati fulani kila nikiwatafuta ndugu na jamaa ujue wanakaa wapi wanapiga chenga. Nipata ranmani ya baadhi yao na kuvamia.yaani kwao huku wanalala kuzuri kuliko huko kwenye gheto. Ka room kamoja kama kumi hivi wanalala kwa zamu.

ukweli ni kwamba wengi wao wanaona aibu kurudi na labda wanajiuliza wataanzia wapi. Wengi walienda kusoma na hawajasoma wanabangaiza tu na kufanya kazi za kijinga ambapo wengine wana elimu ambayo wangerudi wanapata kazi nzuri za maana.

nawapa moyo tu warudi na watafanikiwa huku huku.

waige mfano wa ruge, k. Twissa, agrey mareale, n,k

Nakushukuru sana kueleza live experience ya ndg zetu wengi waishio huko, watu wanafikiri nilianzisha hii thread kwa vile nawaonea wivu la hasha robo tatu ya familia yetu wapo huko, na 1 ame graduate MA HAVARD UN. na anauza mikate mitaani, ni mfano tu wapo wengi wanaelimu ila wanadai bongo jua kali na sababu zisizo za msingi.

Kwa yeyote ambaye anaona maisha ni mazuri kwake aliyoko huko asitukane hapa au kukashfu kama baadhi wanavyofanya saiidieni wenzenu huko nao wapate uhaueni....
 
Binamu umemwaga pointi zenye akili. Lakini kwa jinsi navowajua hawa watu, hii ni vita nyingine umeanzisha. Silaha zao zitakuwa kwenye hizo red. We subiri uone.
 
nyie mnaowaambia watu warudi wawe kama kevin mnajua history ya kevin, income bracket ya familia yake, family connections zake na mengine kama hayo?

Hata kama kevin hana degree, anayo pedigree, sasa waswahili wana msemo "ukitaka kumuiga tembo kunya utapasuka msamba". Kuna wengine hatuna pedigree bongo wala backing ya holy roman empire, tupo huku tumejibanza, na hata kama tungekuwa nayo hatuhusudu michongo ya migongo ya pedigree. Si kweli kwamba mtu yeyote mwenye jitihada anaweza kufanya hizi kazi, bongo kuna unwritten rules, ndiyo maana bot walijazana kama ng'ombe mnadani.

Kwa hiyo tupe mfano wa mtoto wa uswazi aliyefanza vitu, hapo kidogo utawagusa watu, ingawa mimi nasimama pale pale kwamba kila mtu kivyake vyake.

Lakini hawa watoto wa upanga / oysterbay friji open wameenda kwenye parties za mkapa wakati mkapa waziri wa utamaduni early 1980s huwezi kujilinganisha nao kabisa. Wengine majina yetu hayajulikani rotary club, lions club wala networks za gymkhana club sasa hatuwezi kujilinganisha na wenye networks za nchi.

Si mnaona wenyewe, huku kevin twisa sijui, huku nani makamba sijui, hata wewe uje na videgree vyako vya ivy league unaweza kuwa frustrated tu. Ndio maana kwa usawa huu tunajikita tu, ma-wall st, ma-silicon valley, ma-dirty basements, ma nursing homes, ma-batani, ma-buruda, usawa wa twiga mnyonge minazini hatutaki kuusikia mpaka kieleweke vizuri, humrudishi mtu.na hivi rais ndiyo huyo officially taahira ndiyo kabisaaaaa.

Kama vile visoda vilivyokuwa vinasema, nakwambia "jaribu tena".

sometimes i feel like i am the only one who understand you.
 
Binamu umemwaga pointi zenye akili. Lakini kwa jinsi navowajua hawa watu, hii ni vita nyingine umeanzisha. Silaha zao zitakuwa kwenye hizo red. We subiri uone.

Vita yao hatuiigopi ni ya VOCABULARY za Lugha ya kizungu secondary enzi zetu tulikuwa tunaita BOMBASTIKI kwenye debate....
 
Back
Top Bottom