KING MAZENGO
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 755
- 200
Acha wenge hoja hapa ni kukataa wito wa Mahakama!Unafungua kesi ya kikatiba baada ya kutuhumiwa.
Acha wenge hoja hapa ni kukataa wito wa Mahakama!Unafungua kesi ya kikatiba baada ya kutuhumiwa.
Wee.. nguo ya ndani inabana nini. Mleta uzi anajielewa na yupo tayari kutoa ushahidi ikimbidi, we wasiwasi wako nini?Mleta uzi unaweza ukatuletea UTHIBITISHO wa hiyo SUMMONS.....afu sijui kwa kwanini MODS mnnacha habari kama hizi
So Makonda yuko above the law ktk nchi hii, anaweza akafanya chochote anachotaka na akavunja sheria kwa sababu tu yeye ni mkuu wa mkoa na polisi wote wako chini yake?msipoteze muda na vitu ambavyo haviji kuwa
tupambane kuondoa CCM madarkani
haya mengine mnapoteza muda tu
so mkuu wa mkoa anaitwa mahakamani!! akikataa anayekuja kumkamata nani? wakati polisi wote wa mkoa wako chini yake??
Kwa nini umeususia uzi huu mkuuHuu uzi sichangii hata nipewe hela!
Daaah!!Tangu mahakama ilipomnyima dhamana Lema ilisababisha yenyewe idharaulike,,naunga mkono hoja waipuuze tu wasiende
Daaah!!Tangu mahakama ilipomnyima dhamana Lema ilisababisha yenyewe idharaulike,,naunga mkono hoja waipuuze tu wasiende
Hoja siyo aina ya kesi bali ni wao kukataa wito wa kisheria wa mahakama.teh teh hii sasa ni case ya kikatiba au madai?
Tayali ushachangia ungemute tuHuu uzi sichangii hata nipewe hela!
Wewe nawe!!! Ilmradi uonekane umechangia! Sasa ulitaka summon ipewe ofisi ya RC na ofisi ya kanda maalum ya DSM? Ofisi ni abstract; nani atasimama sasa mahakamani?Summons ilitakiwa kuwa kwa mamlaka zinazo husika Na sio individuals , kwani actions Za Makonda, Wambura Na Sirro ni kutokana Na mamlaka waliopewA Na sio at their own individual capacity
Mkuu hao shauri lao bado linajadiliwa mahakaman hvyo mpaka hapo watakapothibika kuwa hawana hatia ndipo watakapokuwa na hyo fursa ya kufungua kesi either ya madai kutaka kusafishwa au vingnevyo... Tofaut na Mbowe yy shauri lake halipo mahakan hvyo yuko huru kumshtak yule kiroporopo kwa kumchafua kwny mediaUnafikiri kwa kutumia nini KIJANA???......hao waliothibitishwa kukutwa wanatumia HEROIN mbna hawajaenda kupinga mhakamani ili wawe cleared??
Mbona za Mbowe kukataa kwenda polisi hukutaka habari yake isiletwe!!Mleta uzi unaweza ukatuletea UTHIBITISHO wa hiyo SUMMONS.....afu sijui kwa kwanini MODS mnnacha habari kama hizi
Huko ndo kusomeshana namba sio tena habari ya kuisoma namba!!!Mleta uzi unaweza ukatuletea UTHIBITISHO wa hiyo SUMMONS.....afu sijui kwa kwanini MODS mnnacha habari kama hizi
Summons ilitakiwa kuwa kwa mamlaka zinazo husika Na sio individuals , kwani actions Za Makonda, Wambura Na Sirro ni kutokana Na mamlaka waliopewA Na sio at their own individual capacity