Kevin Twisa, mfano wa kuigwa

ila mimi naishi popote pale,ila principle ni moja tu yaani nimesoma na ninaprofession yangu then niishi mahali nisafishe wazee au nifanye usafi sijui hiyo ni big NO.nitaashi mahali popote ila nifanyie kazi profession yangu full stop,if not basi nijiajiri mwenyewe na nicreate jobs kwa wengine
 
Nyie mnaowaambia watu warudi wawe kama Kevin mnajua history ya Kevin, income bracket ya familia yake, family connections zake na mengine kama hayo?

Hata kama Kevin hana degree, anayo pedigree, sasa waswahili wana msemo "ukitaka kumuiga Tembo kunya utapasuka msamba". Kuna wengine hatuna pedigree bongo wala backing ya Holy Roman Empire, tupo huku tumejibanza, na hata kama tungekuwa nayo hatuhusudu michongo ya migongo ya pedigree. Si kweli kwamba mtu yeyote mwenye jitihada anaweza kufanya hizi kazi, bongo kuna unwritten rules, ndiyo maana BOT walijazana kama ng'ombe mnadani.

Kwa hiyo tupe mfano wa mtoto wa Uswazi aliyefanza vitu, hapo kidogo utawagusa watu, ingawa mimi nasimama pale pale kwamba kila mtu kivyake vyake.

Lakini hawa watoto wa Upanga / Oysterbay friji open wameenda kwenye parties za Mkapa wakati Mkapa Waziri wa Utamaduni early 1980s huwezi kujilinganisha nao kabisa. Wengine majina yetu hayajulikani Rotary Club, Lions Club wala networks za Gymkhana Club sasa hatuwezi kujilinganisha na wenye networks za nchi.

Si mnaona wenyewe, huku Kevin Twisa sijui, huku nani Makamba sijui, hata wewe uje na videgree vyako vya Ivy League unaweza kuwa frustrated tu. Ndio maana kwa usawa huu tunajikita tu, Ma-Wall St, Ma-Silicon Valley, Ma-dirty basements, ma nursing homes, Ma-Batani, ma-Buruda, usawa wa Twiga mnyonge minazini hatutaki kuusikia mpaka kieleweke vizuri, humrudishi mtu.Na hivi rais ndiyo huyo officially taahira ndiyo kabisaaaaa.

Kama vile visoda vilivyokuwa vinasema, nakwambia "Jaribu Tena".
NILIKUWA huko siku chache sana zilizopita na nimewakuta wengi tu walioondoka wakarudi wakiwa na vyeti vizuri tu bado wapo mtaani na wanatamani kupanda ndege tena but to some of them is more than too late,anayewaambia watz warudi nyumbani ana WAZIMU.hakuna system hapo ya kumhakikishia mtoto wa mkulima nafasi sawa na hao waliotajwa hapo juu.
 
aliyosema nguli ni kweli. Vijana wengi walioko huko wanataabika kweli kweli na utasikitika ukiwakuta huko. Nilifikaga usa wakati fulani kila nikiwatafuta ndugu na jamaa ujue wanakaa wapi wanapiga chenga. Nipata ranmani ya baadhi yao na kuvamia.yaani kwao huku wanalala kuzuri kuliko huko kwenye gheto. Ka room kamoja kama kumi hivi wanalala kwa zamu.

ukweli ni kwamba wengi wao wanaona aibu kurudi na labda wanajiuliza wataanzia wapi. Wengi walienda kusoma na hawajasoma wanabangaiza tu na kufanya kazi za kijinga ambapo wengine wana elimu ambayo wangerudi wanapata kazi nzuri za maana.[/color]

nawapa moyo tu warudi na watafanikiwa huku huku.

waige mfano wa ruge, k. Twissa, agrey mareale, n,k


Ona huyu mnafiki.Unasema walienda kusoma na hawakusoma,hapohapo unasema wengine wana elimu ambayo wangerudi wangepata kazi nzuri na za maana.sasa which is which?
Halafu hiyo definition yako ya kazi nzuri za maana ni ipi?Na kwani ni lazima kazi unayoiona wewe nzuri na mimi niione nzuri?Wewe kama unaona kufanya ofisi ya Mengi au clouds ni kazi ya maana ni mpango wako.Kazi nzuri na ya maana kwangu ni ile inayonipa ujira wa kutosha kujikimu na maisha yangu na kuwasaidia binamu zangu na wajomba zangu bongo.Kwahiyo usilazimishe unavyotaka wewe au vile unavyoishi wewe na wengine waishi hivyo.
Mimi p53 hapa hujui ni nani na nafanya kazi gani kiwanja wewe una generalize eti wanalala 10 wanafanya kazi zisizo na maana.Watu wengine bwana hovyo kweli yani
 
Imma drop a verse on y'all since some of y'all need summer school.

We used to run things on Daladala along barabara za Salasala
Now we be making dollars from Valhalla to Kampala
Flyer than big ballers, automatic shot callers
And when we touch down Kipawa y'all surrender y'all power
While we Champagne shower y'all upsetting your towers
That Amex is highly regarded, the gold French cuffs retarded
Balenciaga yo baby and after a day she's discarded
I read you the riot act, don't test this cat
You do you, I do me, that's a natural fact
If you fake to react, you know where Imma be at
Else that red dot of the infrared's gonna get you, byach.
Tell ya....

Uhhhh


salute man....wish i cud produce beat 4 ya....
 
imma drop a verse on y'all since some of y'all need summer school.

We used to run things on daladala along barabara za salasala
now we be making dollars from valhalla to kampala
flyer than big ballers, automatic shot callers
and when we touch down kipawa y'all surrender y'all power
while we champagne shower y'all upsetting your towers
that amex is highly regarded, the gold french cuffs retarded
balenciaga yo baby and after a day she's discarded
i read you the riot act, don't test this cat
you do you, i do me, that's a natural fact
if you fake to react, you know where imma be at
else that red dot of the infrared's gonna get you, byach.
Tell ya....

Uhhhh

drop some more.......
 
Hata mimi wabeba maboksi nawakubali kuliko walavumbi,kwenye kazi uwezo wao ni mkubwa kuliko hawa jamaa zetu ambao hawajawahi kuvuka mibahari.Penye ukweli lakini tukubali hawa ambao wamesomea hapa hapa wenye uwezo wa kufanya kazi na wana ubunifu hawajai kwenye kijiko cha chai! vyeti vizuri lakini inapokuja kwenye mambo ya kazi hakuna lolote jipya,kazi si vyeti tu ni kujua kufanya kazi,kufanya tafiti,kuandika reports n.k.
Waliobeba maboksi wanajua jinsi ya umuhimu wa kufanya kazi tofauti na wale ambao wakati wote wanaenda kwa wajomba kubomu,majuu ndugu zanguni hakuna cha mjomba wala mama ni juhudi zako.
 
Bluray

No matter what is being discussed here jaribu kuepuka kuonyesha mambo yasiyoendana na unavyoji-portray humu jamvini... an intellect, bright blah blah blah... UMELIFANYIA NINI TAIFA NA WEWE?

SOme comments are uncalled for

Tusikashifiane bali tuonyeshane opportunities and threats za mazingira yote mawili

Niko bongo huko kwenu kulinishinda lakini sijuti na siwalaumu mlio huko

ninacholaumu ni negativity
kulikushinda kwa sababu ulikuwa mvivu -au ulikuwa mtoto wa mama b4 kuja huku.
 
kwani hao wabeba mabox wenye muda wa kukaa kwenye computer na kuperuzi humu JF wako wangapi?, au hao wala vumbi wanye pesa za kumwaga internet cafe ni wangapi? hapa watu tunaongea weee lakini wahusika wanaotajwa pengine hata hawapo hapa

wabeba mabox wanabeba mabox, wala vumbi wapo vijiweni na mashambani
...wengi wetu humu wala hatumo kwenye hayo makundi mawili...tuwaachie wenyewe waongee
 
Bongo frustrations kibao...Kila kitu bongo kipo poluted! Umeme, Maji, viongozi, wanafunzi, makonda, waendesha mabasi, wabunge, mawaziri....wote hati chafu!!

As long as polisi hawawasumbui na umeme upo, mlio ughaibuni kaeni tu!

mambo yakiwa poa, tutawaambie mje.... kwasasa tuachieni sie tuliozoea!!
 
kulikushinda kwa sababu ulikuwa mvivu -au ulikuwa mtoto wa mama b4 kuja huku.

Labda uko sahihi ingawa sina hakika... Ukiweza kuwajua nilioishi nao watakusaidia zaidi, even the current assignment niliyonayo nabeba boksi na nakula vumbi 50/50, na ndio maana i have always said kwamba it doesnt matter where you are, cha maana ni kupiga kazi, return to the society iliyokukuza na kuchangia JF

Just try 60K in Arlington na 60K in Dar then you choose the right direction, kwa kule ni manati aisee ila kwa huku waweza kuvimbisha visuli vya jeans

Respect is always to those who earn and we are all intitled

Ngoja nikapate Bata halafu nichape kongoro....
 
te te te! Mimi, Kyachakiche, itei tei lya kite, nka o nsungu, mangi etc wote hao kutoka kule kule b'ba 'angu eeh, nafikiri kwenye kale ka thread ka watu waliokuwa wanasema dada zetu hawajui kitu penzi tulivyokuwa wakali kama pilipili.[/QUOTE

Nimeipenda hii bana!! tehe tehee
 
Natanguliza pongezi zangu kwa mtajwa hapo juu ambaye alikuwa mbeba MABOX maarufu huko USA, na mambo yalivyozidi kubana akarudi nchini, kafanya mambo makubwa kwenye mitandao ya simu nchini kwa kubuni extreme promo ambazo zimempa sifa.

Ombi langu kwa mliobakia huko nasikia kuwa mnateseka sana na hela mlizopewa za stimulus package zimeisha ila mnajiuliza mtarudije... rudini tu kama mlivyoondoka huku mkiwa na hicho ki-slang cha kuch kuch gut gut wanna wanna gonna gonna, wit wit mtatoka tuu, makampuni yanachanganyikiwa sana na hilo swala hawajalishi vyeti just come home, sweet home....

Karubuni sana.

Haya ni matusi kwa wabeba mabox ------ina maana wabeba mabox wote no kwenda shule, wanajua kiinglishi tu basi?

Lakini on the other hand...elimu sio cheti, if you are able to deliver then inatosha.
 
Nakushukuru sana kueleza live experience ya ndg zetu wengi waishio huko, watu wanafikiri nilianzisha hii thread kwa vile nawaonea wivu la hasha robo tatu ya familia yetu wapo huko, na 1 ame graduate MA HAVARD UN. na anauza mikate mitaani, ni mfano tu wapo wengi wanaelimu ila wanadai bongo jua kali na sababu zisizo za msingi.

Kwa yeyote ambaye anaona maisha ni mazuri kwake aliyoko huko asitukane hapa au kukashfu kama baadhi wanavyofanya saiidieni wenzenu huko nao wapate uhaueni....


sasa kwanini usiongee na hiyo robo tatu ya familia yako uwaambie warudi waache kuuza mikate mitaani kuna wauza mikate wangapi tz mbona hushughuliki nao kama kweli unawaonea huruma watu wanaopata tabu na maisha
 
Haya maswali 'Umelifanyia nini taifa" lol kuna watu taifa halijawafanyia chochote zaidi ya kuwapa mifrustration.
 
Haya maswali 'Umelifanyia nini taifa" lol kuna watu taifa halijawafanyia chochote zaidi ya kuwapa mifrustration.

Kwanza taifa lenyewe ni nini kama sio a vague idea capitalizing on people's sensitivities to grasp for a higher collective meaning even where there is none?

Nationalism is fairly modern but it draws from a fabricated and dated history. In that sense ni control psychology/ mechanism tu, ukitaka watu waende kukupigania vita vyako vya imperialist expansion, what do you do? Invoke nationalism, ukitaka watu wawe passive katika kulipa kodi, invoke nationalism, ukitaka ku get away with murder, invoke national security.

I would rather work with people based on direct people to people feelings than the invoking of fake nationalism characterized by a torrent of fanatic soliloquies of chaos thinly disguised as virtuous ideals under the umbrella of nationalism.

Even Hitler was a nationalist, he was the Fuhrer from NAZI after all.
 
kwani hao wabeba mabox wenye muda wa kukaa kwenye computer na kuperuzi humu JF wako wangapi?, au hao wala vumbi wanye pesa za kumwaga internet cafe ni wangapi? hapa watu tunaongea weee lakini wahusika wanaotajwa pengine hata hawapo hapa

wabeba mabox wanabeba mabox, wala vumbi wapo vijiweni na mashambani
...wengi wetu humu wala hatumo kwenye hayo makundi mawili...tuwaachie wenyewe waongee

Big up Triplets kweli umenena, watu wanafikiri kila aliyokuwa ughaibuni ana beba box. Wengine huko wanakazi zao za maana tena wanategewa na wazawa wa huko.
 
Kwanza taifa lenyewe ni nini kama sio a vague idea capitalizing on people's sensitivities to grasp for a higher collective meaning even where there is none?

Nationalism is fairly modern but it draws from a fabricated and dated history. In that sense ni control psychology/ mechanism tu, ukitaka watu waende kukupigania vita vyako vya imperialist expansion, what do you do? Invoke nationalism, ukitaka watu wawe passive katika kulipa kodi, invoke nationalism, ukitaka ku get away with murder, invoke national security.

I would rather work with people based on direct people to people feelings than the invoking of fake nationalism characterized by a torrent of fanatic soliloquies of chaos thinly disguised as virtuous ideals under the umbrella of nationalism.

Even Hitler was a nationalist, he was the Fuhrer from NAZI after all.

Dude chill down! This is way off point and a straight up overkill as far what this thread is all about. What's all this Hitler and "virtuous soliloquoy nationalistic ideals" got to do with Kelvin Twisa?
 
Dude chill down! This is way off point and a straight up overkill as far what this thread is all about. What's all this Hitler and "virtuous soliloquoy nationalistic ideals" got to do with Kelvin Twisa?

And you thought Raju was bombastic? This is the real Mr. Bombastic right here. Flying off at a tangent is a habit of a lifetime for him.
 
Wakati mnawaponda wabeba maboksi na kuwaambia bongo mambo tambarare..........
mtihani%20wa%20mock.jpg
 
And you thought Raju was bombastic?

At least with Rajabu you sort of know the drill (i.e., the usual crap about innate inferiority of Blacks, Race and IQ, raw Africans, and stuff like that)...but dude all-of-a-sudden takes off at full-speed in some monologue of metaphysical dimensions for no good reason, when its obvious all what folks wanna discuss about is Kevin Twisa and the myths and realities of life as low-wage immigrants. Rather peculiar and funny though...
 
Back
Top Bottom