Lovelovie
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 11,082
- 22,549
Toa pesa, mpe pesaKwa hali kama hii kazi ya pesa ya mwanamke inakuwa kufanya nini sasa kwake?
Hawa wanawake wa kisiasa wanazaliwa automatic walemavu au?
View attachment 2908741
Toa pesa, mpe pesaKwa hali kama hii kazi ya pesa ya mwanamke inakuwa kufanya nini sasa kwake?
Hawa wanawake wa kisiasa wanazaliwa automatic walemavu au?
View attachment 2908741
Leta namba tuhudumie, wewe hauziwezi hizi kazi chafuKwa hali kama hii kazi ya pesa ya mwanamke inakuwa kufanya nini sasa kwake?
Hawa wanawake wa kisiasa wanazaliwa automatic walemavu au?
View attachment 2908741
Ni boyfriend tu huyu, siyo mumeKama Hata chakula ndani uleti, uyo mwanamke anayo haki ya kulalamika.
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Yaani vingeleza vingi.....responsible responsoble nyingi.
Kisa K?
Tena K yenyewe anakupa kama Gogo.
😁😁😁😁🙌🙌🙌hali ni tete
bibie hapo anaona analiwa uchi bure bure bila kupewa pesa ya uchakavu (kuhudumiwa)
hali hiyo inamuuma sana
mapenzi kwa ujumla ni umalaya uliorasimishwa, toa pesa ya uchakavu upate penzi
Viumbe hawa siku hizi wameigeuza hiyo mbunye waliyopewa bure na mnyaazi Mungu kuwa kitega uchumihali ni tete
bibie hapo anaona analiwa uchi bure bure bila kupewa pesa ya uchakavu (kuhudumiwa)
hali hiyo inamuuma sana
mapenzi kwa ujumla ni umalaya uliorasimishwa, toa pesa ya uchakavu upate penzi
Hata iwe chatting imetengenezwa lakini kwa kiasi kikubwa uhalisia ndo huo.Unajua sasahiv hii ishakuwa trend Yaani mtu anatengeneza chatting Halafu anapeleka kwenye mitandao asikie watu wanasemaje.
Yaaani kuna jamaa yeye anatengeneza memes ndio kazi yake mambo kama haya.
Walishaona hizi mada zinapendwa na wengi basi ndio kutwa kushinda kutengeneza mameseji
Unamiliki mtu loh. Amekuwa furniture huyo mpaka isogezwe ndio inasogea. Inashangaza sanaSahihi kaka,
Wewe mwanamke wako anayekupa mapenzi, anahitaji kuvaa apendeze, anahitaji kupata shibe, anahitaji mafuta ya kupaka ,saloon, n.k .
Kumiliki mwanamke siyo tu kupata mapenzi bali ni kazi ngumu kidogo inayohitaji uwekezaji positive kidogo.
Kuna tatizo kubwa kwenye jamii kuhusu malezi ya hawa mabinti unafikiri mwanamke wa namna hii akiolewa siku mumewe akakosa kazi ataweza kweli kutoa pesa yake
Huyo ni mke ? Hiyo pesa yake inayotokana na kazi yake inakuwa na kazi gani kwake ?
Mzee wa Kodi ya mezaa a.k.a baba j au fundi chereaniiKama Hata chakula ndani uleti, uyo mwanamke anayo haki ya kulalamika.
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Toa pesa ya matumizi wewe, haiwezekani mwanamke akajinunulia unga, mchele n.k. Wewe kazi yako ni "kutupia" tu?
Watu kama nyinyi ndio mnastahili kupigwa ngumi za utosi na wanausalama wa CCM.
Huyo Baba yako mke wake anafanya kazi au ni Mama wa Nyumbani?
Sent from my SCV48 using JamiiForums mobile
She is working, and kwenye familia mama ana majukumu mengi kuliko yeyoteNdio hao wanafanya wanawake tuonekane hatuna mchango kwenye familia.
Asikwambie mtu kuna raha mwanaume wako akikihudumia kwa kiasi flani inatuongezea mapenz zaidi na kujihisi tunapendwa.Ukitaka kuona ndoa chungu jiloge uoe huyo mwanamke utajuta
Mtu yupo pekee yake halafu anakaz anataka umuhudumie duuuh hatariiii Sana pole vijana wangu
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hudumia wewe mwanamke alaf uone gubu la huyo mwanaume mkikosana hapo nyumbani, wanawake mlishaambiwa siku mlipoleta chakula nyumbani amani ilipotea, elewa hii,muache mwanaume afanye majukumu yake ata kama ana kipato kidogo.Wanawake wenye kazi tunatakiwa kuchangia ustawi wa familia sio kuhudumiwa tu, sasa kuna faida gani ya kufanya kazi. Maisha yamebadilika , usitegemee mwanaume hasa wa kipato cha kawaida ahudumie familia kwa kila kitu, hamuwezi kupiga hatua hata siku moja.
Halafu hela ya kuhongwa sio sustainable. Nimeona wadada kadhaa wamepangishiwa kwenye apartment za hapa jirani, sponsor akikata kamba wanaumbuka mchana kweupe. Sijui hela zao huwa wanapelekaga wapi. Mimi sijawahi tegemea hela ya kuomba kwa mpenzi, natumia si zaidi ninachokipata, na nimeweza kuwekeza mpaka nikawa na maendeleo yangu binafsi. Tubadilike ili tuendane na ulimwengu wa sasa.