Kesi ya Babu Seya na wanae - Ukweli ni upi haswa?

tuandamane usemayo ni kweli lakini turudi nyuma kwanini mwalimu hakufungwa na yeye ni chanzo ya yote yale kama yeye alikua anawapeleka watoto kwenda kufanyiwa hicho kitendo nadhani yeye alikua ndio mtuhumiwa wa kwanza akifuatiwa na watendaji, swala mwalimu ndio kila mtu linamuweka njia panda. ingekua ni nchi nyingine ningeweza kuamini lakini Tanzania hakuna haki bwana unaweza ukapotea saa yoyote bila hatia mradi kuna mtu mkubwa kwenye hilo swala umekwisha.
 
Originally Posted by naimaomari
Hapana ... hawakupakaziwa ... hawa watu walicheza mkanda wa mambo hayo na watoto .. mkanda ukauzwa nje ya nchi .. some foreign ambassodor to tanzania had gone back home on an errand ... akaufuma huu mkanda ambayo aliletewa akaambia see what is happening in Tanzania ... the ambassodor who knew the culprits came back to TZ ... called top officials and showed them the mkada ... luckily the guys were easily identified ... and the only thing to do was to pin them down ...wakatumia hizo mbinu as wale watoto waliyowachezea wasingepatikana .. this is why hii kesi no one could tamper with with it as there was recorded evidence ....

They are paying for their sins

niliwahi kusikia hii pia lakini mbona kesi ilikua tofauti, na kubwa zaidi jamani narudia yule mwalimu aliachiwaje??
 
Hapana ... hawakupakaziwa ... hawa watu walicheza mkanda wa mambo hayo na watoto .. mkanda ukauzwa nje ya nchi .. some foreign ambassodor to tanzania had gone back home on an errand ... akaufuma huu mkanda ambayo aliletewa akaambia see what is happening in Tanzania ... the ambassodor who knew the culprits came back to TZ ... called top officials and showed them the mkada ... luckily the guys were easily identified ... and the only thing to do was to pin them down ...wakatumia hizo mbinu as wale watoto waliyowachezea wasingepatikana .. this is why hii kesi no one could tamper with with it as there was recorded evidence ....

They are paying for their sins
sasa kuna uwezekano wa kuoona huo mkanda kama alivyoonyeshwa huyo balozi?
 
Mtimti,

Bahati nzuri nilikuwa na maoni kama yako, nikaletewa faili, nakala, nzima ya kesi mpaka hukumu. Pamoja na mengine kweli jamaa waliwabaka wale watoto. Kuna vitu ambavyo wale watoto kama walitengenezwa wangeshindwa kuvijua au kuvikumbuka. Kama kabati ipo wapi etc.

Kasome jalada kaka upate ukweli. Hata hayo mmadai unayoleta hapa ni juu juu sana.

Fairplayer, I agree with you entirely ..hii kesi iligusa hisia za watu wengi kwa namna tofautitofauti depending on which story you heard. Ila kweli proceedings kwa waliobahatika kuziona..inatisha waungwana!

Tusielemee upande mmoja kwakuwa ati kuna kuumizana kwa sababu ya penzi.maana hata kama kuna kuingiliana territories na kuwekeana revenge.... it doesnt absolve wahusika kutenda kosa la jinai kwa kuwaingilia watoto wadogo under 18yrs hata kama wameridhiana nao...this is statutory rape..warranting minimum jail term of 30yrs.It is a fact kuwa watoto underage siku hizi ni wajuzi wa mambo..na kama ilikuwepo hali hii...na ikawa ndoano kwa akina Nguza and sons..its too bad kuwa they swallowed the bait! Kosa linabakia palepale waungwana! hiyo imebaki history lets move on with life and draw some lessons out of it.Other would be pedophiles watch out..maana the long arm of the law can put an end to sweet life
 
Mwandishi,
Ukikaa nchi zilizoendelea utaona kabisa kuwa kesi ya BABA na MAMA kugombea watoto huwa inaisha kwa mama kusema "baba anawabaka watoto" au kuwachezea vibaya. Hii kesi baba huwa na hali mbaya saana. Watoto ni wadogo na hawajui kitu na hasa mototo ya siku hizi inayosemwa sijui ina HDHD? Sasa unakuta baba anaambiwa aPROVE kuwa hakufanya hivyo.
Wewe unayebisha na wengine wote wanaobisha, hebu fikiri leo hii JIRANI au MKE aje na kusema kuwa "Una wa-pedofile watoto wadogo" hasa wale wa miaka 5, 6 ,7. Je uwezekano wako wa kushinda kesi ukoje?
Vigogo wa Tanzania wameshaonyesha kuwa UKIMESS UP now basi au Wataku-KOLIMBA, au kukusiliba choo na uishe kama SAS na au Tingatinga (John Mgogo). Sasa kama hawa watu wana uwezo huo, huyu SEYA si alikuwa anacheza na H2SO4 katika asilimia 98??
Unajua kwa Tanzania hata kama hujapokea RUSHWA au 10%, ukanunua mitambo mibovu, kila mtu atajua kuwa umepokea kitu. Wameshatufanya tuwe na wasiwasi kila siku. Kama si JF wengi tusingelithubutu hata kufunua kinywa. Sema tu kwa sasa tumewaacha goli moja nyuma na kwa uzembe wao wa kukaa na kufikiria wizi tu, itachukua muda kuanza kututhibiti na wakifanikiwa kwa hilo basi watakuwa wamebadilika na watafanikiwa kwa mengi ....
Gothi
 
Jamani mimi nilisikia sikia kuwa huyu jamaa ana personal comflict na muheshimwa fulan hapa Muunganoni.. na ndio maana wanasema eti atakiona cha mtemakuni..... Inanihuzunisha saaaaana.... yaaani saaana..... jana nilikumbuka kuhuzunika kwa familia yake....

eti ni kweli?
 
Si kweli
Toa maelezo ya kina.
 
Mbona post yako haieleweki, hebu fafanua vizuri ili tupate kuelewa, maana umeandika kama vile un reply post, na kumbe umeanzisha mada.
 
Jamani mimi nilisikia sikia kuwa huyu jamaa ana personal comflict na muheshimwa fulan hapa Muunganoni.. na ndio maana wanasema eti atakiona cha mtemakuni..... Inanihuzunisha saaaaana.... yaaani saaana..... jana nilikumbuka kuhuzunika kwa familia yake....

eti ni kweli?

Halafu ukishajua?.
 
Suala la nguza liko nje ya upeo. yaani ukitiwa hatiani kwa makosa ya UZINZI (UBAKAJI,ULAWITI, n.k) ama makosa ya wizi wa kutumia silaha ama pia makosa ya mauaji basi kwa kawaida hakuna hata nafasi ya msamaha wa Rais. hilo sio jambo la kukufanya ufikiri ati kuna personal conflict.
 
Jamani mimi nilisikia sikia kuwa huyu jamaa ana personal comflict na muheshimwa fulan hapa Muunganoni.. na ndio maana wanasema eti atakiona cha mtemakuni..... Inanihuzunisha saaaaana.... yaaani saaana..... jana nilikumbuka kuhuzunika kwa familia yake....

eti ni kweli?

Ndugu yangu,
Nguza ni bina adamu kama wengine,na ni socially being as others,kwa sababu zozote zile anaweza kua alifanya au la,na pia anaweza kua alisingiziwa au la,kwakua yeye ni social being,anaweza kua na marafiki wengi pia na maadui,wengi au la,
so majibu yangu hapo ni KWELI PIA SI KWELI.
 
Kwa upande wangu nalisikiaanga alimkandamiza demu wa Mzee. Halafu pia kuna tetesi eti alishatolewa segerea akapelekwa Congo kisirisiri watu wasijue. Mwenye uhakika atuambie basi ili tufahamu vema ati.
 
Kwanini alimkandamiza, na ni Mzee yupi huyo? :) Maana Bongo tuna Wazee wengi :)
 
Back
Top Bottom