Kawambwa ni Mzigo kwa Taifa...

Natofautiana na wewe mkuu.
Yote uliyoyasema juu ya Kawambwa hayana mshiko.
Matatizo ya Wizara ya Elimuyapo hapo siku nyingi sana hata kabla ya yeye kuteuliwa wizarani pale.
Kwa mantiki ya usomi, vijana wa sekondari hukaa shuleni miaka minne, kupata DIV 4 si matokeo ya mwaka mmoja, ni accumulation of failures.
Ni vema ukatueleza wizara iliyoexcel kwa kipindi hiki katika utendaji, kipindi ambacho serikali nzima ina ukata wa kutisha.
Kweli Kawambwa hana machachari wal kujivuna au kupenda mapambano na malumbano, kwa tunao mfahamu hebu mchokoze.
Kwa hiyo waziri kazi yake ni nini??ni display??
 
GreatThinkers,
Shukuru Kawambwa ni kwa sasa ni waziri wa Elimu.
Matokeo ya form4 yaliyo tangazwa mwaka jana 2011, 11% ndio waliopata kati Div (1-3) waliobaki walikuwa Div 4 na Totally Failures.
Katika 11% ya waliofaulu, 9percent ni private na 2% ni Government.
Matokeo kama hayo pia 2012 pia tumeyaona. Je huyu anafanya nini hapo wizarani-Serikalini watoto wetu wanasoma kweli au wanatupiga changa la macho angali watoto wao wanasoma International School of Tanganyika?
Je migomo ya vyuo vikuu imeisha, St Kayumba wanapata mkopo sasa?

Si Mara ya kwanza-kabla ya kuhamishiwa wizara ya Elimu alikuwa wizara ya Miundombinu awamu hii hii ya nne-Moja ya madudu aliyofanya na kusimamia ni ujenzi wa barabara ya Kilwa-DSM pamoja na Mandela-DSM. Zote zilikuwa chini ya kiwango na baadaye alipohamishwa Magufuri alizikataa na kazi imebidi kurudiwa barabara yote ya Kilwa. Huyo ndiye Kawambwa.

Hapo awali JK alipoanza Urais Kawambwa huyu huyu alikuwa wizara ya mawasiliano lakini hasa aliwekwa ili dili za mkongo wa mawasiliano aweze kula dili kama ambavyo alishindwa ktk miradi ya Barabara na sasa anakomaa na ujenzi wa chuo kikuu kipya cha Afya.
Mimi kwa maoni yangu bila kumuonea mtu wivu wala nini

Kawambwa hafai

Matoto nayo hayasomi yanaendekeza ubishoo na maisha ya starehe utafikili yako peponi, nafikili ni haki yao kufeli, mbona sisi tulifaulu kwenye shule hizo hizo za kata?
Mzigo wote wameachiwa walimu wazazi hawaplay part zao, watoto hawana nidhamu hata kwa walimu wao. na bado ..........
soon people will realize.
 
Nadhani kumbukumbu zimekutoka.
Je ulihitaji Tuition enzi zile? kwa nini leo ni lazima mtoto aende Tuition?
Je mwalimu alikuwa na mawazo ya ugumu wa maisha kama mwl. wa leo?
Je Uuuzaji/wizi wa mitihani ulikuwa juu kama wa leo?
Je matabaka ya mtoto wa maskini na wa tajiri hali hiyo ilikuwa juu kama leo hii?
 
Hapo ilikuwa inafaa Lema awe waziri.

Waziri kivuli alikuwa wapi? Alikuwa anatakiwa akorome kabla ya kulala.
 
Mimi kila siku nasema baraza la mawaziri la jk ni bovu lakini waziri mbovu na wa kwanza kwa ubovu ni kawambwa.
 
GreatThinkers,

Shukuru Kawambwa ni kwa sasa ni waziri wa Elimu.
Matokeo ya form4 yaliyo tangazwa mwaka jana 2011, 11% ndio waliopata kati Div (1-3) waliobaki walikuwa Div 4 na Totally Failures.

Katika 11% ya waliofaulu, 9percent ni private na 2% ni Government.
Matokeo kama hayo pia 2012 pia tumeyaona. Je huyu anafanya nini hapo wizarani-Serikalini watoto wetu wanasoma kweli au wanatupiga changa la macho angali watoto wao wanasoma International School of Tanganyika?
Je migomo ya vyuo vikuu imeisha, St Kayumba wanapata mkopo sasa?

Si Mara ya kwanza-kabla ya kuhamishiwa wizara ya Elimu alikuwa wizara ya Miundombinu awamu hii hii ya nne-Moja ya madudu aliyofanya na kusimamia ni ujenzi wa barabara ya Kilwa-DSM pamoja na Mandela-DSM. Zote zilikuwa chini ya kiwango na baadaye alipohamishwa Magufuri alizikataa na kazi imebidi kurudiwa barabara yote ya Kilwa. Huyo ndiye Kawambwa.

Hapo awali JK alipoanza Urais Kawambwa huyu huyu alikuwa wizara ya mawasiliano lakini hasa aliwekwa ili dili za mkongo wa mawasiliano aweze kula dili kama ambavyo alishindwa ktk miradi ya Barabara na sasa anakomaa na ujenzi wa chuo kikuu kipya cha Afya.
Mimi kwa maoni yangu bila kumuonea mtu wivu wala nini

Kawambwa hafai

hata JK hafai bana
 
Jk ni janga kwa taifa, unategemea nini kwa baraza lake? Huwezi kupanda mahindi ukavuna mpunga
 
Kawambwa hana historia ya utendaji mzuri zaidi ya uhusiano alionao na mkuu wa nchi. Fuatilia utendaji kaz katika wizara mbalimbali alizozunguka utahakikisha maneno haya. Kawekwa hapo kwa ajili ya kuendeleza mkoa wa mheshimiwa mkuu wa nchi. Akiwekwa wizara fulani basi kwa namna yoyote iwayo mkoa wa pwani utakuwa kipaumbele. Na alivomjanja anamweka wizara zenye matatizo yanayogusa maisha ya watu moja kwa moja. Mfano alikuwa wizara za miundombinu, miradi ya mabarabara na mawasiliano ikatiririkia mkoani pwani,jaribu kufuatilia wizara za maji mtindo ni huohuo. Sasa yuko elimu, macho yoooote ya wizara ni kuwajengea chuo kikuu wakwere.Hii ndo Tz bana. Mwamba ngoma....
 
Tatizo ni CCM!! nchi hii inahitaji total overhaul kila sehemu. We have nothing to compare ndiyo maana tunaona hata Pombe ni mchapakazi. We need to say either 1 or 0, a YES or a big NO to CCM. Hili la kawamba ni matokeo ya mfumo mzima wa chama tawala ulioshamiri kila sehemu ambao unahitaji kuondolewa na kurudisha nidhamu na uzalendo wa nchi kwa watu wote.
 
Kwanza nikusahihishe waliopata division 1-3 ni 9.9% na waliopta division 4-0 ni 89.1%. Other wise good analysis.
 
mtoa hoja...lete solutions ambazo ungekua wewe waziri ungefanya...kulalamika lalamika is not the way forward
 
Huyu Kawambwa hata kufundisha kulimshinda pale UDSM maana alishindwa vigezo vya Promosheni.. yaanii utafiti na kuchapisha..sasa aende wapi zaidi ya siasa!
 
Hii WIZARA YA ELIMU mkitaka kupima ugumu wake basi awekwe LOWASSA ndo mtaelewa matatizo yake.....ni wizara inayomgusa kila mwananchi ni wizara yenye migogoro isiyoisha....Walimu wanamgomo baridi yani wanafundisha kishikaji matatizo yao yanaeleweka ikiwamo ya maslahi duni na wengine ni voda fasta.....Bunge linahusika kwa kufuta baadhi ya mitihani hasa ya darasa la nne na kidato cha pilli...kwa hayo yote KAWAMBWA anahusika vipi baba wa watu? upole wake isiwe tatizo basi apewe ata MAGUFULI chini ya migogoro iliyopo uone kama kuna jipya...upole wa mtu sio tija mbona SHEIN nae ni mpole lakini mlinganishe na unaemjua......
 
Back
Top Bottom