Kesi ya Kikatiba: Makonda, Sirro na Wambura wakataa kupokea wito wa Mahakama 'summons'

Mleta uzi unaweza ukatuletea UTHIBITISHO wa hiyo SUMMONS.....afu sijui kwa kwanini MODS mnnacha habari kama hizi
Wee.. nguo ya ndani inabana nini. Mleta uzi anajielewa na yupo tayari kutoa ushahidi ikimbidi, we wasiwasi wako nini?
Kawaulize wapokeaji kama hawakupigwa biti la kupokea barua.
 
msipoteze muda na vitu ambavyo haviji kuwa

tupambane kuondoa CCM madarkani

haya mengine mnapoteza muda tu

so mkuu wa mkoa anaitwa mahakamani!! akikataa anayekuja kumkamata nani? wakati polisi wote wa mkoa wako chini yake??
So Makonda yuko above the law ktk nchi hii, anaweza akafanya chochote anachotaka na akavunja sheria kwa sababu tu yeye ni mkuu wa mkoa na polisi wote wako chini yake?

OK, ktk jeshi la polisi Makonda ana rank gani au yuko ktk level IPI?
 
Summons ilitakiwa kuwa kwa mamlaka zinazo husika Na sio individuals , kwani actions Za Makonda, Wambura Na Sirro ni kutokana Na mamlaka waliopewA Na sio at their own individual capacity
 
Mkuu aliwahi kusema serikali ni mhimili wenye mzizi mreeefu..
Loading.......
 
Nilipenda kweli kuona hii movie!
Sirro na makonda wakutane mahakamani na kichwa cha Lissu!

Ha haaaa haaa naona stelingi angefia kwenye maua
 
Wale wote waliofungwa watoke na ambao kesi zinaendelea wasiende kusikiliza kesi zao maana sheria zinaegemea one side
 
Hii nchi sheria zinatakiwa kufatwa na wapinzani pamoja na wanyonge tu wana CCM wamezikanyaga wanafanya watakavyo
 
Summons ilitakiwa kuwa kwa mamlaka zinazo husika Na sio individuals , kwani actions Za Makonda, Wambura Na Sirro ni kutokana Na mamlaka waliopewA Na sio at their own individual capacity
Wewe nawe!!! Ilmradi uonekane umechangia! Sasa ulitaka summon ipewe ofisi ya RC na ofisi ya kanda maalum ya DSM? Ofisi ni abstract; nani atasimama sasa mahakamani?
I hope ulisema hivyo pia pale Manji alipokuwa summoned na uhamiaji! I hope ulisema summon ilitakiwa kwenda kwa kampuni na siyo Manji!!
 
Unafikiri kwa kutumia nini KIJANA???......hao waliothibitishwa kukutwa wanatumia HEROIN mbna hawajaenda kupinga mhakamani ili wawe cleared??
Mkuu hao shauri lao bado linajadiliwa mahakaman hvyo mpaka hapo watakapothibika kuwa hawana hatia ndipo watakapokuwa na hyo fursa ya kufungua kesi either ya madai kutaka kusafishwa au vingnevyo... Tofaut na Mbowe yy shauri lake halipo mahakan hvyo yuko huru kumshtak yule kiroporopo kwa kumchafua kwny media
 
Unaposema mamlaka zinazohusika unamaanisha nini mkuu fafanua!
Summons ilitakiwa kuwa kwa mamlaka zinazo husika Na sio individuals , kwani actions Za Makonda, Wambura Na Sirro ni kutokana Na mamlaka waliopewA Na sio at their own individual capacity
 
Back
Top Bottom