..sasa mbona aliyeshinda siyo Mkristo au mwenye asili ya Tanganyika?
..I dont think Jussa can be that shallow. Ningefurahi sana kama ungetuletea hayo mahojiano na sisi tupate kumsikia.
Uzini wamejaa makafiri ndo wamechagua ccm A
..sasa mbona aliyeshinda siyo Mkristo au mwenye asili ya Tanganyika?
..I dont think Jussa can be that shallow. Ningefurahi sana kama ungetuletea hayo mahojiano na sisi tupate kumsikia.
hata leo asubuhi imerudiwa hii taarifa mlimani tv,..huyu jamaa ni provocative..cuf hawawezi kupata kura kidogo hivyo zanzibar,there must some sort of agreements kati ya cuf na ccmand given ukwasi wa raza,lazima atakuwa amewamwagia mamilioni cuf..hii ndio sababu ya kauli ya hii ya kidini ya jussa,anajaribu kufunika jambo hilo..stu.pid a.ra.b
Binafsi nimemsikiliza Jussa akihojiwa na Mlimani TV sababu za kushindwa vibaya kwenye uchaguzi wa uzini amesema na wakazi wengi wa Uzini kwanza ni wakristo na si waislam na wana asili ya bara hivyo hawakupoteza muda kufanya kampeni ya nguvu.
Kikweli naona CUF wamechanganyikiwa au Jussa ni mpotoshaji mkubwa.
nashaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa naaaaaaaaaaaaaaaa miiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiitutaangalia kwenye mtandao wao wa mzalendo kama hizi pumba aliongea, halafu mimi nashangaa wananchi wa znz wanajaza wahindi tu kwenye serikali haahhaaaa yaani......
kuna kitu jussa anakitafuta kwa nguvu zote.
Umesahau tu. JMK alimteua akawa Mbunge huku. Kakimbia kule Bungeni kwa kuwa anajua hoja za kijinga zisizoendana na KATIBA ya JMT na sheria za nchi akina Tundu Lissu hawatamwacha. Watamtoa mkuku. Kakimbilia kule BLW ili hoja na habari nyepesi hasa za kuutukana MUUNGANO zimpe umaarufu. Mhindi yule kila kitu anakitazama kimakengezakengeza hivi.Kweli Jussa ni maarufu.
Hongera mwakilishi wetu wa mji mkongwe. Wa mjini sote tunakukubali.
2015 inshallah tunataka uende bungeni ukawawashe huko huko.
vilaza wa jf wengi wanaendeleza mtindo wakulopoka ndipo nasema tukiwa na jamii kama hii ya kufuata upepo na ndio tutakwisha hata ukiambiwa kula mavii wala. Sioni mnachokiongea zaidi ya pumba. Upeo wenu una dumaa kutokana na mijadala ya kuambukizana kulopoka na ndio iliyo tawala humu. Ningeona nyie vilaza mgejiuliza kwanini ametamka. Nakutaka kujua kulikoni , kwa mahala kama hivi hamuwezi jua lolote, kaongea kwa mazingira ya zanzibar, nanina vyo mjua jussa nimjanja sana ktk siasa ni kama neejad ahmed wa iran. So kama hivi mnapoteza muda wenu kumuongelea mtu ambaye mkidhani mnamchafua kumbe mnasafisha na kumpamba na kumpa ujasiri. Tunafaham jussa ni muwakilishi anakubalika na hakika ktk ukanda wote wa pwani anaweza akagombea nafasi yeyote na akashinda. Sasa mnahaja ya kuangalia kwa makini tayari hali ndo imekwisha gawanyika. Nikama vile slaa umpeleke pemba lindi, rufiji kushinda ni ndoto,mwenye akili atajua nini inadhihirisha tayari tumegawanyika nae jussa kaongea uhalisia, Uzini tangu 2010 niwazi wanaipa cdm na kwakuwa wakazi wake wengi ni wakiristo toka bara, ninyi mlitaka afiche huo ndo upumbavu wenu huwezi ficha donda utaumbuka, nawakati tunaona hali ipo wazi kwanini cdm wasipate majimbo mengine kura za kutosha huko zenj, waislam wa zenj hawakioni cdm kama chama chenye kuwafaa, huo ndo ukweli na ndivyo itakavyo kuwa hivyo kama kuna mtu anataka abadili uhalisia alioongea jussa karibu
Mkuu propaganda zingine si nzuri na hazitatufikisha pazuri. we endelea tu utaona matokeo yake.Binafsi nimemsikiliza Jussa akihojiwa na Mlimani TV sababu za kushindwa vibaya kwenye uchaguzi wa uzini amesema na wakazi wengi wa Uzini kwanza ni wakristo na si waislam na wana asili ya bara hivyo hawakupoteza muda kufanya kampeni ya nguvu.
Kikweli naona CUF wamechanganyikiwa au Jussa ni mpotoshaji mkubwa.