Kwa hiyo waziri kazi yake ni nini??ni display??Natofautiana na wewe mkuu.
Yote uliyoyasema juu ya Kawambwa hayana mshiko.
Matatizo ya Wizara ya Elimuyapo hapo siku nyingi sana hata kabla ya yeye kuteuliwa wizarani pale.
Kwa mantiki ya usomi, vijana wa sekondari hukaa shuleni miaka minne, kupata DIV 4 si matokeo ya mwaka mmoja, ni accumulation of failures.
Ni vema ukatueleza wizara iliyoexcel kwa kipindi hiki katika utendaji, kipindi ambacho serikali nzima ina ukata wa kutisha.
Kweli Kawambwa hana machachari wal kujivuna au kupenda mapambano na malumbano, kwa tunao mfahamu hebu mchokoze.