Iron Lady
JF-Expert Member
- Mar 4, 2008
- 4,071
- 1,363
Hivi hatuwezi jenga kama ile ya Dubai jmn?
Ya dubai? Mbona umeenda mbali sana mkuu
Hivi hatuwezi jenga kama ile ya Dubai jmn?
Ya dubai? Mbona umeenda mbali sana mkuu
Kama ni wizi karibu kila a/port kuna hiyo shida, sijajua Dubai kama hii ni ishu. Ila kwa sehem nlizoboard in/out kuanzia OR Tambo, Gaborone, hata hapa DIA jana tu kuna jamaa kapigwa camera ya $2000 imeleta soo sana. Cha msingi zile bag zetu tuziwekee kufuli, au ikiwa una sanduku la paswed ni vyema zaidi ingawa kuna baadhi ya sehemu huwa wanayaangusha chini makusudi ili yapasuke.
All valuables ingia navyo kwa handbag maximum huwa ni 4kg..not sure
Hawa jamaa hawana aibu aisee, utasikia wanavyojitahid kuwa karibu kumbe gia tu! Nadhani ni vyema kuwaambia tu, sikupi!Uwizi kwepo kwenye viwanja vingi si uhalalisho basi ni kawaida hata uwanja kwetu,mi nimepitia baadhi ya uwanja,Instabul,Doha,Dubai na Cairo na pia ndo nazipitia wala si mara moja ila sijawahi ibiwa huko ni bongo tu,wataivuta zipu ya begi pembeni,mpaka upate begi imetepeta,mwezi wa pili waliniibia pale pale.Kwanza hiyo tabia ya kuomba omba ndo kero ile mbaya
Uwizi ni swala la hatari sana waheshimiwa wadau hilo msilumbane ila watu wachunguzwe kila mmoja awe mchunga wa mwenzake hiyo ndio suluhu na wasioneane aibu kuna watu wanaweza wakawa wanalipwa mshahara mzuri tu na akachukua kitu chenye dhamani ndogo ole wao za mwizi ni arubaini endeleeni tu iko siku wataumbuka tu.
Na kuhusu kadi za chanjo mi naona ni poa wakiwa nazo hapo airport maana ukweli zinasaidia sana hilo la kadi halina noma tunasaidiana pande zote
Ile ni airport au kibanda?
Hilo sipingi ila ziwe zibatolewa na mamlaka za kisheria sio wahuni wale wanakujazia juu kwa ju kisha wanakupiga fedha ambayo Serikali haipati kitu chochote kwa nyaraka ambayo inapaswa kulipiwa Serikalini. Hii ni ukiukwaji mkubwa wa Sheria za nchi.Muheshimiwa hujanielewa wanapokuwa nayo hapo airport mi naona ni sawa kabisa tena narudia ni sawa kabisa kwasababu hii chanjo ya vaccination huwa ukipigwa hadi miaka kumi sasa ndugu yangu umepata safari ya ghafla mfano unampeleka mama yako india kutibiwa wewe umetoka huko mbio umefika kiwanja cha ndege uko kwa wahusika wa maswali na majibu wana kuuliza vaccination kadi unaweza changanyikiwa tena wanakwambia sisi tutakuruhusu ukiwa huko wanakurudisha na ndege ingine nipe jibu mkuu hapo? Mshikaji anatokea pembeni oya kadi ipo pale clinic ya airport labda na sharia ya ile kadi mzee ni two weeks before ya kusafiri na wewe kadi ulikuwa nayo ila last minute hujui umeweka wapi hapo washikaji kama zari vile oya chukue hiyo ni yenu bila mkono wa kushoto kujua mi naona hiyo nipoa kabisa pande zote tumesaidiana bila shida yoyote mkuu
JNIA hakuna walinzi wa group 4 kama unavyodai pia swala ka kuombwa pesa na walinzi si la kweli kwani walinzi wa JNIA hawana shida ndogo ndogo mishahara yao mizuri labda ulikutana na mfagiaji pia hayo mengine sina uhakika
Muheshimiwa hujanielewa wanapokuwa nayo hapo airport mi naona ni sawa kabisa tena narudia ni sawa kabisa kwasababu hii chanjo ya vaccination huwa ukipigwa hadi miaka kumi sasa ndugu yangu umepata safari ya ghafla mfano unampeleka mama yako india kutibiwa wewe umetoka huko mbio umefika kiwanja cha ndege uko kwa wahusika wa maswali na majibu wana kuuliza vaccination kadi unaweza changanyikiwa tena wanakwambia sisi tutakuruhusu ukiwa huko wanakurudisha na ndege ingine nipe jibu mkuu hapo? Mshikaji anatokea pembeni oya kadi ipo pale clinic ya airport labda na sharia ya ile kadi mzee ni two weeks before ya kusafiri na wewe kadi ulikuwa nayo ila last minute hujui umeweka wapi hapo washikaji kama zari vile oya chukue hiyo ni yenu bila mkono wa kushoto kujua mi naona hiyo nipoa kabisa pande zote tumesaidiana bila shida yoyote mkuu
Hilo sipingi ila ziwe zibatolewa na mamlaka za kisheria sio wahuni wale wanakujazia juu kwa ju kisha wanakupiga fedha ambayo Serikali haipati kitu chochote kwa nyaraka ambayo inapaswa kulipiwa Serikalini. Hii ni ukiukwaji mkubwa wa Sheria za nchi.
Hakuna group 4 pale ila kuna wafanyakazi wa Tanzania airports authority (mamlaka ya viwanja vya ndege), pia kuna watu wa immigration, tra na usalama wa taifa