Kesi ya Mnyika hukumu ni Leo

Status
Not open for further replies.
Nyie watu mnakimbilia kuanzisha uzi ili kesho wote watakaoanzisha uzi ziunganishwe siwapendi sana!!!! Kama ulikuwa unatukumbusha sawa lakini nitoa angalizo kali kwa members ambao walio mbali wasianzishe uzi huku wako vitandani wamelala kwa minajili ya sifa za kijinga.
 
Nyie watu mnakimbilia kuanzisha uzi ili kesho wote watakaoanzisha uzi ziunganishwe siwapendi sana!!!! Kama ulikuwa unatukumbusha sawa lakini nitoa angalizo kali kwa members ambao walio mbali wasianzishe uzi huku wako vitandani wamelala kwa minajili ya sifa za kijinga.
Mkuu Losambo hii kesi inaniuma sana utafikiri hukumu yangu magamba yanataka kupora haki yetu Kama Arusha mjini
 
Ngoja tuwait ili hatimaye tu see what maamuzi yatafanyika hii leo.
.
"IT WAS GOD WHO CREATED MAN, MAN CREATED MONEY, AND MONEY HAVE CREATED ALL KIND OF MADNESS IN THIS WORLD".
 
Source: Gazeti la Uhuru

Wanachama wa CCM wanadai CHADEMA wamejipanga kufanya vurugu leo katika kesi ya Mnyika leo kwa kuwa wanajua watashindwa.

Hivi najiuliza, ina maana CCM wameshajua hukumu?
 
yani kama ni karata CCM wanachanga BANDE wachache mtaelewa bande labda watoto tuliokulia uswazi lakini wa mboga nane?
 
Mahakama ikifuata haki Mnyika ni mbunge wa ubungo. Jaji akitoa hukumu kwa maelekezo ya nje ya mahakama Mnyika siyo mbunge wa ubungo
 
Mahakama ikifuata haki Mnyika ni mbunge wa ubungo. Jaji akitoa hukumu kwa maelekezo ya nje ya mahakama Mnyika siyo mbunge wa ubungo

Mungi tuipe nafasi mahakama itoe maamuzi yake na tuone imeegemea ushahidi gani katika kutoa maamuzi aidha ya kutengua ubunge ama kuuthibitisha.

Mkuu jaji gani alikuwa akiisikiliza hiyo kesi?
 
Wanabodi ile hukumu iliyokuwa inasubiriwa kwa hisia tofauti itaanza masaa machache hajayo tuone Kama chaguo la wapiga kura wa ubungo litapigwa chini au mahakama itawaunga mkono. Twende kazi

"Ewe Mwenyezi Mungu tunakuomba uwapige upofu wale wote wenye nia mbaya ya kuwapora haki wapiga kura wananchi wa Tanzania ktk jimbo la Ubungo"
 
Mbona CCM washatoa hukumu kwenye gazeti lao? Wamesema CDM wapo dar kufanya vurugu kwani wananua fika kuwa Mnyika atashindwa
 
[h=6]Kwenye Wall yake Facebook Mnyika kayaandika haya

Nimepokea taarifa kwamba hukumu ya kesi ya uchaguzi dhidi ya ushindi wetu Jimbo la Ubungo kesho tarehe 24 Mei 2012 itatolewa katika Jengo la MAHAKAMA KUU (KIVUKONI-COURT No. 1) badala ya jengo ilipo mahakama ya kazi (akiba) ambapo kesi iliendeshwa. Kama tulivyotafuta kura pamoja, tukapanga mstari kupiga kura pamoja na tukakesha kuzilinda pamoja tujumuike pamoja kujua hatma ya kura zetu. Hukumu ya kesi inatarajiwa kuanza kusomwa SAA NNE ASUBUHI hata hivyo ni muhimu kuwahi mapema zaidi asubuhi kwa ajili ya itifaki za kuingia mahakamani.

Maslahi ya Umma kwanza!

MUHIMU: Mpe taarifa mwenzako!
[/h]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom