Kesi ya Mnyika hukumu ni Leo

Status
Not open for further replies.
kama nilisafiri kutoka kaisho ili niwe wakala wa mnyika sasa ntasafiri mapema na kusitisha kazi zangu wakati wa kampeni ili iwe aibu. Vyote ntafanya kwa gharama zangu iwapo mahakama za ccm zitaendeleza ugacaca
 
Mungi.
Wewe kile kinachoifurahisha Chadema kwako ndio haki? Unatafsiri sheria za nchi kwa kutumia kichwa chako.

Tujaribu kuheshimu uhuru wa mahakama na tukubaliane na hukumu yoyote mahakama itakayotoa dhidi ya Mnyika.
Tuheshimu hukumu kama ile iliyotolewa Arusha kwa Mhe God Bless Lema???Rufaa ya kesi ya Arusha ya Mhe Lema inaanza tarehe sita Juni 2012 tutapata ukweli wa mambo!!!

 
Mungi.
Wewe kile kinachoifurahisha Chadema kwako ndio haki? Unatafsiri sheria za nchi kwa kutumia kichwa chako.

Tujaribu kuheshimu uhuru wa mahakama na tukubaliane na hukumu yoyote mahakama itakayotoa dhidi ya Mnyika.
Tukubaliana na hukumu yoyote!? wewe una kichwa kweli
 
Source: Gazeti la Uhuru

Wanachama wa CCM wanadai CHADEMA wamejipanga kufanya vurugu leo katika kesi ya Mnyika leo kwa kuwa wanajua watashindwa.

Hivi najiuliza, ina maana CCM wameshajua hukumu?

Over my dead body!
 
kwa hiyo ccm ishajua kuwa imeshinda?

I see............

Mwenye macho haambiwi tazama.....
 
I fear for JM, baada ya kupishana na magari ya washawasha hapa maeneo ya mnazi mmoja yakielekea mahakamani ...
 
Haki haijawahi kushindwa!

Haki isitendeke itendeke,hakika iko siku haki itasimama na kuonekana haki.

Wao wana pesa,Sisi tuna MUNGU aliyehai sasa na hata Milele!


Viva CHADEMA! Chama makini kwa Wanainchi!
 
yan hukumu inajulikana imeshapangwa! ccm hawana njia yakutumia zaidi ya mahakama!
 
All in all, mwenye macho haambiwi tazama, mahakana ikimvua ubunge si tija kwani wananchi wa jimbo lake ndio waamuzi kwani wameshaona utendaji wa mnyika kwa kipindi hiki kifupi hivyo pindi tutakaporudi ulingoni itakuwa 99% kwa mnyika ambayo ni sawasawa na ya hapa arusha.

Mwenyezi mungu ndie hakimu wa haki
 
Kwa mtindo huu wa Chama Cha Mapinduzi kuwa na 'Hukumu' za kesi mbali mbali za kisiasa nchini mfukoni mwao WIKI KADHAA hata kabla ya hukumu wenyewe kutolewa mahakamani WaTanzania tunajifunza nini hadi hapo maana yake??
 
Mtakaokwenda kusikiliza hukumu kuweni makini, watakuja wana magamba wamevaa magwanda hapo. Sijui mtawatambuaje wakianzisha timbwili.
 
Hivi ccm wao wamejuaje hayo? Au siku hizi ccm wote ni majaji? Kwa taarifa yao hakuna vurgu na hashindwi mtu, kura za wana ubungo lazima ziheshimiwe, peopleeeeeeeeeeeeeeeeee!
 
Mnyika akishindwa itakuwa ni dhulma tu -- na matokeo yake ni kuipandisha chati Chadema maradufu. Nimeshuhudia ya kule Arusha - baada ya kuondolewa Lema, CCM ime-cease ku-exist pale Arusha -- hakuna CCM sasa hivi, ni aibu tu waliojiletea CCM.

Nadhani mliopo Arusha mmeliona hili.

Ndevu si Mzigo,

Uko sahihi mheshimiwa.

Wahenga walisema ''SIKIO LA KUFA HALISIKII''!
CCM wameamua KUJIMALIZA WENYEWE KI AINA.Kwa akili finyu waliyo nayo CCM na serikali yake wanafikiri kuwa WAKIWANYANG'ANYA CHADEMA MAJIMBO YOTE MUHIMU KWA NJIA YA MAHAKAMA BASI CHADEMA ITAPOTEZA NGUVU NA UMAARUFU ILIO NAO KWA WATANZANIA KWA SASA. This is a big mistake for Magambas!

Naweza ku-predict kuwa Jimbo la Ubungo linaweza kuwa wazi kuanzia leo baada ya Hukumu itakayosomwa na Jaji ambaye ni Kibaraka wa CCM.Naweza kuona kuwa hukumu ya kesi hii itakuwa kama ile ya G.Lema kule Arusha. Kwamba tayari hukumu ilishapangwa ya kumvua Ubunge J.J.Mnyika ili jimbo liwe wazi.

Tunajua tangu baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2010,CCM hawana raha na hawapati usingizi baada ya majimbo muhimu kwenye majiji ya Arusha mjini,Mwanza(Nyamagana na Ilemera),Dar(Ubungo na Kawe) na Mbeya. Kwa vile haya yalikuwa ni maeneo ambayo CCM walikuwa wakidhani ni ngome zao basi wameamua kutaka kuyarudisha mikononi mwao kwa hila kupitia mlango wa nyuma yaani MAHAKAMA!!!Kwa ujinga wao CCM wanafikiri wakifanya hivi basi wanaweza kushinda Chaguzi ndogo kwa kutumia RAFU/MCHEZO MCHAFU ili tu majimbo hayo yawe chini ya CCM! Wameshindwa kusoma alama za nyakati kwamba kwa sasa Watanzania HAWAWEZI TENA KUKUBALI USHINDI WA GHILBA. CCM ni mashuhuda wa kile kilichotokea Arumeru East. Tunajua waliweka kila mbinu na mikakati ya kutaka kuchukua jimbo hilo ikiwemo KUUA WATU,KUIBA KURA/KUGHUSHI NA HONGO, lakini bado Wananchi wakasema NO TO CCM!

Kwa hukumu hii ya leo tutegemee lolote.
 
Mie si mshabiki wa Chadema ila kwa kweli Nitafurahi Mnyika akishinda Kesi!Akiwa bungeni huwah akubali kupitisha miswada kijinga!Let us hope atapeta !
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom