Kawambwa ni Mzigo kwa Taifa...

Sasa kwakua amekuta wizara ina matatizo na yeye anayaacha na kuyaongezea mengine?ukimtetea kawambwa unalihujumu Taifa.ok,sasa hana akili ya kupima kuwa ameshindwa kazi?ANASUBIRI NINI KUJIUZULU,ANASHINDWA HATA KUJIONGEZA KICHWANI?KWANINI AKAE KWENYE KITI AMBACHO HAKIMTOSHI?

Kateuliwa ili akaondoshe matatizo, kwa mm anayaongeza......
Saivi wanapitisha wote kwenda Sekondari hata shule yenye mwl. mmoja tu imefaulisha wanafunzi wote
Huu ni Umbwiga:yield:
 
I think He should not solely shoulder the blame we should consider also other multiple factors. Watoto wenyewe siku hizi wanapenda starehe na bongo fleva kuliko shule, walimu hawako committed, vitabu havipo kama vipo havitoshi basi yako mengi Kawambwa ni moja tu

Kawambwa awambwe mwenyewe. He was given a rotten office so that he can salvage the Education of Tz. Akasema, nitaweza, he did not say I will try but he said he can.
Now he has proved a big failure. Who is to be blamed if no Kawambwa. Acheni mbwembwe. Tunamuwamba kikamilifu ajue uwaziri sio jina ni kukuona kuwa unajua mbinu na uongozi umo ndani yako.
Yu people yu wana tell us that this is the end of the world na kuwa tuchukulie tu kwamba sasa Tz hatutakuwa na elimu tena?
Kawambwa ni janga kama lichama lake lilivyo majanga
 
mtoto wa nyumbani huyo hata akiwa mzigo wa matani atabebwa kwa winchi jamaa ataendelea kubebwa mpaka 2015
 
Kawambwa yupo hapo kwenye baraza la mawaziri kwasababu ya undugu wake na Jakaya hamna kigezo kingine; ingekuwa wanafuata utendaji wa kazi kama kigezo cha kuwa kwenye cabinet huyu bwana angeishaondoka zamani sana kwani HAFAI!!
ni ndugu?!
 
ni ndugu?!

Hata chama chake kimemwambia kuwa Kawambwa hafai ni mzigo lakini huyu mkweree ametia pamba masikioni; haingii akilini mwa mtu mzima eti unamuondoa naibu waziri Mulugo halafu unamuacha waziri Kawambwa wa wizara hiyo hiyo inayolalalmikiwa!!!
 
Back
Top Bottom