ama kweli Ngongo umeishiwa yaani mtu kuandaa sherehe ni tuhuma, njo kwangu nina tuhuma za kufanya sherehe ya kuzali mtoto wangu maana inaelekea unatuhuma nyingi sana zidi wana-CHADEMA ila kwasasa na kushauri concentrate kwenye hii kesi maana inavyoelekea kesho mna chinjiwa baharini...
sasa nimeanza kupata picha kwanini una mchukia Lema ni kwamba Brigita ni mnyumba ndogo ya Lema na wewe unamtaka Lema...
Birigita kuna uwezekano wewe ni nyumba ndogo ya Lema,shangazi yake,mama mdogo,mama mkubwa,shemeji yake,mke wake na nk.Huna mamlaka ya kutukataza kumjadili maadamu yeye ni mbunge wetu [public office].Nina kila sababu ya kukuweka kundi la wajinga hujui kitu unajidai unajua Nanyaro yupo hapa nina hakika kasoma niliyoandika kakaa kimya wewe ni nani ?.Rejea bandiko la PakaJimmy yamkini utaelewa na kuacha uropokaji na ushabiki maandazi.
Nilishamkanya sana lakini mbishi kichwa ngumu,sasa nifanyeje hakanyiki.
Ile kesi ya kupinga matokea ya ubunge wa Arusha mjini iliyofunguliwa na Musa mkangaa na wenzanke zidi ya kamanda Godbless Lema, mkurungezi wa manispaa ya Arusha na mwanasheria itaanza kuunguruma leo...
Katika matokeo ya uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba, mwaka jana, Lema, alimbwaga kwa kura nyingi aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira), Dk. Batilda Burian.
Lema alipata kura 56,196 na Dk. Burian aliambulia kura 37.460......nitawajuza zaidi kinachoendelea
Yaani sasa hivi wana muwinda kishenzi mbaya zaidi wanao tumika ni hawa wajinga wanao jiita usala wa taifa....Masikini Musa Nkangaa enzi zake!!!!!!!!!!!!!!
Lakini hata hivyo kur za huyu bibie hazikaa zitoshe kwa jinsi ninvyowafahamu vichwa vya watu wa A-Town japo Kikwete tayari kaagiza kufanyike kila kinachowezekana Lema asiwe Mjengoni Dodoma.
Ni mizani kati ya People's Power dhidi ya Ikulu's Power. Sote tukae vizuri kuanza kutazama hii Cinema ya Arusha ambayo tayari majibu yake au matokeo tunayo KAMA ILIVYOPANGWA hata kabla ya kesi kunza.
Ni sinema tu hakuna kesi hapo tena amini msiamini.
....jaji kawa shauri waliofungua kesi wamrete batilda mwenyewe na awe tayari kupima vipimo vya DNA kuzipitisha kama mtoto ni wa baba husika...kesho itaendelea tena ila itakuwa chemba
kinachofata akafungue kesi ya madai....au ulikuwa unataka kusemajeAkili yako ndogo ndiyo maana kazi ya uratibu wa mbunge imekushinda.Umeshindwa kuelewa Jaji kakubali hoja za wakili wa upande wa mashtaka !Najua hauko tayari kuwaambiwa mashabiki wasichopenda kusikia.Ngoja nikufafanulie kidogo Dr Batilda akitinga mahakamani na akawa tayari kupima vipimo vya DNA na ikithibitika kwamba Lema alikuwa akimzushia uongo [Defamation] unadhani nini kitafuata !.Crashwise sidhani kama kuna mtu mwenye akili nzuri atapinga mageuzi ninachokataa ni kuburuzwa na wajinga.
Niko mbali lakini tayari nimebaini mambo si mazuri kwa Lema bwahaa haaa.Umejitahidi kuficha lakini wenye akili zetu tumeguindua nini kimejiri leo huko Arusha.
Mchezo unaocheza ni wakitoto sana kama usalama wa kikwete wanavyotega mitego yao.....Niko mbali lakini tayari nimebaini mambo si mazuri kwa Lema bwahaa haaa.Umejitahidi kuficha lakini wenye akili zetu tumeguindua nini kimejiri leo huko Arusha.
Huwa najiuliza imekuwaje umeruhusu kuwa mtumwa wa Lema kiasi hiki.Niko mbali lakini tayari nimebaini mambo si mazuri kwa Lema bwahaa haaa.Umejitahidi kuficha lakini wenye akili zetu tumeguindua nini kimejiri leo huko Arusha.
Ngongo,
Nafahamu kwamba Lema ni mwanasiasa, tena mbunge wako kwahiyo una haki ya kumjadili kwa namna yoyote unavyoona inafaa, aidha kwa kumponda ama kumpongeza. Lakini kutokana na yanayojiri hapa JF tangu mwaka jana kabla ya uchaguzi hadi sasa, umeonekana kuwa upande mmoja tu-against Lema.
Honestly ningependa kufahamu tatizo lako na Lema ni nini? nitashukuru kama utanifahamisha mkuu, isijekuwa ninakuchukulia ndivyo sivyo, ni hilo tu mkuu.
kinachofata akafungue kesi ya madai....au ulikuwa unataka kusemaje
Huwa najiuliza imekuwaje umeruhusu kuwa mtumwa wa Lema kiasi hiki.
Mleteni kesho batilda tumpime DNA kama mtoto siyo wa yule msomali....
Well done.......! appreciated. nakushukuru sana kamanda Crashwise kwa jinsi unavyotuweka updated. Kwangu mimi hii ndo msg ya kuijibu baada ya kufuatilia mtirirko wa taarifa,zingine zote zipo nje ya "fact in issue". jioni njema na tunakutegemea tena kesho mechi ikianza.Mkuu tutajua kesho kama ngoma inatupwa au inaendela ingawa jamaa wa CCM walikuwa wamebanwa sana...
Mkuu kuna mengine zaidi ya hesabu?
Mwita Maranya.
Mkuu kuna sehemu nimewahi kumuunga mkono Lema tena ukitaka ushahidi nitakuletea.Lema alipotangazwa mshindi nilimpongeza.Kuna thread ililetwa hapa jamvini ikimushisha Lema na utajiri niliipinga tena kwa mifano hai.
Mkuu mtu unayemchukia unaweza kumwandalia nondo za uhakika tena ambazo zinaweza kumyanyua kisiasa rejea issue ya General Tyre.
[1] Kifupi sana ugomvi wangu na Lema ulianza pale alipomnadi diwani wa CCM kata ya Sombetini Bwana Mawazo.Bwana Mawazo alikuwa diwani wa TLP akshiriki kumchomoa kipindi hicho Lema alikuwa mwenyekiti wa umoja wa vyama vya upinzani Arusha.
[2] Wakati wa kampeni Lema alidanganya anayo elimu ya juu Advance Diploma in Human Resource Managemant jambo ambalo si kweli hata kidogo.Kabla ya hapo mwaka 2005 aligombea ubunge kwa tiketi ya TLP alidai ana Diploma ya Theolojia.Mwaka 2010 akadai ana ADHRM mwaka na chuo alichosoma havijulikani wala hataki kuvitaja.Mashabiki wake wakaja na utetezi dhaifu kwamba alisoma IAA nilipowastua IAA hakuna kozi ya namna hiyo wakakimbila kutaja vyuo vya nje !.Haya mambo yakifanywa na kiongozi ambaye si mwanaCDM tunakuwa huru kujadili bila mizengwe lakini jambo kama ili likitokea kwa mbunge wa Magwanda ukijaribu kujadili utaambiwa una roho mbaya,una wivu wa kike,mbona unamfuata fuata Lema !!!!!!.
Mwita Maranya umeuliza nimekujibu kama ulikuwa unataka sababu natumaini umejua lakini kama ulitaka kwaajili ya kejeli nitakuwa nimepoteza muda wangu bureeeeee.Ukimaliza niambie nitakupa nyingine leo nimeanza na hizi chache.