Kesi ya mbunge wa Arusha mjini yaahirishwa

na swali kwanini ccm ikishindwa uchaguzi wanafungua kesi ila cdm wakishindwa utasikia tatizo lililowadondosha ni hili sasa kwa nini kesi..
 
We vipi!!! Kichwa cha habari tofauti na ulichoposti!!! Ilifaa kiwe "Kesi ya Godbless Yaahirishwa hadi Jtatu"
Ni shamrashamra hapa katikati ya jiji la Arusha wafuasi wa chama cha demokrasia na maendeleo wamkisherehekea mbunge wao bwana Godbless Lema kuhusiana na ile kesi ya ubunge kuahirishwa mpaka juma3.

Nitawajuza nini kitaendelea kutokea hapa jijini Arusha.
 
huyu naye! Kila siku kesi?
Sina uhakika kama ana muda wa kukaa na wananchi wake kuongelea mambo ya maendeleo
books is lucking in his head, you cant lead in peace without your head is full of books, take example of idd amin,mussolini,and hiltiler
 
Huyu naye! Kila siku kesi?
Sina uhakika kama ana muda wa kukaa na wananchi wake kuongelea mambo ya maendeleo
afadhali ya huyo mwenye kesi za kutafuta ukombozi. mbona haushangai jk kila siku safari anawatumikia saa ngapi watz.
 
Ni shamrashamra hapa katikati ya jiji la Arusha wafuasi wa chama cha demokrasia na maendeleo wamkisherehekea mbunge wao bwana Godbless Lema kuhusiana na ile kesi ya ubunge kuahirishwa mpaka juma3.

Nitawajuza nini kitaendelea kutokea hapa jijini Arusha.

Nastahajabu sana wanashereheka nini wakti kesi bado kwisha?
 
huyu naye! Kila siku kesi?
Sina uhakika kama ana muda wa kukaa na wananchi wake kuongelea mambo ya maendeleo
acha unafiki waweza tuambia hata bungeni hakwenda mana unasema kila siku kesi.njama za magamba kukwamisha juhudi zake.lakini hawatafanikiwa.big up lema
 
View attachment 39305Mbunge Godbless Lema akisindikizwa na wafuasi wake akitokea Mahakamani kusikiliza kesi ya kupinga uhalali wa Ubunge wake dhidi ya aliekuwa mpinzani wake mkuu, Dr. Batilda Buriani, Arusha leo.

Zilisikika nyimbo "hatumtaki..meya wa kichina" kutoka kwa umati uliokuwa ukimsindikiza kuelekea ofisini kwake!
 
Kuna mdau hapo juu kasema kwamba Batirda ndiye aliyefungua kesi ya kupinga matokeo ya lema.., napenda kumwambia tu kwamba Lema hajapingwa na Burian bali ni wafuasi na makada wa ccm.!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom