Kazi ya pesa ya mwanamke ni kufanya nini?

Toa pesa ya matumizi wewe, haiwezekani mwanamke akajinunulia unga, mchele n.k. Wewe kazi yako ni "kutupia" tu?
Watu kama nyinyi ndio mnastahili kupigwa ngumi za utosi na wanausalama wa CCM.
 
Unajua sasahiv hii ishakuwa trend Yaani mtu anatengeneza chatting Halafu anapeleka kwenye mitandao asikie watu wanasemaje.
Yaaani kuna jamaa yeye anatengeneza memes ndio kazi yake mambo kama haya.
Walishaona hizi mada zinapendwa na wengi basi ndio kutwa kushinda kutengeneza mameseji
Hata iwe chatting imetengenezwa lakini kwa kiasi kikubwa uhalisia ndo huo.
 
A girlfriend anapata zawadi tu, mke anapata everything. Kila cheo kina wajibu na marupurupu yake.
 
Sahihi kaka,

Wewe mwanamke wako anayekupa mapenzi, anahitaji kuvaa apendeze, anahitaji kupata shibe, anahitaji mafuta ya kupaka ,saloon, n.k .

Kumiliki mwanamke siyo tu kupata mapenzi bali ni kazi ngumu kidogo inayohitaji uwekezaji positive kidogo.
Unamiliki mtu loh. Amekuwa furniture huyo mpaka isogezwe ndio inasogea. Inashangaza sana
 
Wanawake wenye kazi tunatakiwa kuchangia ustawi wa familia sio kuhudumiwa tu, sasa kuna faida gani ya kufanya kazi. Maisha yamebadilika , usitegemee mwanaume hasa wa kipato cha kawaida ahudumie familia kwa kila kitu, hamuwezi kupiga hatua hata siku moja.
Halafu hela ya kuhongwa sio sustainable. Nimeona wadada kadhaa wamepangishiwa kwenye apartment za hapa jirani, sponsor akikata kamba wanaumbuka mchana kweupe. Sijui hela zao huwa wanapelekaga wapi. Mimi sijawahi tegemea hela ya kuomba kwa mpenzi, natumia si zaidi ninachokipata, na nimeweza kuwekeza mpaka nikawa na maendeleo yangu binafsi. Tubadilike ili tuendane na ulimwengu wa sasa.
 
Ukitaka kuona ndoa chungu jiloge uoe huyo mwanamke utajuta
Mtu yupo pekee yake halafu anakaz anataka umuhudumie duuuh hatariiii Sana pole vijana wangu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Asikwambie mtu kuna raha mwanaume wako akikihudumia kwa kiasi flani inatuongezea mapenz zaidi na kujihisi tunapendwa.

Ila hapo utakuta huyo mwanaume ni kawaida yake kwenda kulala kwa bidada huku hachangii hata senti 5 kwenye kodi,bado akienda atakula bure na kuondoka bila kutoa chochote ,mwanaume wa hivi hana tofauti na marioo na heshima ataishia kuisikia bombani.
 
Wanawake wenye kazi tunatakiwa kuchangia ustawi wa familia sio kuhudumiwa tu, sasa kuna faida gani ya kufanya kazi. Maisha yamebadilika , usitegemee mwanaume hasa wa kipato cha kawaida ahudumie familia kwa kila kitu, hamuwezi kupiga hatua hata siku moja.
Halafu hela ya kuhongwa sio sustainable. Nimeona wadada kadhaa wamepangishiwa kwenye apartment za hapa jirani, sponsor akikata kamba wanaumbuka mchana kweupe. Sijui hela zao huwa wanapelekaga wapi. Mimi sijawahi tegemea hela ya kuomba kwa mpenzi, natumia si zaidi ninachokipata, na nimeweza kuwekeza mpaka nikawa na maendeleo yangu binafsi. Tubadilike ili tuendane na ulimwengu wa sasa.
Hudumia wewe mwanamke alaf uone gubu la huyo mwanaume mkikosana hapo nyumbani, wanawake mlishaambiwa siku mlipoleta chakula nyumbani amani ilipotea, elewa hii,muache mwanaume afanye majukumu yake ata kama ana kipato kidogo.
 
Back
Top Bottom