Kesi ya mbunge wa Arusha mjini yaahirishwa

Kuna mdau hapo juu kasema kwamba Batirda ndiye aliyefungua kesi ya kupinga matokeo ya lema.., napenda kumwambia tu kwamba Lema hajapingwa na Burian bali ni wafuasi na makada wa ccm.!
Batilda kajiweka pembeni makusudi kwa sababu maalum lakini yy ndio aliyewatuma hao wapambe wake wafungue kesi. Kumuweka batilda mbali na hii kesi ni sawa na kusema kikwete sio mk.were.
 
Leo katika mahakama kuu mjini Arusha kesi ya uchaguzi iliyofunguliwa dhidin ya Mbunge Lema imeharishwa mpaka jtatu tarehe 24/10/11 kwa msingi wa wakili wa bwana lema ameomba hukumu kwanza ya kesi ya awali ya msingi iliyowekwa na wakili wa Bwana Lema kuzuia wafunguajin kesi kuendelea na kesi hiyo kwani hawahusiki kisheria na jaji Mujulizi alihaidi hukumu hiyi ingetoka lakinio mpaka leo hukumu hiyo walikuwa hawajapokea ambapo mh lema na wakili wake wanataka kuona jinsi gani jaji alivyoamua kesi hiyo (po) kama ilikuwa sahihi au la.
 
Binafsi, hii kesi naichungulia kwa jicho la tatu jinsi inavyoendeshwa,
nimejaribu kuifuatilia kwa karibu kidogo, Lema na wanasheria wake wawe makini mno
maana yanaweza kutolewa maamuzi ya ajabu mwishoni hadi tukashangaa,
Ni wazo langu tu
 
Jiheshimu bana sio unatuletea habari kijingajinga humu jamvini ukome kama ulivyokoma ziwa la mama yako Ndallo

Ni shamrashamra hapa katikati ya jiji la Arusha wafuasi wa chama cha demokrasia na maendeleo wamkisherehekea mbunge wao bwana Godbless Lema kuhusiana na ile kesi ya ubunge kuahirishwa mpaka juma3.

Nitawajuza nini kitaendelea kutokea hapa jijini Arusha.
 
Jiheshimu bana sio unatuletea habari kijingajinga humu jamvini ukome kama ulivyokoma ziwa la mama yako Ndallo

Ziwa la mama ni la mama tu! Koma wewe na Wanamasaburi wenzako - Habari ndio hiyo.
 
Kuna mdau hapo juu kasema kwamba Batirda ndiye aliyefungua kesi ya kupinga matokeo ya lema.., napenda kumwambia tu kwamba Lema hajapingwa na Burian bali ni wafuasi na makada wa ccm.![/QUOTE

Waliopewa back up na akina Batilda burian!
 
Hiyo picha imepigwa saa sita mchana muda ambao vijana wanaotegemewa na taifa hili wangetakiwa wachape kazi si kushinda mahakamani ambako mshitakiwa na mshitaki wanawakilishwa vyema na mawakili wao.Kama mapinduzi kwako ni kushinda mahakamani sawa pengine mimi nina mtazamo tofauti.


Mapinduzi siku zote huletwa na vijana na sio wazee!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom