Kevin Twisa, mfano wa kuigwa

Nyie ongopeaneni tu huko bongo lakini watu haturudi ng'o
Yani mimi niache kula bata hapa na toto la kitasha eti nirudi bongo kula vitumbua vya mama Mwajuma,thubutuu!!
 
Ahahah, Dah, Naona watu wanazidi Kutokomeaaa!...

Ughaibuni 1 - Bongo 0, Game bado Linaendelea Dakika ya 60, Goal Keeper wa Wa-Wapiga Box amedaka Mpira uliopigwa na Mchimba chumvi kutoka Mbagala!...

Mpira Unaendelea....

Bongo wamegoma kurudi, Na Haturudi kweli, Bongo ni kwa Kujenga kwanza na Vacation tuu!...Kuweka Makazi ya Kudumu ni Mpaka Kieleweke!.. BluRay Amekwambia "Jaribu Tena" Kisoda kimegeukaaa!.

Pomoko,
B.
 
walioko huko n'gambo wanajua wafanyalo hakuna tatizo maadamu wapo hai hapa duniani, wanachokifanya huko is their own business..., akili ku mu kichwa...

siku wakiamua watarudi kwa muda wao...lakini hata wakizeeka na kuzikwa huko huko bado hapajaharibika neno
 
Sio kubeba mabox tu wengine wanaosha masufuria hotelini
KAZI NI KAZI ndugu..mradi mkono uende kinywani.Watz kudharau baadhi ya kazi ndiko kulikotufikisha hapa.Kila mtu anataka kufanya kazi ofisini, sasa hizo kazi nyingine atafanya nani?
Ughaibuni...hakuna kujali hali... kama kazi inakuingizia unakomaa nayo tu.
 
Ndo pale hadi ma bwana shamba na ma bibi shamba wetu wanataka wawe wanashinda maofisini na computer badala ya kwenda kwa wakulima ambao ndo wateja wao!
 
SASA MBONA KELVIN HUWEKI WAZI NI KWELI HAYO? KAMA NDIVYO TUNAKUPONGEZA TUTAJIE ULIOWAACHA TUWA Email warudi nao warudi
 
Get off his dyck already. Wanaume wazima mnaride tu, ndio wale Ice aliwasema "some of these ni**ers is bytchez too"

Mtashikishwa kuta kuparata wanaume wenzenu.
 
We have had this discussions kwenye threads kibao huko nyuma; cha maana ni wapi mtu anafit katika modern life... hata ikiwa mwezini!!!

Iwe box au blogs, zote ni kipato kwanza
Iwe twisa au kisa, wote wanatafuta kwanza
Iwe US au lagos, kipato ndio muhimu kwanza
Tulio home au abroad, wote tuko sawa tu
Kuna watanzania matajiri na maskini kila kona

Cha maana uwe bongo au abroad, umeifanyia nini Tanzania na other citizens of the world?
 
Imma drop a verse on y'all since some of y'all need summer school.

We used to run things on Daladala along barabara za Salasala
Now we be making dollars from Valhalla to Kampala
Flyer than big ballers, automatic shot callers
And when we touch down Kipawa y'all surrender y'all power
While we Champagne shower y'all upsetting your towers
That Amex is highly regarded, the gold French cuffs retarded
Balenciaga yo baby and after a day she's discarded
I read you the riot act, don't test this cat
You do you, I do me, that's a natural fact
If you fake to react, you know where Imma be at
Else that red dot of the infrared's gonna get you, byach.
Tell ya....

Uhhhh
 
acheni blah blah wabeba boksi.
rudini makwenu fanyeni innovations,na pia muinvest makwenu.mnajiongopea ninyi
 
acheni blah blah wabeba boksi.
rudini makwenu fanyeni innovations,na pia muinvest makwenu.mnajiongopea ninyi
Wewe mbona unataka kuingilia maisha ya watu, ulichachawa ma mu-midwestern accent wa counsellor nini wakakupiga chini?
 
Wewe mbona unataka kuingilia maisha ya watu, ulichachawa ma mu-midwestern accent wa counsellor nini wakakupiga chini?

meseji senti!
hizo mistari wewe unaziona ishu leo mimi nilikuwa nafanya nikiwa form wani-B
 
Bwashee taratibu. Hawa watu kichwa ngumu sana. Labda Yesu atakaporudi atusaidie.

Huko bongo ndiyo mmeshikiwa akili, wakifa watu kwa negligence kwenye migodi mnaambiwa "kazi ya mungu" sasa nani "mpaka Yesu atakaporudi"?

Wengine ni bad news hata hatuamini Yesu wala mungu, utatusalia sala gani tukusikie usawa huu?
 
jamani waacheni na hamsini zao...

wakikaa huko mnawambia rudini...

wakirudi manawacheka sana eti " umefuliaaa!!"
 
Huko bongo ndiyo mmeshikiwa akili, wakifa watu kwa negligence kwenye migodi mnaambiwa "kazi ya mungu" sasa nani "mpaka Yesu atakaporudi"?

Wengine ni bad news hata hatuamini Yesu wala mungu, utatusalia sala gani tukusikie usawa huu?

Bluray

No matter what is being discussed here jaribu kuepuka kuonyesha mambo yasiyoendana na unavyoji-portray humu jamvini... an intellect, bright blah blah blah... UMELIFANYIA NINI TAIFA NA WEWE?

SOme comments are uncalled for

Tusikashifiane bali tuonyeshane opportunities and threats za mazingira yote mawili

Niko bongo huko kwenu kulinishinda lakini sijuti na siwalaumu mlio huko

ninacholaumu ni negativity
 
HESHIMA MBELE,

Mzee we deplomat sana....
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom