TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 24,911
- 11,308
dini imeingiaje hapa?Its nothing bali UDINI tuu umewajaa. Mungu si wa wanafiki bali wacha mungu.
kwani bomu lina dini?
dini imeingiaje hapa?Its nothing bali UDINI tuu umewajaa. Mungu si wa wanafiki bali wacha mungu.
Kesho mtarajie Picha kuuuubwa front page Daily News, Mtanzania na Habari leo ikimwonyesha JK akisalimia majeruhi au akizungumza na Majenerali wa Jeshi.
Lengo kuonyesha yuko karibu na wananchi wake.
Hivi kwa nini mabaya huwapata wanyonge tena walio wema huku watesi wakiendelea kutesa??? Kwa nini mabomu yanaiogopa au kuikwepa Ikulu???
Inaniuma kwa sababu nimekesha nawatafuta niece wangu (Kulwa na Dotto) wenye miaka 11. Tumekanyaga kote kuanzia U/taifa, vituo vya polisi, Hospitali ya Amana na Muhimbili lakini hakuna majibu.
Eti leo viongozi wachukue ujiko kwa madhira waliyasababisha wao wenyewe.
dini imeingiaje hapa?
kwani bomu lina dini?
Usiishie hapo tuu mkuu, washawishi UVCCM waandae maandamano nchi nzima kumpongeza JK kwa kuonyesha kuguswa na tukio la mabomu saa 16 baada ya tukio na akiwa umbali usiozidi km 20. Ameonyesha ukomavu wa kiwango cha juu kwa kutembelea kambi hiyo ya Gongolamboto,na hata kesho yakifumuka mabomu Mgulani ataenda na siku ifuatayo Lugalo pia ataenda kujionea hata ikibidi kambi zote za Dar kwa nyakati tofauti bado ataenda maana yeye ni mtu wa watu. UVCCM wasiikose nafasi hii kumuenzi Rais wao mpendwa.Hakika wapo watanzania ambao uwezo wao ni mdogo hata kufikia kushindwa kutofautisha malengo na sababu za JK kwenda kushuhudia yaliyotokea Gongo la mboto. Kilichotokea gongo la mboto na Mbagala siyo mara ya kwanza kutokea hapa Duniani na imekuwa ikitokea katika nchi zilizoendelea pia kama vile India, Russia, Germany.
JK haendi kugawa fedha anakwenda kuwapa pole waliofikwa na janga pamoja nakujionea hasara iliyosababishwa na mabomu hayo kwa kuwa yeye anawajibika kwa kila Mtanzania ikiwemo wewe mwenye uwezo finyu , Kama akili zako zinakutuma kwamba watendaji wabovu ndiyo wamesababisha janga hili basi nakusihi uende kuanza chekechea kabisa kwa kuwa kwa sasa huna la kuchangia zaidi ya kuishia kulalamika lalamika pasipo kujiuliza na kutafakari mambo.
Kumbuka ni Luteni Kanali na mabomu kwake ni kitu cha kawaida.NATAMANI MABOMU MENGINE YALIPUKE AKIWA HUKO NA YAMLIPUKIE NA YEYE AONE RAHA YAKE,EEEH NDIO
SI AMELEA WATENDAJI WABOVU SASA NA YEYE APATE raha ya BOMU hiloooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
Full smile.....tehe tehe
mwake sana hii post... tena wachapishe na tisheti za rangi ya kijani na smile kubwaUsiishie hapo tuu mkuu, washawishi UVCCM waandae maandamano nchi nzima kumpongeza JK kwa kuonyesha kuguswa na tukio la mabomu saa 16 baada ya tukio na akiwa umbali usiozidi km 20. Ameonyesha ukomavu wa kiwango cha juu kwa kutembelea kambi hiyo ya Gongolamboto,na hata kesho yakifumuka mabomu Mgulani ataenda na siku ifuatayo Lugalo pia ataenda kujionea hata ikibidi kambi zote za Dar kwa nyakati tofauti bado ataenda maana yeye ni mtu wa watu. UVCCM wasiikose nafasi hii kumuenzi Rais wao mpendwa.
Full smile.....tehe tehe
Hii picha ni ya Mbagala wakuu enzi hizo Nchimbi Emmanuel akiwa ni naibu waziri Ulinzi.
Umenikumbusha jana yuke mshereheshaji mwingine anayeitwa Kova anawaambia watu warudi majumbani huku jeshi linasema watu wasirudi majumbani hali bado si shwariUnataka research gani?
unataka tafakari gani?
wewe una upendo gani?
wewe ulitafakari kabla ya kuposti?
Je wewe umeshafanya research ndio ukapata right to speak?
I am sorry to tell you that wewe ni crap, ndio wewe ni crap... what you see here ni emotions and despair kutokana na rais kuwa mtaalam wa post moterm, na amesema hali sasa ni shwari na watu warejee makwao, wakati huohuo jeshi limesema watu wake mbali kwani bado wanaondoa masalia
I think unanifanya nijiulize sana kama wewe una upendo wa kweli na watanzania wa kawaida na hasa maskini waio na watetezi
sikiliza manzi, naomba uende uwanja wa taifa uone hali
pita muhimbili utoe damu (kuna units chache sana)
nenda gombs uone hali
halafu piga picha kwamba waziri anakula bata
Hapo sijui walikuwa wanayachekea hayo mabomu
Hii picha ni ya Mbagala wakuu enzi hizo Nchimbi Emmanuel akiwa ni naibu waziri Ulinzi.