Kevin Twisa, mfano wa kuigwa

Hahaha! Mpwa nimeipenda hiyo red.

te te te! Mimi, Kyachakiche, itei tei lya kite, nka o nsungu, mangi etc wote hao kutoka kule kule b'ba 'angu eeh, nafikiri kwenye kale ka thread ka watu waliokuwa wanasema dada zetu hawajui kitu penzi tulivyokuwa wakali kama pilipili.
 
Haya wabeba box tumeamka sasa, naona tayari umeshatunyea tena. Jamani tuacheni sisi tuendeleze libeneke letu huku. Kurudi haturudi na box tutaendelea kulibeba!.
 
te te te! Mimi, Kyachakiche, itei tei lya kite, nka o nsungu, mangi etc wote hao kutoka kule kule b'ba 'angu eeh, nafikiri kwenye kale ka thread ka watu waliokuwa wanasema dada zetu hawajui kitu penzi tulivyokuwa wakali kama pilipili.

Umemsahau Chrispin kwenye hiyo listi. Nitake radhi binamu.
 
Umemsahau Chrispin kwenye hiyo listi. Nitake radhi binamu.

Kumbe na wewe ni mwenzetu kwenye ile list?? ha! ha! kweli hapa nchini tumeenea kama WACHINA ila sisi siyo fake kama wao....
 
Mimi siyo 1 wao na sitakuwa mtumwa wa sifa! shahidi yangu ni Melo, Fidel80, YO YO na Mkemia mkuu wa TBL Chrispin

Masahihisho kidogo. Naomba hiyo TBL isomeke SBL. Serengeti mkuu. Akutake radhi mpiganaji. Tunalijenga taifa kwa pamoja kwa moyo mmoja.
 
Kumbe na wewe ni mwenzetu kwenye ile list?? ha! ha! kweli hapa nchini tumeenea kama WACHINA ila sisi siyo fake kama wao....

Kwenye kubeba mabox nadhani tutakuwa hatupo. Hahahah!
 
Ha ha ha ha, wanatishia kuchanganya kizungu na kijerumani ili kutushtua kuo wako mbaaaaaaaaali, kumbe wote sawa tu, kwa taarifa yake ukienda kwetu moshi mapota wanapandisha milima wazungu wanakiongea kuliko hata wazungu wenyewe LOL!

Mpwa Unauaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!
 
Mkuu data tunazo hadi picha wakitaka walalamike mpaka na majina na mageto wanayobebena mtu 6 kigodoro cha 2x4

Mkuu Nguli shkamoo..umenikumbusha mbali sana kiingereza cha wit wit
 
Ila tu naomba msiongelee vile vyeti vyetu feki!

hahaaaaaaaaa JF inanipa raha mie.Walah ntakunywa sumu juu ya kufungwa kwa JF..Napata picha jinsi ndugu yangu Mahanga anavyotweta kwa kuwa na tuhuma za vyeti feki..hahaaa TZ bwana.
 
Mkuu data tunazo hadi picha wakitaka walalamike mpaka na majina na mageto wanayobebena mtu 6 kigodoro cha 2x4

kila mtu anakuwa entitled kusema anachotaka kusema kama umeweza kuja na mfano wa kevin Twisa kuwa alikuwa marekani na amerudi bongo anafanya vizuri na kuongeza kuwa watu warudi kujenga taifa la tanzania...that is great point...ila my thing is kwa nini usiweze kutoa majina kama ulivyotoa jina la Twisa ya hao watu unaosema (unavyodai)wanaishi one bedroom shared matress....if you want to put someone on blast then go ahead and do that kuliko kuanza kuongela majority ya watu wanaoishi ulaya and usa (you don't know how other people live!!... hiyo ni roho ya kwa nini)...ni chuki na very low of you.....kama watu wanaamua kuishi maisha ya aina hiyo it's them nani anajua ww hapo tanzania unafanya nini na unakaa wapi katika mazingara gani?....siyo kila mtu anayeishi tanzania ni big time.....na siyo kila mtu anayeishi ulaya na usa ni mbeba mabox just keep that in mind.....

Ila nakupa tuu advice kama unataka put someone on blast mentiont hey are names kama huwezi that means huna evidence ila unataka tuu kudhalilisha watu walioku majuu and whatever you call them....
 
Sasa Kelly01 akianza kutoa majina ya hao watu wengineo ni member humu huoni kama atakuwa anavunja sheria za JF au unalengo baya wewe elewa tu wapo wengi wanaishi maisha ya kikimbizi wkt home full shwangwe tu.
 
Back
Top Bottom